Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Na wakati huo inaonesha kanisa katoliki ni la kiserikali Na lazima niamini hivyo kwasabu nikipiga hesabu misingi yote ya kidini ilikuja kwa njia kiutumwa Na najua serikali ya italia kanisa la...
1 Reactions
26 Replies
5K Views
Nahitaji fundi wa kushona nguo za kike na kiume, mwenye uzoefu na anayeweza kumshauri mteja ashone vipi ili apendeze. Ofisi ipo Sinza, awe ni mkazi wa Dar es salaam. 0629834522
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Kazini nimefukuzwa, sina akiba, sina chochote; nipo home nina mke na watoto wawili, umri wangu ni 35. Nipo nyumba ya kupanga ila nina kiwanja. Naombeni ushauri, pesa ya ujenzi sina kwa sasa...
2 Reactions
48 Replies
10K Views
Habari Wakuu!! Kwanza awali ya yote namshukuru Mungu kwa uzima tulionao, Maana tunakaribia kumaliza mwaka, ni mengi sana Mungu ametutendea aiseee, na kwa Neema yake natumai tutavuka salama. Leo...
32 Reactions
83 Replies
15K Views
Heshima kwenu wakuu, Twende kwenye mada Niliagiza mzigo kampun iyo hapo juu, mpaka kuwasili ilionesha wiki 6 ambayo ni tar 16 ya mwez huu wa 8 toka tareh 12 ya mwez wa 7. Sas ile tarehe imewadia...
0 Reactions
47 Replies
10K Views
Naomba kujuzwa kuhusu hizi app za kutumia pesa toka ughaibuni kuja Tz. Nasikia kipindi hili cha uchaguzi zimezuiwa kwa muda kufanya kazi hapa Tanzania.
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Live your dream project ni mradi ambao unahitaj vijana wake kwa Waune waajiriwa na wasio ajiriwa ili kusaidia vijana waweze kuzifikia ndoto zao,kumiliki maisha yao bila kutegemea ajira hivyo ukiwa...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Habari wanajukwaa. Naomba msaada yeyote ambae anafahamu mahali wanauza vaporizers kwa hapa bongo. (Picha ni mfano tu) Asante.
1 Reactions
2 Replies
914 Views
Karibu ujipatie school bags za kisasa mapemaa kabla msimu wa shule haujafika! Ni water proof bags hata mvua ikinyesha maji hayaingii ndani kulowesha daftari. Quality yake ni nzuri Sana. Utapata...
0 Reactions
0 Replies
565 Views
Wananunuzi wa bidhaa sokoni wametakiwa kununua bidhaa zilizo pimwa katika mizani ili kuepuka kupunjwa. Hayo yameelezwa Novemba 4, 2020 na Denis Misango, Kaimu Meneja Wakala wa Vipimo Mkoa wa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Iweje jiji dogo kama la Mbeya waweze kuwa na usafiri hadi jioni lakini jiji kubwa kama Mwanza washindwe kuwa na usafiri wa uhakika wa kutoka Mwanza -Dar (jioni) Sio wote tuna uwezo wa kukwea...
11 Reactions
64 Replies
6K Views
Ipo hivi wakuu, kuna biashara ya rafiki yangu ambayo ni ya familia ambayo ilikuwa inaenda vizuri tu inaingiza milioni 8 kila mwezi na ndiyo inayolisha familia Sasa ile ni biashara ya familia na...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wakuu,.. Naomba mawazo ya biashara ambayo nikifanya naweza kua billionea fasta, haijalishi mtaji kiasi gani. Ni biashara gani nikiifanya nakua Billionaire fasta ...? Tiririka hapo chini...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Direct to the point. Wakuu baada ya hustling za maisha Dar nataka nikafanye biashara kati ya Dodoma au Manyoni. Nimepata kufanya biashara ya vipodozi (cosmetics) au vifaa vya simu. Naomba kwa...
3 Reactions
3 Replies
1K Views
Swala la kuibana mitandao ya jamii msilichukulie poa, baadhi ya biashara huitumia hii mitandao kama njia ya kupata wateja na inasaidia sna, utakuta mtu kafungua duka Kariakoo au Temeke lakini...
4 Reactions
9 Replies
1K Views
Kwa wale wadau wa soka naombeni mnisaidie jina zuri la kibanda umiza lenye kuvutia wateja
1 Reactions
59 Replies
9K Views
Wakuu wataalamu wa ujenzi Nina milion 11 nahitaji kujenga nyumba ya wastani yaani vyumba 3, sebule, jiko, dining na choo japo sipendi choo cha ndani ila fashen inataka kunilazimisha, vyumba vyeye...
4 Reactions
76 Replies
21K Views
Waungwana, poleni na majukumu yenu, enzi hizo nilikuwa mlevi wa pombe lakini kimaajabu tu nikaweza kuacha, nikahamia kwenye sigara, huko nako nikapambana nikaweza kuacha kabisa! Sasa si ndio...
5 Reactions
59 Replies
6K Views
Salaam Sana, Nimebahatika kupata pikipiki mbali ya kuwa inasaidia familia ikiwemo kufata majani ya ngombe. ila ningependa kuliko ipaki kijiweni niifanyie biashara. Najua humu mna wajuzi wengi...
1 Reactions
9 Replies
4K Views
Habari wadau, Nataka kuagiza mizigo kutoka China Nimejuzwa kwamba kuna makampuni yanahusika na kuleta mizigo mpaka hapa Tanzania. Sasa najua wengi pengine kwa haraka haraka mmeona ni heri...
3 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom