Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Kuna video ya Morisson mchezaji aliyesajiliwa simba akitokea yanga niliona mtandaoni juzi kati vijana wapo wengi wanasubiri hatima ya mgogoro wa usajili uliokuepo vijana wamejaa tena n between...
4 Reactions
2 Replies
995 Views
Uzinduzi wa promosheni ya TECNO Vimba Season umefanyika rasmi jana huku hafla hiyo ikihudhuriwa na wasanii maarufu wa tamthiliya ya HUBA ambayo huoneshwa na king’amuzi cha Dstv. Promosheni hiyo ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu waungwana, Natarajia kufungua duka la nguo siku ya leo mkoa wa Manyara, wilaya ya Babati ( Magugu). Naomba msaada wa yafuatayo:- Natarajia kwenda Dar wiki ijayo, mwenye connection na...
3 Reactions
27 Replies
7K Views
Kuna shemeji yangu anapenda biashara ya vyombo vya mtumba sasa hajui wapi atapata mzigo anampango wa kufungua duka la vyombo vya mtumba tuuu.
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Wakuu habari zenu, najua wengi humu ndani mnayo mawazo mazuri na wengine mnazo hadi experience (Uzoefu) wa baadhi ya mambo hasa katika biashara. Mimi ni mbobezi wa masuala ya Online (Mtandaoni)...
2 Reactions
22 Replies
23K Views
Kwa wale wenye experience na online business naomba mnisaidie ni jinsi gani nitaweza kupokea malipo kupitia Paypal. Kuna threads zilikuwa zikiongelea payoneer kuwa mbadala wa Paypal lakini baada...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Nilikuwa na bado ni mtumiani wa data kupitia mtandao wa shirika la serikali TTCL kwa Modem yenye namba za mawasiliano 0736404059. Nilisitisha matumizi ya mtandao huu mwzi wa saba 2013 kwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
  • Poll Poll
Habari Wakuu Naomba ushauri wenu mimi ninandoto yakua tajiri kama mfanyabiashara Said Salim Bakhresa. Je, nifanye nini ili nifanikiwe Kimaisha? Toa maoni yako hapo [emoji116][emoji116]
2 Reactions
102 Replies
15K Views
Wakuu habari za majukumu. Kama bango linavoonekana hapo. Nina mtaji wa Tsh 60,000 nataka niiwekeze hapa nje ya kaduka kangu, naweza kufanya nn angalau inilipe? Natanguliza shukrani, msaada...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Kwa anaejua jinsi promoshen ya tusua mapene inavyo fanya kazi naomben ushaurii Nikweli hizo ela wanatoa au!?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wadau, natambua kuwa mifuko ya plastic imepigwa marufuku kisheria ila ya kutumia kwaajili ya vifungashio imeruhusiwa. Naomba msaada wa kujua kiwanda kinachoprint mifuko ya plastic hasa kwa...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana jamvi nina fun cargo ilikuja bila siti ndogo ya kati kwa abiria wa nyuma naomba wadau mnaoweza kuipata mnijuze mimi sasa nipo dodoma
0 Reactions
0 Replies
824 Views
Wakubwa shikamooni, wadogo wenzangu habari za muda huu! Mimi ni mwanafunzi ngazi ya chuo na nipo Arusha. Ukifuatilia thread zangu za nyuma, utaniamini kuwa Namaanisha ninachokiandika. Sasa hapa...
0 Reactions
47 Replies
8K Views
Mwezi huu nimepanga niagize bidhaa tofauti tofauti kutoka China kwa kupitia app ya kikuu Kwa anayefahamu vipi mizigo bado wanaleta au wanasumbua siku hizi kutokana na ugonjwa wa corona Sent...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari za leo ndugu wana j-forums Kwanza kabisa niende kama kichwa cha habari kinavyosema 'wamiliki wa iphine storeS' Nimekuwa ni mfanya biashara wa mda mref sana hizi za online market kwa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kwa anaejua jinsi promoshen ya tusua mapene inavyo fanya kazi naomben ushaurii Nikweli hizo ela wanatoa au!?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kutokana na mafanikio ya kupiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastic tumeshuhudia uzalishaji wa mifuko ya karatasi kama sehemu ya mbadala wa vibebeo. Lakini nionavyo mimi, karatasi aina zote...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wakubwa kwa wadogo. Ni taasisi ipi kwa wanaofahamu inayotoa mkopo wa kuanzia Milioni mbili mpaka tatu kwa dhamana ya gari ndogo (Passo), marejesho yawe kwa mwezi.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimejifunza kwamba M-Pesa Mastercard inazngua Alibaba nimejaribu inagoma tu Ngoja nikatafute tu Equity Card yangu Update:Nimerudi equity aisee jamaa...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Ndugu wana jamii wote taarifa niliyoipata hivi punde hali ni mbaya sana ndani ya TTCL na kila siku iendayo kwa Mungu basi nyaya za simu za TTCL zinaibiwa na kusababisha hasara kubwa kwa TTCL na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom