Wenye experience na market ya Tanzania naombeni mawazo yenu kuhusu biashara zinazohusisha teknolojia ya tehama IT.
Iwe ni biashara ambayo ni fully IT based au ambayo uendeshaji wake unategemea...
Baada ya kuanza kutangaza matangazo ya Google,Leo nimelipwa pesa hiyo hapo juu japo kuwa kwa akaunti yangu sijaiona,inachukua muda gani kureflect kwa account yangu.
======
Update: Hatimae pesa...
Shirika la Ndege la Qantas Australia lenye miaka 100 kazini limeshika namba moja kwenye orodha ya 2021 ya Ndege salama zaidi kusafiri nazo duniani iliyotolewa na airlineratings.com ambapo namba 2...
Biashara ya Mfumo wa manunuzi ya bidhaa zote zinazipatikana China kwa Bei ya jumla kwajili ya wafanyabiashara wadogo na wakati kwa Tanzania nzima, kupitia mtandao. Platform(mobile app) ipo Hewani...
Nyumba yenye samani zote (full furnished house) ni inayokuja kwa kasi Tanzania. Samani za muhimu ni kitanda na godoro, kabati la nguo lenye kioo, chumbani. Jikoni ni jiko, fridge, washing...
Wadau kheri ya mwaka mpya (2021)
Mbele yenu naomba USHAURI juu ya Biashara mbadala
Aidha baada ya kumaliza Chuo 2017 nilipenda sana kufanya shughuli za stationery na nilianza kufanya hata wakati...
Tafuta hela kwa nguvu zako zote, sana sana ukiwa kijana, ukiajiriwa au ukijiajiri fanya kazi kwa bidii bila kusahau kumshukuru Muumba kwa sala na zaka.
Tafuta hela kama muuza machungwa...
Jambo hili nimeliona kwenye uwanja wa Aman nimeona ni la kushangaza kidogo kwa mtazamo wangu naona mgongano wa kimaslahi kwa taasisi hizi mbili Namaanisha CRDB Bank na NMB Bank mabango yao wote...
Jamani tusaidiane katika hili nisijekupigwa huko Kariakoo naombeni msaada kwa wale watu wa mikoani mnaochukua nguo Kariakoo nielekezeni machimbo ya nguo za kike wanapouza kwa bei rahisi...
Ndugu zangu naomba ushauri wa biashara ipi Haina risky sana kati ya hizo mbili (pembejeo na pharmacy) nmemalza chuo na mtaji kama wa million tatu napenda kufanya biashara ya pharmacy au duka la...
Habari wana JF
@ Soko la hisa, UTT AMIS na Hatifungani
CRDB Bank PLC ni kampuni mojawapo iliyoorodheshwa hisa zake katika soko la hisa la DSE.
Hisa za CRDB zimekuwa zikifanya vizuri katika soko...
Kwa mtazamo wangu, watu ambao hawakutoka kimaisha miaka ya nyuma, hasa watumishi wa umma, kwa maana ya kujenga, kuwekeza,kununua gari/magari, n.k, hivi sasa mazingira ni magumu zaidi na inaweza...
CONSIDERATIONS FOR 2021
________________________________
@Soko la hisa, Utt AMIS na Hatifungani
1. ON EARNING:
Never depend on single income. Make investment to create a second chance...
Wapendwa habari za leo. Naombeni kujua nauli ya kutika Arusha hadi Uganda Kampala.
Nataka nisafiri kwa bus nina shughuli binafsi naenda kufanya kule.
Naomba pia nipate ufafanuzi wa sehemu ya...
Habari wazawa !
Leo ningependa nije na wazo jipya ambalo litasaidia watu kupata wazo la biashara kwa kununua kutoka kwa watu wenye wazo la biashara ambao hawana mtaji wa biashara. Offcource ata...
Mimi ni mkazi wa Dar na Dodoma. Moja ni jiji la kimataifa la biashara na jiji lingine makao.makuu ya nchini. Haya majiji ni machafu sana yametapaa vibanda mpaka barabara zimekosa uhalisia wake...
Habarini ndugu zangu.
Ndugu zangu naomba ushauri wenu, nataka kuanzia maisha upya nifanye biashara hasa biashara ya mtumba, kwa mtaji wa laki 6.
Naomba niulize mkoa gani unaweza nisogeza na...
Kuna fursa mpya imekuja, umeshawishiwa kwamba ni nzuri na ukafanya maamuzi ya kuingia kwenye fursa hiyo. (fuga kware)
Umeamua kuingia, wakati unaanza kufanya unakutana na ugumu fulani, kabla...
Nakaribisha mtu yeyote ambaye angependa kufanya biashara ya kusindika unga wa sembe nje ya tanzania aje tuunganishe nguvu.
Sifa
Awe tayari kurellocate
Awe na passport mpya na awe tayari kulipia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.