Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Wajasiriamali wenzangu. Je ni biashara gani au huduma gani inaweza kuwa fursa eneo lenye bar pamoja na car wash nyingi? Kwa mtaji mdogo kama mjasiriamali ambaye nitakua natoa huduma hiyo kwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Greetings JF massive. Ni siku nyingine tunakutana tena ambapo kama kawaida nakupatia darasa jinsi unavyoweza kutengeneza pesa [emoji385] Huu uzi nimeandika baada ya kusoma uzi huu Leo...
10 Reactions
23 Replies
6K Views
Nahitaji kuingia ktk biashara hii. Naomba ushauri jinsi ya kuanzisha. I got 2 million wishing to start eletrical store equipment, i probably need guide and advice on how to manage this...
0 Reactions
200 Replies
94K Views
Katika makosa makubwa unaweza kufanya kama binadamu ni kuomba ushauli wa kibiashara unayotaka kuifanya toka kwa watu wana kufahamu iwee ndugu au marafiki wa karibu Never and ever usije ukajaribu...
5 Reactions
8 Replies
2K Views
Sio jambo jingine ni hili la kuweka namba ama kisanduku cha maoni ya wateja kuhusu biashara yako! Wateja pia wamekuwa wanakumbana sana na dharau za wafanyakazi either Dukani ama sehemu mbalimbali...
0 Reactions
0 Replies
767 Views
Clean the courtyard Cleaning private cars,wash trucks,wash the farm, washing factory, car washing machinebei ml.4.50000 hiyo ya blue Nyeusi m.7 na nusu Na hii kubwa ml.11 shipping company FedEx...
0 Reactions
3 Replies
897 Views
Soko la Wafadhili (The market of potential donors) kwa Taasisi zinazofanya vizuri katika maeneo yao ya kiutendaji ni kubwa. Ili kuwa na ufanisi katika kuliendea soko hili; Taasisi inapaswa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nina biashara ya kava za simu za iphone na simu nyngine na accessories kama usb, charger, protector na vingne vingi kuhusu iphone, samsung, infinux, tecno. Kwa maeneo hayo eneo lipi litafaa na...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Karibu ujipatie mashine ndogo na simple Sana kutumia inashona kila kitu na inatumia umeme. Utaipata kwa elf 50,000 tu. Zimebaki chache wahi yako mapema. Watsap, calls 0719884746
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimekuwa napata shida sana kupata njia nzuri ya kutuma na kupokea fedha kutoka nje ya Tanzania. Kwa muda mrefu nimekuwa natumia Western Union na MoneyGram kwa sababu ni njia za uhakika na naweza...
2 Reactions
27 Replies
9K Views
Kamwe usiache kazi yako na kwenda kuanza biashara Lakini Acha kazi yako kwa lengo la kwenda kukuza biashara iliyopo. Watakuambia wanakulipa mshahara ili wapofushe ndoto zako huo ni upuuzi...
20 Reactions
87 Replies
9K Views
Wakati kila mtu yuko mtandaoni akijifanya anatengeneza pesa wewe nenda zako mitaani na Anza kupika pesa. Wakati hakuna mtu barabarani, wakati maduka na ofisi zote zimefungwa basi unaweza...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Helloowww mabibi na mabwana,wakaka kwa wadada...hope mko pooa kabisaa kuelekea mapumziko ya mwisho wa wiki.. Kama ilivyo ada watu hatuachi kuhangaika na kujifunza mambo mbalimbali katika maisha...
25 Reactions
55 Replies
19K Views
Habarini wanajamvi. Msaada pliz, ni Bank ipi yenye naweza kuwa na account in dollars, with affordable terms. Asanteni.
1 Reactions
47 Replies
13K Views
Wasaalam WanaJF Mimi ni mfanyabiashara za hapa na pale sasa katika transaction zangu uwa Napata vidola (USD) asa nahitaji kutafuta sehemu ya kuhifadhi. Mwenye kujua utaratibu huwa unakuaje anijuze...
0 Reactions
18 Replies
13K Views
Wadau tuchangamkie fursa ya biashara ya kuanzisha mortuary na majeneza hususani sehemu za mjini kama Arusha & Dar es Salaam, maana kila siku watu wanakufa na kama ujuavyo watanzania wakisikia kifo...
7 Reactions
76 Replies
13K Views
Habari za wakati huu, Katika suala la ujenzi wa uchumi na maendeleo moja kati ya vitu muhimu sana katika labour force ni skills.Mfumo wa elimu unalenga kuwapatia watu skills and knowledge...
1 Reactions
43 Replies
3K Views
Jifunze kuuza, jifunze kutengeneza kama una uwezo wakufanya vyote viwili kwa pamoja hushikiki!~Naval Ravikant. Kuna balaa niloliona katika salesmen/women wengi hasa hawa wa door to door...
15 Reactions
57 Replies
6K Views
Back
Top Bottom