Wakuu, nina mpango wa kuuza nyama ya ng'ombe ya Tanzania nje ya nchi. Kwa anayefahamu naomba anielekeze ni namna gani naweza kuanza hii biashara.
Natanguliza shukrani zangu.
Hellow Mambo vipi wanajamii.. Kama alivyo mungu mkuu ametuamsha Tena na bila shaka tu wazima.
Leo ninakuja na hili nimeajichanga changa nimeipata 1.2 milioni na nimepanga kuanzisha Banda/ kiduka...
Salaam wakuu naomba kutoa ufafanuzi kidogo kama watafutaji na wapambanaji wazo ndio kila kitu ukiwa na wazo ni rahisi kutengeneza pesa!
Napokea ujumbe mwingi pm watu ambao wako serious...
Habari zenu wakuu,
Ninahitaji kutuma pesa internationally kutoka Tanzania kwenda India. Njia kuu nilizozisikia ni Western Union na Moneygram..
Katika hizi ipi ni bora na kwa nini? Je, makato...
Katika hali iliyotarajiwa mahoteli kama Ngurdoto, Saphire hotel, Kibo palace na nyingine nyingi zimefungwa kwa kukosa wateja baada ya Tanzania kuingia uchumi wa kati na pato la mtanzania kupanda...
Habari wadau! Tafadhali nahitaji kufundishwa namna ya ku operate 3D VACUUM SUBLIMATION MACHINE pamoja na mambo yote ya msingi yanayotakikana katika ujasiriamali huu! Tafadhali mjuzi wa mambo hizi...
Unaweza usiamini hiki ninachoenda kukiandika lakini nina asilimia 1000 hili jambo litatokea katika ulimwengu huu wa kidigitali.
Nina uhakika kwa nchi kama Marekani na China ATM MACHINE hazitakuwa...
Wakuu,
Tueleweshane hapa kodi ipi ipo sahihi na ipi imezuka kuanzia ngazi ya Kijiji, Halmashauri, Manispaaa, Miji midogo mpaka Jiji halafu Taifa inaweza kutusaidia kuelewa juu ya masuala ya kodi
Tanga ndie nyie ndio mnaotupaka mafuta ya mgando na lotion kwani katika maduka yote tanzani lazima utakutana na mafuta kutoka kwenye Viwanda vyenu hili halihitaji ubishi
Tanga pharmaceutical &...
Nataka mkopo wa 4.5m Kabla ya saa 10, naweka gari dhamana, kwakweli nina shida ya haraka,
Mashart ntayafuata atakayo
Gari ni Vits new model ya mwaka 2009,
Napatikana Dar as salaam
Biashara zipi zinatembea hasa kwa MIKOANI ukiachana na mkoa wa Dar, Wadau wa mizunguko ya hapa na pale katika kusaka life, tusaidie michongo au mchongo ulio HOT kwa Kipindi hiki Cha lala salama...
Habari JamiiForum,
Ninalo wazo la muda mrefu kuhusu biashara ya kuuza bidhaa kwenye minada au maeneo yaliyochangamka.
Sina mtaji kwa sasa ila nina gari dogo succed kwa ajili ya kubeba bidhaa za...
KUCHOMA MELI MOTO,
The ancient Greek warriors ni moja kati ya Majeshi yaliyo yanapambana kwa nguvu zote katika historia ya Majeshi ya Enzi Hizo, Na hii si kutokana na walivyo fundishwa au Silaha...
Mimi ni mfanyabiashara, ya kuuza spea za malori, biashara ipo katika jengo la ghorofa 3 yani chini, 1st na 2nd floor, chini ndio biashara ilipo na juu ni makazi, sasa nilitaka kujua kuna malipo...
Usafiri wa magari umeonekana kuwa na tija kwa jiji la Dar. Kukutanisha muuzaji na mnunuzi imekuwa ni biashara inayokuwa kwa kasi.
Nawaomba, wajuvi, mchangie nasi uzoefu, uendeshwaji na changamoto...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.