Hivi sasa teknolojia imekua ndio kila kitu hakuna mahali unapitia pasipo kutumia teknolojia, hiyo inadhirisha kuwa uwezekano wa kufanya biashara mtandaoni ni mkubwa sana cha msingi ni kujua ni...
Hapa nakusudia sana sana vifaa vya simu. Uzuri wa hii biashara unaweza ukachanganya humo humo vifaa vya kompyuta, ukauza padi za gemu,ukauza majagi ya umeme, cables, rimoti, chaja za gari, balbu...
Wakuu naomba msaada kama kuna namna ya usafirishaji wa bidhaa kutoka Nairobi mpaka Mwanza. Hii ni kutokana na zuio la mipaka tangu kipindi cha Corona.
Sasa hatuwezi ingia ila naona bado biashara...
Hello mambo vipi..
Guys tuache masiala, if you're serious with your business (no offense) You need to start making video content for your social Media platforms.
Video ni noma. Kuna msemo mtakua...
Hello mambo vipi..
Guys tuache masihara, if you're serious with your business (no offense) You need to start making video content for your social Media platforms.
Video ni noma. Kuna msemo...
Wakuu Igweeeee!
Kwa muda kama wa miezi miwili hivi niko sehemu nimejishikiza. Baada ya muda wa kazi naona nina muda mwingi ambao nina access na internet ambayo nahisi nikipata kitu constructive...
Habari mwana JF Nipende kwende kwenye mada moja kwa moja.
Nimejaribu kujiunga na baadhi ya website za online working lakini kuna baadhi ya vipengele vinanishinda. Hivyo naomba kama kuna mtu ana...
Naomba kama kuna mtu anaweza kunielekeza namna Paypal acount inavyofanya kazi, kuna shirika kutoka USA linataka kunitumia pesa kwaajili ya project ambayo tumekubaliana niifanye, kwa hiyo wamenipa...
Habari Wana JF, Natumai mko poa.
Wakuu, nataka kuanzisha online store ningelipenda mnishauri na mpendekeze products ambazo online zinauzika. Mimi nimefikiria kuhusu Laptop na Smartphones used and...
Ndugu zangu nina mpango wa kuanzisha biashara yangu ya online retailer business sasa nataka kufungua co, ili niweze kuiregister na kupata license sasa shida ni jina humu ndani hamuwezi kushindwa...
Wakuu habari zenu,nafurahi kuwa siku hizi hivi viwanda vya kutengeneza nguo kama vitenge na kanga vinakuwa na tumeanza kukubali vitu vyetu,nawashauri watu wasiogope kuingia kwenye biashara hii ya...
Nawambiaga watu hamna biashara isiyo na faida chini ya JUA yani hakuna,ukiona umefungua biashara halafu wewe huoni faida tambua 1.umekosea location 2.unafungua kitu kile kile ambacho watu wanacho...
Nipe mbinu yako ya kufanya saving na unahakikisha hugusi hiyo hela mpaka utimize lengo.
Kuna watu tunapata hela nyingi sana tu ktk shughuli zetu ila kuhifadhi hela ndio kimbembe
Sent using Jamii...
Hivi karibuni nilipata safari za kutembelea mikoa tofauti tofauti hapa nchini Tanzania, lakini pia nilipata fursa ya kubadilishana mawazo na watu wa kada na makundi mbalimbali, usafiri wangu wa...
Habari wakuu, nahitaji kujua hivi hii michezo ya kubahatisha wamiliki ni akina nani manake imeibuka kuwa mingi sasa.
Na pesa wanayokusanya inaweza kuwa nyingi hivi au kawaida? Pia huwa...
Hello JF Member,
Ni matumaini nyote mko poa kabisa, napenda niwashirikishe jambo moja ambalo najua kwa namna moja ama nyingine kuna watakaopata kitu na kupitia wachangiaji wengine kuna elimu...
Wakuu poleni na majukumu.
Niende kwenye mada, nahitaji kufahamu kama ukitaka kutop up mkopo katika benki ya NBC ni baada ya muda gani na viambatanisho gani wanahitaji?
Asanten!
Ndugu zangu Naombeni munisaidie mbinu zitakazoniwezesha kufanikiwa katika YouTube channel yangu.
Nifanyeje ili nitimize vigezo lakini pia ili niweze kuwavutia viewers wangu .
Naombeni Please
Habari zenu Wana JF,
Natumaini ni wazima, naomba msaada jamani, nina asali lita 8 nmetoa Tabora. Lita 5 nimeijaza kwenye chupa zile ndogo za konyagi ( 200Ml) imebaki lita 3, sasa naona nimekosa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.