Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Habarini wakuu. Natumaini mko poa sana, narudi kwenye hoja yangu. Hivi kwanini haya makampuni yanayo dili na kurekebisha mashine zile za EFD wenyewe sio watoa risiti? Nashangaa maana...
5 Reactions
10 Replies
2K Views
Juzi kuna jamaa yangu kanipigia simu akawa ananieleza vitu sivielewi elewi. Ni kitu kinaitwa Mr. Kuku Farms akidai ni mradi mkubwa wa ufugaji kuku una physical presence na ni kampuni iliosajiliwa...
10 Reactions
205 Replies
38K Views
Wana JF naomba msaada wenu. Ninafanya utafiti wa biashara ya kutengeneza siagi ya karanga. Nimerithi mashine ya kutengeneza peanut butter ila sina ujuzi wa soko hasa la Dar es Salaam. Mimi naishi...
1 Reactions
31 Replies
29K Views
nataka nunua speaker kubwa ya mziki watts 500 brand ya candy. ninaomba kujua bei zake madukani zinaweza kuwaje ili nijiandae
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Habar za muda waungwanaaa naomna niende moja kwa moja kwenye mada naomba kujua jins gan naweza kutambua madin feki na kama una changamoto zinazojitokeza kwenye biashara ya madini share nami nataka...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu kama ilivyo mada hapo naomba kueleweshwa zaidi juu ya maisha ya nchi ya Seychelles na fursa zinazopatikana huko kibiashara. Naamini humu ni kisima cha elimu.
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Baada ya kuisoma ilani ya chama tawala CCM na kusikiliza hotuba ya rais alipokua anafungua bunge watanzania wengi tuliiona nia ya dhati ya serikali yetu kuboresha uchumi kwa kiasi kikubwa haswa...
8 Reactions
34 Replies
3K Views
Nahitaji kuanzisha biashara ya wine inayotengenezwa kwa kutumia asali.Naombeni ushauri maoni au taarifa yoyote inayoweza kunisaidia katika hii biashara ninayotarajia kuanza
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Habari za jioni ... Naomba kujua aliyewahi kuagiza bidhaa kutoka application ya made in China na akaupata na quality ikoje
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Sijui kama wewe ulishafika hii stage, lakini kuna muda kwenye maisha unaona kabisa kila mtu anakukataa. Wale washkaji zako wa dam dam wanakufungia vioo, ndugu zako wanakupotezea, majirani...
11 Reactions
11 Replies
2K Views
Biashara ninayoizungumzia hapa ni biashara ya grosari ambayo itajumuisha banda la chipsi , nyama choma , supu , chapati. Ipo hivi, kwanza inabidi zipatikane fremu angalau mbili avunje kati...
15 Reactions
50 Replies
10K Views
Habari zenu wakubwa kwa wadogo Kijana wenu nimekuja hapa kuomba msaada wa kufahamishwa kuhusu utaratibu wa kuwa wakala wa soda za pepsi au cocacola pamoja na bia Kwa yeyote ambaye yuko kwenye...
3 Reactions
8 Replies
9K Views
Naomba mwenye uelewa mzuri wa hii biashara atupatie somo vizuri 1.Mtaji 2.Maeneo ya kupata hivi viumbe 3.Vibari 4. soko 5.namna ya usafirishaji na gharama zake 6.Namna ya kupata connection za...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Habari za jioni wadau, najua wengi wetu tunaendelea na majukumu kama kawaida. Oky hemu niingie kwenye point. Bidhaa za hawa wanajiita Alliance In Motion Global Mfano moja inautwa: mychoco...
4 Reactions
12 Replies
6K Views
ukimiliki moja wapo kati ya blog zilizoelezewa kwenye makala hii ni rahisi kuingiza kipato kila mwezi Blog ni nini? Blogu ni aina ya tovuti ambayo inatoa taarifa za kila siku za tasnia Fulani...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Ninini kitatokea endapo nikakodi fremu na kuanzisha biashara ya video library bila ya kuwa na leseni ya biashara? what will happen?
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu kuna bidhaa huwa natamani kuzinunua Aliexpress, ila shida inakuja kwenye shipping cost, unakuta bidhaa inauza usd 100 alafu shipping cost usd 400. Swali langu kwa wanaoweza kuagiza hizi...
3 Reactions
12 Replies
4K Views
Mimi ni mfanyabiashara mdogo ambae bado sijafikia level ya kukopesheka benki. Nina shida ya mkopo wa milioni moja na nusu ili niweze kukuza biashara yangu. Dhamana niliyonayo ni hati ya mauziano...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Wale Ndg. Zangu wa kutumia fursa nawapeni taarifa kiroho Safi biashara ya Tangawizi ishaingia MDUDU huko kilo 1 kwa Sasa 800 TZS kutoka @5,000/= wiki moja iliyopita. Source: Sokoni Kariakoo Shimoni.
2 Reactions
89 Replies
17K Views
Hongera Jemedari & Mzalendo Nambari 1 Nchini Dkt. John Pombe Joseph Magufuli. Matumizi Sahihi ya Rasilimali Zetu Huleta Matokeo Chanya Kwetu Sote. Tuliahidi Tunatekeleza Tunasonga Mbele Kwa Kishindo
6 Reactions
15 Replies
2K Views
Back
Top Bottom