Nalipenda jukwaa Leo kwa kuwakumbusha vijana wenzangu njia rasmi unazoweza kujipatia kipato bila kuvunja sheria za Nchi.
1. Kujiajiri (Biashara, Kilimo, ufugaji na kubet)
2. Kuajiriwa.
3...
Heshima yenu wana JFnataka kufungua business training centre kwa ajili ya kutoa mafunzo na semina ndogo ndogo za wajasilimali ambapo nitakuwa natoa mafunzo na semina kuhusu.
Mambo ya biashara...
Habari
Nimefanikiwa kupata kiasi cha 70,000 nahitaji hii pesa initoe kwenye dimbwi la umasikini.
Niifanyie kitu gani ambacho kitakuza mtaji haraka sana.
Nipo Dsm.
Nataka kushare nanyi experience moja katika utafutaji.
Kuna kipindi nilipoteza muda sana kwa kuhama hama. Nilikuwa na marafiki zangu kadhaa watafutaji, na Mungu kawabariki yani mtu kupata milion...
Ndege aina ya Airbus 220_300 leo imetua katika uwanja wa ndege wa Dodoma na kupokelewa na wananchi walokuwa wakiisubiri kwa hamu.
Gharama halisi ya tiketi ya ndege kwenda Dodoma sasa ni shilingi...
Wadau naomba kupata ELimu kubusu hili!
Leo katika Harakati za hapa na Pale nikajaribu kununuwa bidhaa kupitia mtandao huo wa Alibaba.
Nilikuwa nahitaj Pressure cooker only 1 Piece ila...
Fursa ni nini?
Katika kufanya kazi na wajasiriamali wengi nimegundua kwamba wengi huchanganya FURSA na kujikuta wanapoteza FURSA.Kama mjasiriamali na mtu mwenye kiu ya mafanikio lazima ujue...
Habar za asubuhi wakuu, Bila kupoteza muda niende kwenye maada, katika harakati za kupambana kupata riziki, kuna mtu nisiemfahamu alinifuata inbox na kunishirikisha juu ya uwezekezaji wa pesa...
Nimenunua kirikuu cha kugangia njaa mjini hapa. Lengo langu nataka kinitumikie japo miaka 2.
Nawaomba ushauri, nikibebeshe maximum kilo ngapi? au gunia ngapi za mahindi?
Asanteni
Habari za Jioni ndugu wadau.
Nahitaji fundi mtaalamu wa mashine kubwa kubwa za viwandani.
Naomba msaada wa kuonganishwa kama kuna mdau yoyote anayemfahamu.
Ahsante
Habari Zenu Wakuu
To The Point
Nimewaza kufanya biashara ya kununua magari mabovu ambayo aidha yamekua written off na insurance companies, kuboresha then kuyauza au kutumia kwa kuleta more...
Niliona katika habari ya Channel10 jioni hii, wamepewa makosa matano.
TRA wamewashtaki kwa kuingiza vifaa vya mawasiliano bila kibali, kuwa na server ambayo inatumika bila kibali, kutumia mitambo...
Kampuni ya TALA inayokopesha kwa njia ya mtandao wa simu za kiganjani, imetangaza kufunga shughuli zake Tanzania.
IN SUMMARY
Kampuni ya TALA inayokopesha kwa njia ya mtandao wa simu za...
Habari zenu wakuu,
Nataka kuanza kuuza maandazi, yale ya mia mia. Ila Kuna kitu sikijui katika hii biashara.
Hivi itanihitaji unga kiasi gani kutoa maandazi 200,
Vipi kuhusu sukari, maziwa...
Natafuta mtu mwenye interest ya kuingia kwenye construction industry.
Kampuni ilipata usajili brela 2014, baada ya kuhangaika mwaka mzima 2015 kutafuta miradi hatimae mwaka 2016 kampuni ilianza...
Habari wakuu,
Naomba kujua namna ya kutoa pesa kwa PayPal na Amazon gift cards hapa Tanzania. Nina hela nataka kupokea kutoka nje ila Payment methods zao ni PayPal na Amazon gift cards tu.
Ahsanteni
Nataka kuifanya hii biashara ya kuuza.
Perfume
Spray
Losheni
Ninahitaji msaada jinsi ya kuanza na kupata soko wateja na njia za kuendesha biashara hii.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.