Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Wakuu kama kichwa kinavyojieleza,naomba kujuzwa zaidi aliewahi kununua bidhaa kwao je ni za uhakika na ubora kama zinavyotangazwa?! Nimeona matangazo yao Instagram
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Wakuu naomba kufahamu ni wapi lilipo soko la ulezi na bei ni sh ngapi kwa gunia. Kuna jamaa yangu ana gunia kama 70 hivi kule Singida anahitaji kuuza. Naomba kuwasilisha.
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Nahitaji kuanza kuagiza bidhaa kupitia magari ya kampuni husika(hasa Mo) Naomba kujua utaratibu wa malipo mpaka mzigo kufikishwa ofisin Je bei zao zipo rafiki?? Na je oda wanaanzia ngapi?? Na...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
It indeed true that Africa as whole is a fast developing continent in the world today. Also it includes such developments as modern infrastructures, architectures and designs. It is also a known...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Natafuta wafanya biashara wanaotoa na kuuza bidhaa zao kwa mkopo. Namaanisha suppliers ambao wanaweza kukupa bidhaa au huduma na ukalipa kwa instalments labda kwa miezi2, 3, 6, 9 au 12...
3 Reactions
47 Replies
5K Views
Na Bikira konk 1. Miaka mingi iliyopita nilialikwa kwenye "listening party" ya wimbo na video ya "My Favorite Artist Wangu Of All Times Lady Jay Dee. "Listening party au watch party" ni "closed...
13 Reactions
10 Replies
2K Views
Hii ndio hali halisi ya nchi ilipofikia , pichani mkulima ambaye pia ni mchuuzi wa madafu akiona nyota nyota kichwani asijue la kufanya baada ya kuzingirwa na kikosi kizima cha mgambo huku...
7 Reactions
49 Replies
7K Views
Habari wakuu wa jukwaa hili. Kwa muda mrefu sana nimekua nikitamani kufanya hii biashara ya catering na sasa naona kama ni muda muafaka wa kuanza. Tafadhali naomba mwenye experience na hii...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu khabari za asubuhi, mimi kijana wenu mpambanaji ..naendelea kutafuta ni kwa namna gani naweza kujiongezèa kipato. Katika pita pita za town naona kuna fursa ya kufanya hii biashara ya matunda...
3 Reactions
0 Replies
9K Views
Naombeni kufahamu kwa wale wote wanaofanya kazi katika ofisi mbalimbali hasa katika makampuni, kwa plan kama yangu utaratibu unakuaje ili niweze kuwa nawaletea matunda ofisini kwenu?
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Kilichowakuta wafanya biashara na wachuuzi wa CEMENT pale DEPOT ya Ubungo, kimenikumbusha enzi za UKOLONI kabisa. Kisa chenyewe kiko hivi: Wajasili ya mali ,wachuuzi na wasakatonge kwa njia ya...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Salama wakuu? Natumaini muda si mrefu nchi yetu ya Tanzania ndio itakuwa inaongoza kwa kukusanya mapato duniani, maana mpaka madereva wa malori na Canter za kubeba mizigo wanakamatwa wanaambiwa...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Naweza kuwa na namba ya utambulisho ya mlipa kodi/TIN pasi kuwa na biashara/ kuitumia?
1 Reactions
26 Replies
7K Views
Jamani ndugu zangu naomba mnisaidiee kujua ni biashara gani nzuri na inayolipa kama mwanachuo ninaweza nikaimudu??
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Amani kwa wana JF woote Wabunifu Group kwa zaidi ya miaka mitano tumekuwa tukibuni bidhaa mbali mbali za kutatua matatizo tofauti ya jamii ikiwemo sabuni za miche, bleach za nguo nyeupe, sabuni...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Tumeanza kazi kama broker wa viwanja,magari na nyumba za kupanga katika jiji la Arusha. Gharama zetu ni ni nafuu sana,kwenye upangaji wa nyumba mpangaji anachangia 40% hadi 50% ya kodi ya mwezi...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani ni mwaka wa kumi sasa, nakomaa sana na biashara na natamani sana shughuli za zipanuke. Lakini wapi. Kuna wadogo wanakuja nyuma juzi tu leo wanapesa ndefu. Au wapi jamani nakosea. Now...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Asalaam wanajukwaa ••••●●●☆☆☆☆☆••○••●●●●☆☆••••• Kama kichwa cha habari hapo juu kilivyo, Nimekuwa na ideas za biashara mbali mbali na nimezichambua kwa mda sasa hatimaye nimejikita katika hizi...
2 Reactions
25 Replies
10K Views
Mimi na kijana mwenzangu tumeamua kubuni biashara kwa mfumo wa kidijitali kuendana na kasi ya Dunia. Mfumo wa Huduma upo hivi. Kwanza, mpaka sasa tumekamilisha kusajili kampuni BRELA...
8 Reactions
15 Replies
2K Views
Nimepata wazo la kufungua duka litakalouza vifaa vya urembo kwa wakina Dada (cosmetics) maeneo ya Mbezi ya kimara au Kibaha. Nimewaza kuweka perfume mbali mbali! Mafuta ya kupaka, lotion, sabuni...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Back
Top Bottom