Wakuu kwema?
Nina mpango wa kufungua akaunti kwenye kampuni tajwa hapo juu. Lengo ni kuweza kubet makampuni ya kubet ya nje. Nina sababu fulani muhimu za kuchagua makampuni hayo ya kubet.
Kuna...
Wakuu
Nisiwachoshe kuna gari hapa mjini Iringa Voxy noah. Inaweza kufanyiwa shughuli gani ya kuingiza kipato ukiacha kupakia abiria..
Napokea mawazo yenu wakuu.
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo yakwamba nahitaji mtu uelewa wa hayo mambo ya money transfer ambae atanieleza step by step ni jinsi gani naweza kuwa wakala wa mtaani kwenye fremu tu...
Habari wakuu!
Nataka kumnunulia my wife usafiri kwa mwonekano, bei, na specifications tumeipenda Toyota Funcargo. Sasa naomba ushauri juu ya uimara na upatikanaji wa spare.
Habari wanaJF, mimi ni mfanyakazi private nimeajiriwa nina miaka miwili kazini baada ya kufanya kazi kwa miaka hiyo miwili nimepata wazo la kuanza kuuza magari yaliyotumika lakini kiukweli sijajua...
Wakuu naombeni ushauri wenu ninataka nikasomee kozi mojawapo kati ya hizo either banking and finance or accounting and finance, ushauri wenu kwenye upande wa ajira/kujiajiri. Nitashukuru sana...
Business Digitalization Solution tumekuwa kwa zaidi ya miaka minne tukiwasaidia wajasiriamali wadogo kukua, yaani kutoka hatua ya mjasiriamali mmoja hadi kuwa kampuni ndogo inayotambulika. Kwa...
Members natumaini hamjambo.
Kuhusu ushauri wangu taasisi hii kwa siku za karibuni ni kweli wanajitahidi kuboresha huduma zao, kama vile kuhamishia huduma zote mtandaoni na kadhalika.
Lakini...
SIRI 21 ZA MAFANIKIO ZA MAMILIONEA WALIOJITENGENEZA WENYEWE
(TAFSIRI YA KITABU: THE 21 SECRETS OF THE SELF-MADE MILLIONAIRES: By BRIAN TRACY).
********************
SIRI NAMBA 1: KUWA NA NDOTO...
Huyu mwanadada licha ya kujulikana kama mpambanaji dhidi ya unyanyasaji wa wanawake nchini Tanzania, pia amekuwa ni mwanamke anayepnda sana kufanya shughuli zinazomiwezesha kujitegemea kiuchumi...
Ninataka kuagiza magari kutoka Japan na kwingineko, kwa ajili ya biashara hapa Tanzania. Nimejaribu kupata data ,ili kuweza kugundua namna ya kuweza kukadiria, kiwango cha ushuru unaoweza kulipwa...
Tunaishi kwenye dunia ya utandawazi. Mara nyingi nyumbani hatuna kazi nyingi kila siku. Tulilazimika kuajiri wasaidizi na kuishi nao kwasababu za kiulinzi na usalama.
Sikuhizi apartments nyingi...
Greetings!
Leo nataka nitumie post hii kuwafumbua macho watu waone kwa uwazi kabisa nafasi hii kubwa Internet imetoa kwa yeyote yule Kutengeneza side income na hata baadaye kuwa main business...
Habari zenu wakuu.
Natumaini wazima humu wote hebu tusaidiane mawazo wakuu mimi ni muajiriwa takribani 10 years kwa wahindi nimejitahidi nimebana kahela kangu nikafungua kaduka ka chakula kama...
NBP nisehemu sahihi unapoweza kupata
huduma bora na zauhakika juu ya uendeshaji
na usimamizi bora wa biashara yako kupitia
ushauri na uandaaji wa maandiko mbalimbali
ya kibiashara.
Lengo letu kuu...
Kwa mtaji wa Tsh. milioni moja na Laki 5, nimeamua kuhamia Tunduma ila sijahamisha vimiradi vyangu vidogo vidogo nlivyoanzisha nilipokuwa. Napenda kujua Fursa za kibiashara zinazopatikana Tunduma...
UTANGULIZI
Kutokana na kukua kwa tatizo kubwa la ajira miongoni mwa vijana na familia nyingi duniani, imepelekea watu kuchanganyikiwa ni nini cha kufanya. Watu wote siku hizi wanahaha kutafuta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.