Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Habarin...nafikilia kufungua mgahawa wa kahawa wa kisasa,ila sina elimu yoyote kuhusu upishi, mgahawa uo utaambatanisha juice za matunda tofauti tofaut na chai hvo nikafikilia na kuweka vitafutwa...
3 Reactions
60 Replies
11K Views
Habari wanajamii mimi niphotographer nafanya graphics pia ila tatizo niupande wa vifaa kama kuna kaz ya studio nipo tayar kuifanya Nina uzoefu mkubwa 0653172333 nipo dar es salam Na izo chini...
1 Reactions
0 Replies
756 Views
Katika kuitikia wito wa kujenga viwanda nchini (bila shaka tutapata uwezeshaji/mikopo toka serikalini) natafuta mswahili mwenzangu mwenye nia ya kuanzisha kiwanda nchini. Hii ni katika kuondoa...
7 Reactions
36 Replies
4K Views
Habari za asubuhi wanajf wenzangu Awali ya yote namshukuru MWENYEZI MUNGU kwa kunijalia kuwa SALAMA wa AFYA. Nimenunua eneo la makazi kwa muuzaji ambae hapo awali walielewana na mtu kimdomo bila...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kuna vikundi kama vikoba vingine vya vijana ambavyo vinamifuko yake ya fedha. Je, ni mfumo upi bora wa uendeshaji vikundi hivi ili kuweza kustahimili chanagamoto mbalimbali ?? Na kwa mwenye...
0 Reactions
0 Replies
683 Views
Naanza kwa kusema kuwa hii ni kama Hypothesis, yoyote anaweza aka-test kwa statistical data kujua kama ina hold au la Kwa miezi kadhaa kulikuwa na joto kali la kisiasa, hili ndio sababu kubwa ya...
6 Reactions
8 Replies
1K Views
Mimi ni dereva na leseni yangu ndio kama hiyo inavyoonekana , nafanya kazi mazingira yoyote mkoa wowote, ila ikiwa dodoma itapendeza zaidi kwa mawaziliano nicheki DM
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu naomba kuuliza kama zipo kampuni za kifedha hapa Tanzania hasa Dar au Pwani ambazo zinaweza kupokea wazo la kibiashara name kutoa mkopo kwa dhamana ya nyumba ya kibiashara au ya familia...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Salama za dhati ziwafikie wapendwa. Mimi ni kijana wa miaka 23. Nilipenda nifungue restaurant kwa ajili ya uuzaji wa chakula. Changamoto kwangu ni kwamba sijui gharama halisi za kuanzisha...
3 Reactions
45 Replies
8K Views
Salamu ama baada ya salama Wanabodi katika ukuaji nimekuwa nikisikia ya kuwa, baadhi ya watu maarufu hapa Tanzania wameweza kufanikiwa kibiashara kupitia njia za kishirikina. Asa mimi nilitaka...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu habari za muda, nina mtaji wangu wa 3m nataka kufungua biashara ya duka la nguo za kiume, yoyote mwenye uzoefu na biashara hii tafadhali naomba msaada na changamoto zipi nitapitia. Nawasilisha.
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Jamani naombeni msaada kwa anaefahamu namna ya kutuma pesa kutoka Burundi kwenda Tanzania. Mimi ni Mtanzania, kuna biashara ninafanya na rafiki yangu wa Burundi sasa changamoto ninayokabiliana...
0 Reactions
23 Replies
7K Views
moja kwa moja kwenye point........... 1 BIASHARA YA DAWA YA NGUVU ZA KIUME hii biashara utaiuza sehemu yoyote ile haiitaji ufanye uatafiti au ukanunue dawa .we nenda porini angali majani mbuzi...
7 Reactions
12 Replies
5K Views
Wadau nilikuwa naomba mwenye ufahamu wa namna gani ya kupata uwakala wa vinywaji vya Azam. Utaratibu na hatua za kufata mana mimi nipo mkoa nataka nianze hiyo biashara na kuwasambazia...
3 Reactions
19 Replies
7K Views
Habari zenu Kuelekea mwisho wa mwaka jitahidi kodi za ndani mbalimbali za kila mwezi na za kila robo ya mwaka kuwa umelipa au umewasilisha kwa wakati. Kodi hizo ni 1. Kodi za kila mwezi...
5 Reactions
4 Replies
2K Views
Unajua ujasiriamali ni Kitu pana yenye inahitaji elimu kila siku jinsi ya kui master na kujua nini ufanye na nini usifanye ili kuepuka kile watu wanaita HASARA,hamna mtu anapenda hasara kila mtu...
49 Reactions
79 Replies
11K Views
Nmekaa kutafakari maisha, nikapata wazo la kufanya biashara kwenye vijiji vya mbali sana. Vijiji vinavyofikika kwa ugumu na vyenye ufinyu wa huduma. Vijiji ambavyo hata huduma ya mawasiliano...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu, ngoja nianze kutiririka bila kupoteza muda. 1 • Digital marketing agency. There so much money to be made in this area. Kwa ufupi ni business itakayofanya vizuri kwa miaka nyingi sana...
20 Reactions
57 Replies
14K Views
Habari wana JF... tujifunze utengeneza wa mafuta ya mgando. MALIGHAFI 1.MICRO WAX 2.WHITE OIL 3.RANGI 4.PERFUME 5.VIFUNGASHIO JINSI YA KUTENGENEZA Weka MICRO WAX kilo 1 kwenye sufuria...
17 Reactions
49 Replies
31K Views
Habari wanaJF Kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza naomba Kwa aliye seriousy na muaminifu nikikupatia laki 5 utafanyia biashara gani? Na utanipatia kiasi gani kama faida kila week? Uwe...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Back
Top Bottom