Habari wakuu.
TMX ni moja ya shirika lililopewa dhamana ya kuwaingizia wakulima pesa zao baada ya mnada kufanyika na wafanya biashara kulipa pesa husika.
Ila tangu mnada wa mwezi July mpaka leo...
Gazeti lililosajiliwa kila kitu, liliwahi kuwa mtaani matoleo matatu likasimama, makadirio ya sh. Milioni 5 au 6 zitatosha. Kama una nia ya kuwekeza katika biashara hii, nijulishe tupange, mimi...
Napenda sana kufanya investment tatizo sijui pa kuanzia.
Naombeni msaada hata kidogo tu kuhusu uwekezaji na kama unajua taasisi za ndani ya nchi au hata nje ambao wanaruhusu kufanya uwekezaji...
Wakuu,
Nimepata wazo la kuanzisha kampuni ya udalali hasa wa nyumba, viwanja, magari na electronics zingine.
Nahitaji kujuwa:
1. Ni shilingi ngapi zinahitajika ili kusajili kampuni ya namna hii...
Wakuu heshima kwenu...
Kijana wenu niko hapa kuomba nasaha zenu maana hili jukwaa lina wengi wabobezi na wajuzi..!
Nimefikiria biashara ya kuanza kwa mtaji wa mil 30, kwa haraka haraka nikawaza...
Naomba msaada kwa wataalam na wenyeuzoefu.
Ninakiwanja mkoa wa mara, nimedunduliza vipesa vyangu kiasi cha milioni 4. Je naweza jenga msingi imara wa vyumba vitatu self contained?
Habari wakuu naomba ushauri nataka kufungua biashara ya kuuza mitumba ya watoto mkoani Mbeya na sehemu nzuri ambayo ina mitumba mingi Ni kabwe Ila changamoto ni upatikanaji wa frame au meza kwa...
Ijumaa Desemba 6, 2019 treni ya abiria itakayokuwa ikitoa huduma ya usafiri kati ya Dar es Salaam na Moshi, mkoani Kilimanjaro ilirejea baada ya kupita miaka 25. Treni hiyo yenye mabehewa manane...
Habari wakuu, naombeni suggestions za baadhi ya kampuni hapa Dar zinazotransfer pesa kutoka Tsh. kwenda Kichina ndani ya siku moja na yenye service charge pamoja na rates nafuu
Asanteni
Habarini wapendwa,
Naomba kufahamu ni maduka/maeneo gani Kariakoo nitapata bidhaa za viungo kwa bei nzuri ya jumla kwa ajili ya kuuza rejareja.
Lakini pia, naomba mapendekezo ya viungo...
Nimepata wasaha wa kuingia kwenye tasnia ya biashara na kwakuwa mimi ni kijana bado basi nimetumia muda wangu kufanya tafiti mbalimbali juu ya biashara.
Leo nataka kuzungumzia suala la biashara...
Karibuni kwa mjadala nafanya online business lakini nimekuwa nakutana na swala la Uaminifu
Ni kweli dunia Imeharibika kuhusu Uaminifu je mwenzangu ulifanikiwa vipi kuhusu Uaminifu mtu anahofia...
Umofia kwenu wanaJamiiforums,
Ndugu zangu nimejiunga na Freelancer Website ili kutafuta kazi za kwenye Mtandao lakini kuna mambo sijayaelewa kuhusu kupata malipo kutoka kwa employer wako...
Habarini wanajukwaa
Kuna ndugu yangu kaomba kunitumia pesa kupitia bank account, naomba kufahamu yafuatayo:
1. Je, itaingia kwenye Account direct, mie niende tu kutoa ATM?
2. Je, makato yake yapoje?
Habari Wadau,
Leo nimeona niwashauri GSM juu ya kupata Faida na kujitangaza Tanzania hata nje ya Tanzania kwa kuitumia Yanga.
GSM najua wanawekeza Yanga pesa nyingi ila kwa limit ya kuogopa...
Tunawaomba veta mtengeneze kichumba kidogo chenye kiti, dirisha la ndege, meza, mkanda wa ndege, mlango sawa na wa ndege, taa nzuri za ndani ya ndege, ili watu wanaopenda ndege wawe wanapiga picha...
Malipo kwa njia ya PAYPAL; Hii ni njia au huduma nzuri sana na ya haraka kulipwa au kulipa hela. Ni huduma inayotumika sana Duniani kwa sasa.
Lakini nchi yetu ya Tanzania hususan Benki kuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.