Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Habari za muda huu wadau, Katika pita pita zangu Instagram na social network sites zingine nimegundua Bongo humu humu kuna watu wana pesa chafu wanakula le maishaz! Sasa na mm nimechoka kuishi...
4 Reactions
16 Replies
2K Views
Habari za muda wadau na wanajamvi, Tony Elumelu ni mwana wa afrika, mjasiriamali, mpambanaji na mkarimu pia. Alianzisha foundation ya Tony Elumelu, mnamo mwaka 2010. Nia ilikuwa ni kuwawezesha...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Wadau Jf habari za mihangaiko wakuu mimi nipo Dar kwa sasa ila natembelea sana Geita nimekuwa interested sana na biashara ya dhahabu sasa natamani sana kupata connection ya hizi biashara.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tunaelekea kipindi ambacho Mahitaji ya Wanafunzi kwa ajili ya shule ndio kipaombele zaidi, tumeshatoka kwenye nguo za sikukuu n.k. Sasa tuna Switch ON upande wa pili. Ni kipindi kifupi sana ila...
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Kama title inavyojieleza hapo juu, Wakuu nina idea ambayo nahitaji ku-work on it na ninampango wa kuwashirikisha baadhi ya organisation na benki as shareholder but changamoto ninayoiona kubwa ni...
1 Reactions
12 Replies
5K Views
Wasalaam, Mimi ni mjasiriamali mdogo nina shughulika na kuuza nguo za kike na za watoto pamoja na urembo, nimekuwa nikitangaza biashara yangu kupitia facebook acc ya kawaida ila naona sasa...
2 Reactions
23 Replies
7K Views
Baada ya muda mrefu wa kusuasua hatimae Mzee Mzima ametoka na bus mpya aina ya Yutong. Hongera sana maana hizi bus watu walishaanza kukaa nazo mbali kutokana na uchakavu , kwa mwendo huu bila...
4 Reactions
132 Replies
47K Views
Habari zenu wakuu, Nipo Dar najishughulisha na biashara ya machinga nauza hand bags za mtumba, kutokana na ugumu wa biashara hapa jijini, nawaza nitafute mkoa wa kwenda kufanyia biashara yangu...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu mambo vipi.. Nataka kuanza biashara ya kuuza nazi, nitazitoa mkoani Lindi na kuziuza DSM. Naomba kujuzwa jinsi ya kupata soko kwa hapa DSM. Thanks
3 Reactions
19 Replies
5K Views
Nipo zangu feri kwenye kivuko cha Magogoni narudi nyumbani saa 7 mchana huu. Kichwa hakiko Sawa maana “mchongo” niliofata town umebuma hivyo nikajiwazia zangu heri nirudi mapema nikacheze na...
6 Reactions
17 Replies
3K Views
Habar wadau, Naombeni kujua limit ya kuweka pesa kwenye account ya tigopesa ni sh ngapi!? Nawasilisha
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari za leo wadau baada ya mihangaiko ya muda mrefu ya namna ya kusafirishaji malighafi kutoka india kuja hapa nyumbani na kukwama ingawa nimeona bidhaa ninayoihitaji ikiwa inauzwa kwa wingi...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Miradi mikubwa inajengwa Chato. Rais anashinda Chato, Watendaji wa ngazi za juu wa kitaifa wapo Chato muda wote. Marais wa nchi ama viongozi waandamizi wa serikali wa mataifa mbalimbali wanakuja...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wakuu. Nimeona nilete hapa hili swala ili kupata mawazo tofauti tofauti juu ya business Ideas ambazo zinaweza kuwekezwa kiasi cha Tshs 10M. Kuna jamaa yangu ana kiasi hicho cha fedha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna hii biashara imeibuka kwa kasi sana ambayo ofcoz ina hela sana lakini athari zake utajuta maisha yako yote! (Nita attach na picha yake chini hapo) Kifupi huo ni unga unga uitwao MAFLA...
5 Reactions
48 Replies
8K Views
Habari jioni sana JF, Kama kichwa cha habari kinavyoeleza mwenye ABC za biashara ya studio ya picha tujuzane mambo yote ya msingi ambayo mtu anatakiwa kuyajua kama anataka kufanya hii biashara...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Habari zenu ndugu zangu, mimi ni kijana nilie maliza elimu yangu kwa level ya bachelor mwaka 2017, toka kipindi hicho nimejaribu kufanya vitu tofautofauti ikiwemo vyakujiajiri binafsi na vyengine...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
How co-ops help Tanzania farmers feed Kenya Saturday January 16 2021 Smallholder maize farmers in Tanzania have organised themselves into group through which they sell thousands of tonnes to...
0 Reactions
2 Replies
719 Views
Habari wakuu. Wazo la mradi wa biashara ya matangazo. Wazo linahusiana na kufungua kampuni itakayokuwa inatoa huduma ya kufanya matangazo ya kibiashara katika mfumo wa kidigitali (digital...
5 Reactions
87 Replies
8K Views
Matajiri wataendelea kuwa matajiri na masikini wataendelea kuwa masikini. Msemo wa siku nyingi sana. Wakati hapa Tanzania watu wanalalama vyuma vimekaza .They can't breathe [emoji3]Hali iko...
5 Reactions
64 Replies
6K Views
Back
Top Bottom