Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Nasikitika kwamba mpaka sasa tulivyoambiwa Tanzania imejiunga na mtandao wa Fibre Optic kwa ajili ya mawasiliano ya kimataifa ya internet n.k bado huduma ya kampuni ya TTCL ni duni sana. Mtandao...
0 Reactions
40 Replies
6K Views
Hivi nani wanahusika kwenye kuua TTCL mpaka sasa shirika hali perform kabisa. Kama TTCL wangekuwa na watendaji waadilifu na innovative leo hii TTCL ingekuwa the leading comm PLC kwani wana...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Habari nilizozipata toka kwa mnyetishaji muhimu wizarani, sasa AIRTEL wamekubali kimsingi kuiachia 35% ambayo ni hisa alizokuwa anamiliki ndani ya TTCL. Wameinyonya kampuni ya simu ya Watanzania...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
SHIRIKA la Mawasiliano Nchini (TTCL) katika kipindi cha siku 30 limeweza kusajili wateja wapya 215,000, ikiwa ni Mpango Mkakati wa Shirika hilo katika kujiinua kibiashara na kuongeza wigo huduma...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Naombeni msaada wa kuandaa business plan, memorundum kwa ajiri ya kufungua kampuni ya ujenzi class 7...mawazo pia yanakaribishwa
0 Reactions
3 Replies
2K Views
WanaJF, Naombeni msaada Kwa yeyote anayejua kampuni au mtu bnafsi anayeweza kunipa mkopo wa Haraka wa kiasi kilichotajwa hapo juu, atakuwa amenisaidia. Karibuni. Sent using Jamii Forums mobile app
3 Reactions
30 Replies
5K Views
Mahindi kilo 100 inaweza kuzalisha sembe kilo ngapi?
0 Reactions
5 Replies
9K Views
Closed 13/08/2020
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavojieleza. Mimi nataka kuingia mwenye biashara ya vitenge niwe nafata mzigo Kariakoo then naenda kuuza mikoani. Kwa ambaye anauzoefu kuhusu biashara anambie...
3 Reactions
5 Replies
3K Views
Wakuu habarini. Tafadhali naomba msaada kwa anae jua bei zilizopo sasa hivi sokoni za mahindi ni shilingi ngapi anisaidie kujua haraka iwezekanavyo. Ni kwa ajuae bei za Kigoma na DSM Ahsanteni!
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Ndugu zangu naitwa Rama naishi Temeke Dar es Salaam nilikua naomba kuuliza kwa yeyote ambae anaweza jua mahali ambapo madumu yenye rangi nyeupe na yenye ujazo wa litre 30 Yanaweza kupatikana...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba nipate mtu anayesafirisha biashara yeyote kutoka bara kwenda huko Pemba, Unguja Mafia na sehemu zingine za visiwa kupitia bagamoyo, Dar au Tanga. Lengo ni kutaka kujifunza jinsi ya...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari ndugu.!! Mwenye kuelewa bei ya iliki sokon kwa sasa inaendaje (nijuze bei ya sokoni kwa sasa pamoja na mkoa husika uliopo)
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Poultry is the general term for anything concerning domestic birds and they can be reared on a large scale or small scale depending on the amount of money you have, but for the sake of this...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wapendwa, mimi hua natamani sana kuagiza bidhaa china kwa ajili ya matumizi ya nyumbani kwa mfano nahitaji hizi vinyl wallpaper ili nibandike ktk makabati ya jikoni hapa Dar ni bei juu...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
habari za jioni, ninaimani mu wazima na mmeaheherekea eid vizuri, wadau naomba mnifahamishe gharama ya frame za biashara kariakoo au sehemu karibu na kariakoo.
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari. Rejea kichwa cha habari, unahitajika Mikopo wa laki tano kwa mwenye uwezo wa kutoa. Ni urgent na unarejeshwa ndani ya wiki. Unarejeshwa na riba ya 5% You give me 500k..I give back 525,000...
2 Reactions
30 Replies
6K Views
Unajua kuna sehemu hapa Duniani kuna mzungu au mtu kutoka taifa lolote anataka kujua kiswahili mbali na kuwa na access ya kujifunza kiswahili lakini anakuwa more exceted kumpata mtu atakae ongea...
0 Reactions
7 Replies
742 Views
Back
Top Bottom