ndugu wana jf,
nataka kuanzisha biashara ya kuuza gesi ya kupikia na accessory zake.,naomba msaada kuhusu procedure zinazotakiwa ili niweze kufanikisha ndoto yangu.
pia mwenye idea na strategic...
Wanajukwaa salaam!
Nimechukua fursa hii kutumia jukwaa hili pendwa kutoa ya moyoni juu ya zoezi la upangishaji wa maeneo ya biashara kama ilivyotangazwa na tovuti ya tamisemi...
Chalii yangu sikia nikuchane....
We dogo nilisikia ulisema we ni mtu wa kutoka Musoma??
We ni mkurya, mjita? Achana na ukabila... Twende kwenye pointi...
Boy unajua mimi ni katika wale vijana...
Wasalaam wapendwa
Mimi ni kijana nina miaka 26, nafanya kazi ya kufagia kwenye hotel moja. Nimejichanga sasa nina milioni 3 lakini nikiangalia mbele sioni mwanga wa kazi hii.
Naombeni ushauri...
Habari wazee, hivi juzi nilianza biashara ya forex kwa kuweka kiasi cha usd 100 kwenye account. na hii ni history tangu nilivyoanza kutrade hadi sasa, naombeni mnipe ushauri kama naweza kuendelea...
Habari wana JF,
Mimi kuna ndugu yangu wa mkoani ameniomba nimnunulie bidhaa fulani huku Dar kwa kuwa huku inapatikana kwa bei rahisi kiasi 60,000. Sasa nilikuwa nahitaji mniambie ni bus gani...
Wakuu habari za mida hi, kama kichwa cha habari hapo juu. Mi ni mjasiria mali mdogo mdogo wa biashara ya viatu vya mtumbaa, especially vya kike, watoto na kiasi vya kiume. Nipo Mwanza na kiofisi...
Nimesoma gazeti moja la kimataifa linalo ongea kuhusu mashirika ya ndege na kuja kushitukizia kuwa swissport ndio inayo endesha shirika kutokana na changamoto zilizo kabili shirika. Naomba mwenye...
Wakuuu katika kuhaso haso mkoani huko nimekusanya Tsh. milioni 30 sijui nifanye biashara gani. Nahitaji mawazo yenu wakuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wanajamii Mimi nimkulima wa mitiki kwasasa INA miaka 8 je naweza kupata mkopo kwa dhamana ya shamba hati niliyo nayo ni ya kimila inayotolea na serikali ya kijiji
picha chini apo
Ufugaji wa kuku wa mayai wa mezani unaonekana una tija sana.
MFANO:
Una kuku 500 wa mayai(layers) kwa siku watataga kuku 450 ambao ni wastani wa trei za mayai 15, ukiuza trei kwa tsh 6000 kila...
Maisha haya kwa ambao hatujaajiriwa huwa yana changamoto na radha yake tamu/chungu.
Kwa mfano kuna jamaa yangu alikuwa anauza nguo Centre ya Magula (kijiji maarufu kwa ajili ya uchimbaji dhahabu...
Mambo vipi?
Ni siku nyingine tena nipo hapa kukupatia darasa muhimu kabisa jinsi unavyoweza kutumia maarifa kuongeza revenue kwenye Online Business unayoendesha.
Leo nataka niwe specific jinsi...
Pata nafasi ya kujishindia zawadi yenye thamani ya zaidi ya shillingi laki tano-500,000tsh lakini pia jinyakulie zawadi nyengine kama vile TECNO H2 earphone na TECNO S1 wireless speaker pale tu...
Habari wadau,
Nataka kufungua Kampuni. Naomba unisaidie jina gani la kutumia.
Shughuli zangu kubwa ni mfugaji; namiliki poultry farms yaani nafuga kuku wa mayai na kuku wa nyama na pia namiliki...
Poleni na majukumu wakuu.
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Hii platform ya flycoin inajihusisha na mambo ya cryptocurrency trade.
Na Mimi nikiwa mmojawapo wa member ambao nimeivest kweny hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.