Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Habari wakuu. Natumai mpo salama. Mimi ni kijana msharaha wangu wa mwezi 350,000/= kwa mwezi. Nina mke na mtoto mmoja ila naona maisha ni magumu mno kipato changu cha mwezi hakinitoshelezi hata...
4 Reactions
9 Replies
3K Views
Tumekuwa watu wa kukata tamaa kwa haraka sana. Kitu kidogo mtu akijaribu kufanya, akikutana na changamoto leo na kesho anakataa tamaa bila kujiongeza.... Nakushauri usome kidogo hapa Don’t Give Up...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
HABARI WAKUU, KARIBU KWENYE MADA; UKWELI ambao pengine una kushangaza ni kuwa matajiri wengi hupenda kusimulia nyakati zao za giza. Kipindi ambacho maisha yalikuwa magumu, yenye mateso...
4 Reactions
6 Replies
3K Views
Mwaka wa nne huu upo Dar es Salaam (Mjini) Huna ajira nyingine zaidi ya kuhudhuria semina za akina Erick Shigongo (Motivation Speakers) 'How to be a rich' (Zimekupumbaza) Huna hata Toyo ya...
57 Reactions
88 Replies
10K Views
Bila ya kupoteza muda ningependa kuchukua nafasi huu kwenda moja kwa moja kwenye mada husika. Ninakwenda kufunguka na kueleza kila kitu hatua kwa hatua juu ya wazo hili lilipotokea na kwanini...
4 Reactions
9 Replies
3K Views
*Asema uamuzi wake haukushirikisha wizara nyingine *Adai wadau walipaswa kupewa muda zaidi, aonya rushwa WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda amemuonya Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli kwa mara nyingine...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Salute once again guys, hope kila mtu yuko vizuri Well, leo nimekuja kuanza kuelezea mada hii nilosema nitaileta hapa, sababu naamini kuna fursa kubwa sana kwa wafanyabiashara na wajasiriamali...
7 Reactions
31 Replies
10K Views
Nimepata tenda ya ujenz kuna kampuni ndogo niko nayo nahitaj mwekezaji atakaye wekeza million 60 tu ili tuweze kuanza mradi na pindi tutakapo lipwa advance payment tutarudisha hela yake kwa...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu habari kijana wenu katika pilikapilika nimebahatika kupata pesa ya China yaani yuan 1500 Shida inakuja nimezunguka benk kama 4 NMB, NBC, CRDB na AKIBA zote za KARIAKOO DSM Lakini...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Msimu mwingine wa Soko la Wazi la Mkulima Market umewadia ni 30 Agosti-2 Septemba 2017. Soko hili la wazi litafanyika kwenye Maegesho ya Magari ya Research Flats, mbele ya Jengo la Ndaki ya Kilimo...
3 Reactions
110 Replies
27K Views
Habari wana jamvi! Nafikiria kuanzisha biashara ya A4 copy paper kutoka aidha South Africa au Thailand! yaani kuleta container. soko langu nalilenga kanda ya ziwa. Wadau nahitaji mwenye taarifa...
0 Reactions
13 Replies
5K Views
Platform ya Youtube ikitumika vizuri, inaweza kuwa full time job kabisa. Kwa wenzetu Marekani, Uingereza na hata barani Asia, hii (vlogging na blogging) ni kazi mtu kajiajiri kabisa na inalipa...
2 Reactions
16 Replies
4K Views
Nipo Manyoni. Nahitaji kujua ni vibali gani vinahitajika kuanzisha timber yard? Na ni aproximately mtaji gani wa kuanzia nao minimum?
4 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wanajamvi, Tangu niijue JF sijawahi kujuta maana ni mahali ambapo huwa napata utatuzi wa changamoto zangu, kwahiyo naamini na Leo nitapata ushauri mzuri. Naomba niende Moja kwa moja kwenye...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Wakuu nataka kufungua photostudio. Wapi naweza kupata camera kali ya bei nafuu kuanzia 700k mpk 1000k ambayo nitaitumia kwa photo shooting na video shooting. Naomba ushauri wenu wataalam wa hizi...
3 Reactions
5 Replies
961 Views
Habari! Wasanii wa bongo walikuwa na mashindano yao walikuwa wanaumiza vichwa kufanya kazi zao kwa bidii na nguvu zote. Sasa hivi karibuni yale mashindano na majigambo walikuwa wanatupiana nani...
15 Reactions
30 Replies
3K Views
Hope wana JF wazima wa afya tele na hongera kwa kumpata kiongozi wenu kwa amani... Twende kwenye mada. Nimebahati kufanya kazi nchini Marekani kwa miaka 3 sasa kwa kweli nimejifunza vitu vingi...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari za wakati huu wakuu, bila shaka kila mmoja wetu anapambana ili kutimiza malengo aliyo jiwekea. Ushauri wako ni muhimu katika hili. Mimi ni kijana, ni mwenyeji wa mikoa ya nyanda za juu...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Kila siku asubuhi kuanzia saa 12 hadi saa 2 ofaa hii inatoa MB 60 bure Gonga *149*01# then chagua namba 1 after that utaona kama hapo kwenye image then chagua 20 supa then utaiona ASUBUHI SUPA
4 Reactions
12 Replies
4K Views
Asalaam! Ninaishi Arusha. Mambo ni magumu sana ndugu zangu asikwambie mtu kaskazini hakufai. Nimejaribu kuwaza kuhamia jiji mojawapo kati ya Dodoma au Dar. Ninafikiri katika wigo wa kibiashara...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom