Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Nataka kufanya Analysis ya mzee Dewji alivyokuwa anaongea kuhusu deni letu la Taifa in comparison to USA jana wakati wa kongamano la dini pale Dodoma. Akasema USA inadaiwa mara 2o ya deni letu so...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Anaandika @gilsaint Kutoka Twitter Biashara yoyote iwe mpya au ya zamani ina changamoto zake especially kwenye mazingira yetu. 50% Ya biashara zote ndogo zinakufa katika mwaka wake wa kwanza...
4 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari wakuu, Kuna ongezeko kubwa la wauza movies mjini, kwa wingi zaidi maeneo ya Sinza na Kinondoni. Hii ni biashara ambayo inaonekana inakua kwa kasi. Wanachokifanya ni kudownload movies za...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Moshi yote: *Hakuna Toyota branch; * Hakuna Authorized Dealer; * Hakuna Authorized Service Workshop; *Hakuna hata Authorized Parts Dealer Nilisikiaga kuwa Moshi ni jiji, why Toyota Tanzania...
2 Reactions
57 Replies
7K Views
Husika kichwa hapo juu naomba kufahamu juu ya usambazaji wa dawa kupitia mzabuni mmoja kwa kila mkoa. Natanguliza shukurani.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ili kulishinda soko bila kujitangaza sana ni kuandaa mabango kila mtaa,masoko,vyuoni na kadhalika na kuweka picha za watu wanaojulikana ktk mitaa hiyo,masoko hayo,vyuo hivyo wakiwa na simu za...
2 Reactions
3 Replies
855 Views
Pesa ikiwepo, utasomeshwa shule nzuri, utatimiziwa mahitaji yako kwa wakati ,somo kama hulielewi vizuri utaletewa mpaka private teacher nyumbani. Utasoma chochote kile ukifika chuoni na utasoma...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Habari wakuu. Poleni kwa majukumu. Naomba nielekezwe namna yakupata kibali cha kuuza mkaa. 1. Kuhusu hatua zake. 2. Je, inagharimu kiasi gani?
0 Reactions
3 Replies
771 Views
Mimi nimewahi kuleta uzi hapa kuhusu ya kwamba natafuta mtu ambae atakuwa tunafanya biashara ya nazi. Kweli nilipata mtu amenambia yupo sokoni Ilala ila sina hakika; mara ya kwanza nilimpekea...
9 Reactions
49 Replies
6K Views
Kama unauza vifaa vya ki electronic sana sana vifaa vya simu, kompyuta nk jaribu hii njia kujiongezea kipato. Nunua vifaa vya ufundi kisha muajiri fundi aje kufanya kazi kwenye ofisi yako...
12 Reactions
12 Replies
4K Views
Wadau,naomba kwa wenye ujuzi/wazoefu wa biashara ya pembejeo za kilimo na mifugo (kama vile madawa,mashudu n.k) anijuze taratibu za kufuata ili kuanzisha duka ikiwa na vigezo vya kitaalamu kama...
1 Reactions
25 Replies
37K Views
Mwakasaka Boaz ni Msomi na Mtaalamu wa masuala ya Uchumi na maendeleo ya kijamii, Nishati Mbadala na Mtafiti wa kujitegemea Anajua kwamba katika dunia hii sababu kubwa na kikwazo kikubwa cha...
0 Reactions
0 Replies
906 Views
Hello wanaJF, Ninataka kuanza kazi za udalali wa nyumba za kupanga, kuuza na viwanja hapa Arusha, ila nataka zaidi nijikite kwenye nyumba za kupanga! Nipeni uzoefu, changamoto na namna bora za...
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Habari wana JF, Naomba nijikite moja kwa moja kwenye mada tajwa hapo juu.Mimi ni Mtanzania ila nimekuwa na bahati ya kuwa na connections/kujuana na watu walio ng'ambo (Europe, America na Asia) na...
2 Reactions
7 Replies
3K Views
You don't have to be the one waking up and hearing that there is a new Millionaire in town. Probably luck was on their side after they placed a multi bet and won.But you shouldn't worry since...
4 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za wakati wakuu Kuna mzigo nataka kuagiza (Israel) nimewasiliana na Seller wa uko akasema ana option moja tu Ya Israel Post Vipi hii (shipping method) ipo vizuri na wanafikisha mzigo kwa...
0 Reactions
2 Replies
634 Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu naomba msaada sehemu ambayo naweza fungua biashara ya CHIPSI na itaenda vizuri kwa kuzingatia wateja na location yenyewe ikoje , sehem iwe ndani ya...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari zenu wadau, Ningependa kupata msaada wa biashara ya bucha katika maeneo ya Dar. Ningependa kufahamu costs za kufungua biashara hio zilivyo, gharama za uendeshaji pamoja na namna faida...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tangia mabadiliko yafanyike ya pesa ya shilingi mia tano mwanzo ilikuwa ni noti lakini sasa ni sarafu, changamoto tunayoipata wananchi ni kwamba hii pesa imekuwa ni kero hasa zikiwa nyingi wenye...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Wakuu naomba kuuliza kama kunanjia yoyote yakuweza kupata mkopo wa biashara/ mradi ila kama mkopaji hana mali ya kuweka mdhamana( collateral).
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom