Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Habari za wakati huu wakuu. Katika pita pita zangu mitandaoni. Nimekutana na hii machine. Haraka haraka likanijia wazo. Je, kama nitaweza kuhifazi matunda kwa kutumia mifuko ya plastik na...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Marketing ina mchango mkubwa sana ktk kukuletea wateja na kuikuza biashara yako "Marketing sio sales" Wengi tunapenda na tunatamani kuuza, lakini tambua mteja hapendi kuuziwa (Customers don't...
3 Reactions
3 Replies
759 Views
Kwenu wakuu Pole kwa majukumu ya wiki nzima ,naombeni kujua bei za frame maeneo haya Dar 1)Survey 2)Mwenge 3) Makumbusho 4)Mikocheni 5) Kawe 6)Mbezi Natanguliza shukrani
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Naomba kufahamu kuhusu soko la bidhaa hii pendwa kwa sasa hususani Bei yake kutoka shamba, usafirishaji pamoja na soko lake kwa ujumla.
1 Reactions
13 Replies
8K Views
Katika kuzunguka kwangu nimekuta hizi simu zinauzwa cheap sana kwenye maduka ya mjini tofauti na ile bei ya samsung wenyewe wanayouza, yani unakuta simu ya 550000, inauzwa 420,000. Si vibaya...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Naomba mtu mwenye kampuni ya ku supply office stationaries kwenye ma taasisi kwa mfumo wa tendering, nahitaji kupata ufahamu wa wapi anachukua kwa gharama nafuu (kwa hapa hapa Tanzania) na profit...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi nikiuza juice ya matunda kwa kutembeza maeneo ya stendi si inaweza kuwa biaahara nzuri? nimeona matunda yanauzwa bei rahisi sana yaani parachichi la mia tano unaweza kutengeneza glass tano...
2 Reactions
14 Replies
7K Views
Habari wadau. Mtu anayejua wapi unaweza nunua simu used kwa bei nafuu nje ya nchi katika huu ukanda wetu wa SADC na kuzi import hapa Tz. Asanteni.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Wakuu, kama kichwa cha habari kinavyo jieleza mwaka ndio huo umekatika njooni tupeane fursa za kibiashara kwa mwaka 2021. Ili tuweze kujipanga vyema. Kwa mwaka 2021 afe kipa, afe beki lazima...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wakuu, Poleni na majukumu. Nina shida na Cement namba 42 TWIGA Au DANGOTE Leo nimezunguka mji mzima mpaka Buguruni kote nimekosa. Huenda Hii suala ya Uhaba wa Cement limekuwa tatizo Kwa...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Ninawapa pongezi kwa kutoa zawadi kwa wateja wenu kwa kuwauliza maswali mepesi, uamuzi mliochukua ni furaha kwa wateja wenu. Pesa taslimu kiasi cha 1000,000. (milioni moja) kwa wakati huu wa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
1 • Wakuu, Naomba niseme hili jambo wazi. Kupata pesa imekuwa rahisi kuliko ilivyokuwa hapo awali. Imekuwa rahisi kiasi kwamba sasa hivi unaweza kukaa nyumbani kwako bila ya kwenda popote...
12 Reactions
38 Replies
7K Views
Habari, Naomba muongozo sahihi juu ya usundikaji bora wa maziwa mgando kwa kutumia culture.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Za asubuhi jamani.. Leo nimejikuta katika mawazo sana lipi la kuamua. Kuna pesa natarajia kuipata very soon... Sasa nawaza kufanya biashara ila nimeshidwa kuamua nimeona nipate mawazo kwanza kwa...
0 Reactions
29 Replies
13K Views
Kuna jamaa wanaitwa Mr Kuku Farms, wanasema wanafanya ufugaji wa kuku na wanahkmiza watu kuwekeza kwa ahadi kwamba unavuna mara 2. Nimeona wamepost na shuhuda mbalimbali motomoto kama zile za kwa...
17 Reactions
211 Replies
54K Views
Greentomarine,whitestone,silkon,amasist,brusafaya,amarode,roseganet,amarod,GALENA,COPPER,IRON ,amecyst bei gani kwa gramu na kampuni gani inatoa bei nzuri
0 Reactions
15 Replies
14K Views
Habari za Leo wakuu, I hope kila mtu yuko vizuri na harakati za biashara & ujasiriamali zinaendelea. Kama ilivyo ada, huwa naleta mada za kufundisha watu kuhusu Facebook and Instagram ads, na...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari, Naomba kufahamu vitu binafsi ambavyo porter anapaswa kuvibeba katika safari yake ya kuwapandisha wageni mlima Kilimanjaro.? nimeuliza kwa maana nahitaji kuwa porter. Shukrani.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza apo juu, Bei ya Mfuko wa cement Mwanza unazidi kupaa, awali mfuko wa cement apa Mwanza ulikuwa ukiuzwa kwa 18000/= Tsh lakini kuanzia wiki hii cement kwa...
3 Reactions
77 Replies
12K Views
Ningependa kufahamu jinsi ya kuanza hii biashara kwa mtu ambaye ameshawahi kufanya au bado anafanya anipe maelekezo jinsi ya kuanza natakiwa niwe na mtaji wa kiasi gan??
1 Reactions
5 Replies
795 Views
Back
Top Bottom