Mambo vipi wadau, mimi ni mtanzania kwa sasa nipo nchini Japan kimasomo. Nikiwa Japan nimepata nafasi kufanya kazi muda wangu wa ziada kwenye kampuni inayouza magari yaliotumika na vifaa vya...
Ajira zimekuwa adimu sana hata serikali ikisema itengeneze hizo ajira milion 8 ilizoahidi sidhani kama zitatosha kumaliza uhitaji wa ajira lililopo nchini, na mbaya zaidi graduates wanaongezeka...
Habari JF
Nahitaji kuagiza simu na mashine za kufanyia tshirt na cups printing kutoka USA na baada ya kufanya utafiti mdogo nikaona Vykingship kwa mizigo hii inafaa.
Lakini Tatizo likaja je...
Wadau,
Ninaomba kuuliza namna ambavyo biashara ya barbershop (saloon za kiume za kisasa) inaendeshwa?
Je maelewano kwenye upande wa mmiliki na vinyozi pamoja na wadada wanaofanya scrub, massage...
Kama umeshausoma mchezo wa biashara maeneo ya vyuo, basi uzi huu mfupi wenye madini hautakuwa mgeni kwako.
U hali gani mwana jamvi? Mimi mzima kabisaaa, lengo langu ni kujulishana fursa za...
Falsafa ya biashara ni nini?
Falsafa ya biashara ni seti ya kanuni, taratibu na mienendo ambayo mfanyabiashara au kampuni anaamini na hutumia kuamua jinsi ya kushughulikia maeneo tofauti ya...
Vipi huyu Broker kwa wale waliomtumia na wanaomtumia vipi kuhusu deposit na withdraw method zake?
Vipi spread zake zinabadilika badilika au ni muaminifu?
Naombeni moja, mbili tatu kuhusu huyu...
Tarehe 5 May 2020 hakuna hisa hata moja iliyouzwa. Yaani trading volume ni sifuri.
Dar es Salaam Stock Exchange ina kampuni 24 au 25 zilizosajiliwa.
Maana yake no selling or buying of shares...
Habari nyote.
Kama maelezo yasemavyo hapo juu naomba kufahamu kampuni za kusafirisha mizigo kwa ndege kutoka China kwa bei nafuu. Nimekuwa nikitumia Unique aircargo lakini kiukweli mizigo...
za mda huu wadau,
mimi ombi langu ni kwa mtandao wa voda pamoja na mitandao mingine ya simu, kwa sehemu yangu ninafurahia huduma ya mastercard zenu ila tatizo ni pale mtu anapokuwa amesajili...
Habari wakuu,
Poleni na majukumu ya kila siku katika harakati za kutafuta mkate. Mimi ni mmoja kati ya wahanga wengi tuliohangaika kutafuta ajira kwa muda mrefu bila mafanikio.
Baada ya kusota...
Wadau wa JF habari za uzima,
Mimi ni kijana wa miaka 20 mwanafunzi wa chuo mwaka wa Pili. Kuna some business ndogo ndogo nahitaji kuzifanya lakini naombeni mnishauri ni vigezo gani zaidi...
Wazee wa boma, Naombeni mnitoe tongotongo kuhusu hili.
Nasikiaga watu wanasema kuwa Pesa za MasterCard hazina thamani na kwamba kama umefanya kazi online usikubali mtu akulipe kwa MasterCard...
Mtaji wangu ni kati ya 7.5M - 10M nimewekeza kwenye duka la chakula,sabuni spices nk... reja reja ILALA DAR, wakuu wataalamu wa TRA nawaomba munijuze hapa kiasi gani yafaa nilipe TRA kwa mwaka...
Credit card ni idea ilio anzishwa na watu ili kutatua changamoto za kusubilia hadi siku ya mshahara ndo watu wafanye shoping.
Ukiangalia Tanzania malipo mengi ni mwisho wa mwezi na kweli ukifanya...
Wakuu huu ni mwezi wa pili kwa wale wanaotumia broker wa templer forex hawawezi kudiposit pesa kwa njia ya M-Pesa Tanzania
Inasemekana kuna mgogoro mkubwa wa kampuni ya M Pesa na BOT
Tafadhali...
Awali ya yote Napenda Kushukuru na Kupongeza Jukwaa kwa Mawazo Elekezi.
Naomba nielimishwe/nijulishwe juu ya Biashara ya Airtel money branch kwa ujumla, ( faida na changamoto zake kubwa, Uuzaji...
Habar zenu Wakuu!
Nina lengo la kuanzisha na seriouly kufanya biashara ya Maabara ya kupima vipimo vyote vya magonjwa ya binadamu katika moja ya mji wa hapa TZ.
Ninacho omba kutoka kwa watalaam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.