Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Nairobi, December 04th, 2017, By Pascal Mayalla Trademark East Africa launches women and trade drive. Taasisi ya TradeMark, East Afrika, imezindua mpango kamambe uitwao Women and Trade Drive...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu na poleni na majukumu yenu ya kazi. Nianze kwenye maada husika kuna wazo nimelipata nataka kuanzisha ufugaji wa kuku wa kienyeji mixer kanga eneo ninalo nimelinunua mwaka jana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari waheshimiwa. Ndugu yenu apa nina swali nataka kujua kuusu site za BIASHARA mtandaoni kama vile Kariakoo mall nk.nataka kujua nazo zinalipiwaa?? Na ni Kiasi gan?? Au la bidhaa inayouzwa...
0 Reactions
0 Replies
648 Views
Jamanii hii kitu bei gani?
0 Reactions
0 Replies
640 Views
Habari waheshimiwa Kama kichwa Cha habari kinavyosema nataka kufungua online business ambayo nitadeal hasa na all computer na vifaa vyake km ram na disk,flat screen nk.. Na mimi nipo DSM...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakuu! Aise Kwanza niseme tu kuwa maisha Ni magumu mno Tena kwa upande wa wasomi. Dogo kamaliza chuo kapewa kianzio ila Sasa hivi hata mwezi tu hajamaliza tayari mtaji kaumaliza. Ombi...
8 Reactions
58 Replies
6K Views
Habari wakuu, Nafikiria kuanzisha biashara ya kukopesha kama ka microfinance kadogo lakini nibaki na dhamana. Kwa mfano una simu au laptop unakuja unaicha ofisini (baada ya kujaza form ya...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Naomba kufahamu mambo ya kuzingatia unapohitaji kununua kizima moto (Fire extinguisher) kwa ajili ya nyumba ya kulala wageni (Guest house). Mfano: Kimoja kinatosha kwa nyumba yenye vyumba...
0 Reactions
0 Replies
991 Views
Watu wengi sana wamewahi peleka documents zao ili wapate uwakala wa MPESA, TIGO PESA NK. Lakini TILL zao zilipotoka waliuziwa watu wengine. Maana now unachukua documents zile zile unaambiwa Till...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari wana JF, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26, ni mhitimu wa Shahada ya Electrical & Electronics Engineering. Katika moja ya Chuo Kikuu hapa mjini Dar es Salaam kama ilivyo kawaida ya...
14 Reactions
83 Replies
11K Views
Natafuta eneo lililochangamka kiasi kufanyia biashara ya Mobile money, kama ww ni owner au unaweza kuniconnect na owner, nitashukuru. Mm ni mkazi wa Temeke so naprefer maeneo around Temeke...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hii kitu huwa najiuliza sana kwanini wamasai wanapenda zaidi biashara ya kutembeza sandoz (sandals) kuliko biashara zingine? Siku za nyuma nilikua naamini wao ndio wanazitengeneza kumbe sivyo nao...
9 Reactions
37 Replies
6K Views
Habari wakuu, Juzi asubuhi Jumamosi tarehe 26/05/2018 nilikua naangalia kipindi cha Clouds 360 on Saturday kinachoendeshwa na Siza na Gibson George.Mheshimiwa balozi wa Tanzania Comoro...
14 Reactions
56 Replies
21K Views
Habari wakuu narudi tena kwenu. Nipo kwenye process ya kuanzia catering services. Nilikua naomba mwenye ujuzi anisaidie nataka kuwa nanunua nyama kwa bei rahisi machinjioni hivyo naomba kujua...
2 Reactions
5 Replies
5K Views
Wakuu naomba ushauri wenu. Nawezaje kuokoa walau pesa kadhaa kutoka ktk mshahara wangu? Ninapokea laki sita na nusu tu na nipo single sijapanga ninaishi home. Home hawanitegemei hata kwa...
9 Reactions
173 Replies
58K Views
Ndugu wanajukwaa, kama kuna mtu au kampuni inayopima maeneo ya dhahabu nahitaji mawasiliano, nahitaji kujua kiwango cha dhahabu, umbali na taarifa zingine za kijiolojia katika eneo husika. P...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Being a man in a society is not easy. Many things are expected of you. You need to take good care of your family and more so be a role model. Being a man needs one to at least have some money that...
6 Reactions
5 Replies
770 Views
Wasalaam wakuu wa jamii forum. Kipekee kabisa nipende kutoa pole kwa familia ya Hayati Mzee Mkapa na Watanzania wote kwa ujumla kwa msiba mzito na mhimu kwa taifa. Pamoja na huzuni na majonzi kwa...
1 Reactions
35 Replies
3K Views
Habari wakuu . Nimepata changamoto ya kuhamisha fedha kutoka Skrill kwenda Visacard ya bank ya Equity. Transaction was failed! Na nilipowauliza ndio wakaniambia bank husika haisapoti Original...
0 Reactions
2 Replies
991 Views
Habari,kampuni ya SACAMA interprises inayohusiana na usafirishaji,inatafuta magari kwa anzia tan 20 na kuendelea kwa shughuri za usafirishaji....rate Ni nzuri zenye manufaa....hivyo Kama unagari...
0 Reactions
0 Replies
799 Views
Back
Top Bottom