Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Habari za Muda wadau wa Jf. Naomba msaada wa kampuni inayosafirisha mizigo kwa njia ya Ndege toka China hadi Dar ili niweze kurahisisha ufikaji wa mizigo yangu. Nimekuwa nikisafirisha kwa njia...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Naomba mwenye ufahamu wa bei ya choroko kwa kilo sehemu mbali mbali hapa nchini kwa kipindi hiki anijuze. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
11 Replies
4K Views
Habari wakuu, Msaada kwa wazoefu mwaka ujao napanga kufungua duka la vifaa vya umeme msaada kwa wenye uzoefu, location itakuwa Mbeya.
0 Reactions
3 Replies
891 Views
Naomba kusaidiwa niwapi naweza pata flemu kwaajili ya biashara ya nguo na viatu, sehem ampo kumechangamka
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwanza nianze kwa kusema kwamb mimi ni msahuri mwelekezi wa Kibiasha kwa wajasiriamali wadogo na wakati hasa wanaofanya biashara zneye Mtaji au annual turnover ya kati yz TZS 10,000 hadi TZS...
14 Reactions
130 Replies
9K Views
Banda la kutosha nguruwe wa 5 kitaalamu linaweza gharimu Tsh 741500/= (makadilio ya juu) GHARAMA ZA GURUWE 5 Guruwe wa miezi mitatu anauzwa 1@60000 Kwa nguruwe 5 *60000 = Tsh 300000/= GHARAMA ZA...
0 Reactions
17 Replies
24K Views
Habar wadau,msaada Mim ni mfanyabiashara naitaji mkopo kutoka bank ,naitaitaji kufahamu ni bank gani hapa nchini inatoa mkopo kwa riba nafuu.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nahitaji kupata muongozo kutoka kwenu wakuu kuanzia upatikanaji wa mashine, raw materials, packaging na ushauri.
2 Reactions
12 Replies
7K Views
Kwa wale wadau wa Forex naombeni maujanja ya kuikuza account yangu ya forex kutoka $250 mpaka $1000 ndani ya mwezi mmoja maana naona kama mimi mwenyewe siwezi. Nina miezi mitatu sasa natrade...
2 Reactions
67 Replies
12K Views
Hello wanajamvi, Mtu fulani ughaibuni anataka mahindi, tani 100 (kilo laki), ila kwa Tshs. 400 kwa kilo. Kama hili linawezekana kwako, njoo tuongee. Mda huo unatupa kisogo...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Nimecopy na kuileta humu Naomba unisikilize na unielewe vzr sana. Ujasiriamali/biashara ni career sijui nisemaje ulielewe, yani ni lifestyle km ilivyo kuwa mwajiriwa au mkulima au mwanasiasa au...
11 Reactions
17 Replies
3K Views
Wakuu .za asubuh...naomba msaada ..ni kampuni ipi Tz inayofanya usafirishaj wa mizigo from china ambayo angalau ina gharama nafuu...SIlent ocean naona wana gharama sana... Angalau nipate kampuni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wapendwa, ni muda sasa nawaza wapi panafaa kwa biashara na mzunguko wake wa pesa ni mkubwa kulinganisha na mahala pengine. Toa mji wa mamwinyi TANGA
7 Reactions
288 Replies
125K Views
Habari wanajamvi, Mimi nina gari ya kubeba mizigo, naomba misaada yenu nianzie kazi ya kubeba mizigo wapi ambapo biashara inachanganya mapema.
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu, ninahitaji msaada wa mawazo kutoka kwenu, Nina mpunga nimeupaki nimesubiri bei ipande ndio niuze je, kuna njia gani nyingine nitumie ili niweze kukizi mahitaj yangu maana naona...
4 Reactions
39 Replies
8K Views
Nianzie na Tips, kidumbwi, samaki, element yan hayo maeneo wanauza vitu bei ghali sana kana kwamba yako sayari nyingine. Bei sio rafiki kabisa yan, ukiambiwa na pisi mkutane hayo maeneo bora...
2 Reactions
30 Replies
6K Views
Napenda kupata muongozo. Nimeotaji kununua machine ya kuchania mbao kutoka china. Sasa sijaelewa vyema ni kwa namna gani fedha zangu zitakuwa salama. Kwenye hii biashara ili niwe na uhakika wa...
0 Reactions
32 Replies
14K Views
  • Poll Poll
Habari JF; Mkeka huu UWE msaada kwa wenye KAMPUNI & BIASHARA, wanaohitaji msaada, wenye maarifa ya aina yeyote kufanikisha shughuri za KAMPUNI & BIASHARA. SIO HIVYO TU, bali kwa wenye mawazo ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari, Nina kijana wangu anaweza kutengeneza sabuni za mche nzuri tu. Sasa katika kuhifadhi, ninahitaji maboksi madogo madogo. Unakumbuka yale ya sabuni za komoa, mbunju, hata kodrai, mshindi...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Habarini ya Jumapili wakuu, mimi ni kijana wa miaka 23 nipo sam wea chuoni namalizia degree yangu fulani, leo nimekuja kuomba msaada wa kimawazo namna ya kuyaingia maisha ya mtaani. To put...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Back
Top Bottom