Nawasalimu wana JF
Wakuu nimekua nikitengeneza Wine ya Russella Flowers kwa muda mrefu sasa na nimekua nikiiuza kienyeji, ila kwa sasa nataka niibrand na kuingiza sokoni kama Zilivyo Wine...
Heshima kwenu wakuu.
Naulizia ni benki gani nzuri kufungua account ya USD na gharama au vigezo vyao vikoje au natakiwa kuwa na nini...?
Zipi faida na hasara zake...? Inachukua muda gani kuwa...
Hii hospitali ni kubwa sana ukanda huu wa Kinondoni na hivi juzi wameipanua imekuwa kubwa sana...ila jirani pale hakuna kabisa huduma za mazishi au supply ya vifaa vya mazishi kama gari za...
Habari wadau
Niende kwenda moja kwa moja kwenye mada. Kuna mdogo wangu anamaliza chuo mwaka huu na mwezi huu. Ameniomba ushauri wa kumchagulia sehemu ya kutafutia maisha kwa mkoa wa Mwanza.
Pia...
Habari.
Nahitaji msaada wa namna nitakavyoweza kupokea kiasi kikubwa cha pesa Tsh.100,000,000 kutoka nchi ya Afghanistan..... Njia nyingi za online transfer zinashindwa kutuma kiasi hicho cha...
Dunia inabadilika kila siku,binadamu amekua kiumbe hatari zaidi ingawa wenye upendo wapo na wabaya pia wapo.
Ulimwengu huu ni wa usawa na haki hivyo kila mmoja wetu anahaki ya kupata sawa sawa na...
Habari wadau!, natafuta dereva wa magari ya mizigo anayekwenda kenya,ambaye anayeweza kunichukulia mzigo wangu kidogo kutoka nairobi kuleta Tz,anitext +255687234549,tutaelewana.
Nahitaji mtu wa kushirikiana naye kwenye biashara ya Properties management, land & house brokers, Debts Collection.
Awe Arusha na mwaminifu.
N.b. kampuni tayari ipo
Jana Rais wa Ghana ametangaza kuruhusu safari za ndege za kimataifa na kuruhusu kufunguliwa kwa uwanja wa ndege wa Accra, na wiki ijayo China nao watafungua anga lao.
Kuna wanafunzi wengi wa...
Moja kwa moja kwenye mada.
Nimefikiria nikaona makoti ya leather ni mojawapo ya vitu vinavyoheshimiwa na watu hasa wa ile kanda yetu.
Hivyo naombeni ushauri wenu kuhusu upatikanaji...
Success… We all aspire to it, talk about it, envy those who achieve it, we think about it, fight for it. It is really worth it. Success comes with reaching our aims and it brings us incomparable...
Habari, ndugu na jamaa wa jukwaa hili pendwa la biashara, leo nataka kuweka uzoefu wangu wa mwaka mmoja wa kuanzisha, kusimamia, kuendesha na kufundisha nussery and day care kwa hapa mjini , hii...
Wakuu baada ya post nyingi za " anaefahamu jambo hili anisaidie ", "mwenye kitu hichi anisaidie" nk nimeona nirahisishe tukutane hapa kila mtu ataje japo kitu kimoja anachokifahamu kinaga ubaga...
Do you want to start a Maize Milling Business? Unga wa ugali?
Then get this 85-page guide which contains:
1. Overview
2. The Opportunity
3. The Upcountry Choice – Case Study
Disadvantages...
Wadau najiuliza swali naomba mwenye jibu aniambie hivi nani anaelipa kodi kwa Serikali ya Tanzania mtumiaji wa hii mitandao au mmiliki wa hii mitandao.
Kama ni miliki kivipi na kama si kweli...
Habari,
Jamani kuna mtu IG anajiita #vifurushi_mitandao yote(Kama sjakosea)
Asee huyu mtu nlim DM akanishawish kwa screenshot nkapenda huduma hiyo nkamtumia elfu 10
Yani unambia baada ya kutuma tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.