Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions
Sijui kama kibongo bongo kuna mtu ameshawahi kuwaza hii. Leo nimekaa nimefikiri sana nikapata wazo na kuja na hii project niliyoipa jina la Fruit Garden (bustani ya matunda),sema tu pesa sina...
14 Reactions
22 Replies
3K Views
Nimekuwa nikisikia watu wanasema flani dukani kwake au kwenye biashara yake ana Accountant. Tena kwenye mikoa yetu huku mtu akiwa na Accountant anaonekana wa ajabu.Yaani anaonekana Sonko flani...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Ukweli ni kwamba, ujio wa Wakenya kujumua vitunguu ulifaidisha wakulima. Kitunguu ilipanda mpaka laki tatu. Wakulima wanejenga nyumba na kununua magari. Sasa huyu jamaa yetu ugomvi wake na...
7 Reactions
27 Replies
3K Views
Habari wana JF wenzangu. Nimekua na wazo la kuanzisha kampuni ya usafi Dar-es-salaam, naomba muongozo kwa anaefahamu. (1) vibali. (2) upatkanaji wa mashine/vifaa. (3) changamoto. (4) fursa...
1 Reactions
21 Replies
16K Views
Habarini wana jamvi, kwenye maswala ya stock markets kuna vitu kadhaa nahitaji kujua maana zao, vitu vyenyewe ni : 1. ETFs (exchange traded funds) 2. Mutual funds 3. IQ options So please kama...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
HABARI ZENU WAKUU, mimi ni kijana nnaye miliki hardware mtaan kwetu,ni miaka mitatu tangu nifungue biashara yangu .na niliwah kuisimamia biashara hii (yani kukaa mwenyewe golini kuuza na...
2 Reactions
40 Replies
16K Views
Naomba kupata budget ya kununua hiyo Gari , kuifanyia matayarisho yote kabla ya kuanza kazi, kipato unachoweza pata kwa siku au kwa mwezi. Pia Ni FUSO ipi nzuri Kati single na tandum
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari zenu wadau, Naomba kuuliza, kwa wanao fahamu ni wapi wanauza niqab kwa bei ya jumla hapa Dar es salaam. Natanguliza shukrani.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu, naomba wenye utaalam wa madini wanifahamishe kuwa haya ni madini aina gani?
4 Reactions
20 Replies
3K Views
Wadau kwema Katika pita pita zangu nimekuta mahala makala Mkuu wa Wilaya wa Kongwa Dkt. Serera na KM Kilimo Wakiwa wanafanya ukaguzi kwenye mashamba ya Korosho Vijiji vya Mkutani na Msunjilile...
5 Reactions
4 Replies
1K Views
Helow guys, habari za kwenu wadau Rejea heading above, mimi binafsi nina PLANS za kusafirisha unga wa sembe nje ya nchi kupeleka UK, kwa kweli mimi ni mmoja kati ya wale wanaopata hamasa ya...
2 Reactions
94 Replies
12K Views
"Inakuwaje wewe Graduate unaishi Dar unashindwa kutengeneza 30,000 kwa kila siku Consistently" Nimemnukuu jamaa hapa stationary moja nikitoa copy yule kama si Motivesheni Spika itakuwa ni...
19 Reactions
57 Replies
8K Views
Wataalam, nimekuwa na malengo ya kuzalisha umeme binafsi na kuuza kwa ajili ya kipato na kutoa huduma. Lakini kuna jamaa alinitisha kwamba ukifanya hivyo bila vibali mradi wako unaweza ukafungwa...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Umuofia kwenu. Wadau wa sekta ya madini hususani mikoa ya pwani Kuna mwamba mmoja muongeaji Sana anaitwa siasa. Ni mtu wa mawe hasa gems nataka kufanya nae biashara Fulani huwa sometimes anakuwa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu katika maboresho ya huduma na uanzishwaji wa huduma mpya, hakuna Bank yoyote nchini Tanzania ambayo imeanzisha/ ina huduma inayomuwezesha mteja kuhifadhi pesa zake kwa mfumo wa USD.? Mfumo...
0 Reactions
6 Replies
919 Views
Wakuu naomba msaada wa kujua kama kuna uwezekano wa mimi mtanzania kununua shares za kampuni yoyote ya nje ya nchi, hasa Ulaya. Naomba kama kuna aliyeweza kufanya hivyo anisaidie kunipa mawazo.
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Naomba niseme nimekua mtumiaji mzuri wa kulipa kwa M-pesa mastercard. Nimekua nikideposit 1xbet. Leo nimebutua mshiko wa maana sasa nataka kutoa kiasi. Nimejaribu kutoa kwa njia ya acc yangu ya...
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Mimi ni Kijana wa miaka 26 nikiwa na shahada ya uhandisi wa mitandao na mawasiliano...baada ya kuhangaika sana bila majibu nimeambulia kufahamu fursa nyingi ambazo nimetumia na akili yangu kidogo...
6 Reactions
9 Replies
2K Views
Mambo vipi wanajamvi! MTU wenu Leo Niko hapa kuulizia kuhusu biashara ya viazi kutoka huko vitokapo ( iringa,mbeya) mpaka kuingia sokoni Mabibo Dar es salaam. Kwa kuanza. 1_bei ya gunia moja...
3 Reactions
29 Replies
16K Views
Naombeni msaada wenu mwenye kujua jinsi ya kupata TIN number online wakuu.
2 Reactions
16 Replies
7K Views
Back
Top Bottom