Kwa wenye uelewa wa hii biashara naombeni inputs zenu. Nataka kuanza kwa kununua nyama kwa bei ya jumla machinjioni halafu nauza kwa bucha yangu.
Baadae niweze kujitanua niweze nunua ng'ombe...
Kwenye Digital Marketing kuna Elements nyingi kama SEO,content Marketing, Design, Copywriting Nk.
Lakini Moja kati ya Elements muhimu sana za Digital Marketing ni copywriting.
•Miaka ya nyuma...
Ndogo na za kati. Ni dhahiri kuwa mama ndiye nayeumia zaidi pale familia inapokuwa na uchumi mbaya. Mama hapendi kuona watoto wanakosa mahitaji yao ya msingi kama vile chakula, mavazi, elimu...
Amani ya mwenyezi Mungu iwe pamoja nanyi popote pale mlipo. Mimi nikijana nilitoka nyumbani Tanzanai miaka 3 iliopita kuja huku nilipo South Africa, kwa lengo lakusaka maisha.
Kutokana na hali...
The character they say is a woman's beauty, and money is a man's beauty which is why every man wants success and a luxurious lifestyle. Besides, few are prepared to go through the right part of...
Habari zenu wakuu?
Jina langu haimaanishi najua kila kitu ila ni ndoto yangu kuwa a great grapher but nataka kuulza hivi kuanzisha photo studio ikiwemo kupata camera nzuri ya kuanzia kazi...
1. Kununua Mashine za kukoroga zege na
kukodisha.
2. Kununua Mashine za kukata vyuma na
kuzikodisha.
3. Kutengeneza na kuuza tofali
4. Ufundi, Website updating/Database: Katika
Halmashauri...
Pesa inakupa heshima na jina vile vile, lakini pesa hiyo hiyo inaweza kukupa fedhea na kukuzaraulisha bila kujali wadhifa wako, umri, busara zako na elimu yako. Watu wengi wanaeza uliza kivipi...
Kama ndiyo mgeni umefika Kariakoo mara ya kwanza kuna kale ka hofu sijui nitatapeliwa,
Mi mara ya kwanza naenda Kariakoo nilikua natafuta simu nikawa naulizia simu kwenye duka Fulani hivi...
Habari za jioni wadau,
Baada ya kufanya kazi kwa muda mreu na kutafuta mtaji wa biashara,Nimeamua kujiajiri na nimeazimia kufungua biashara ya spare za magari.
Naomba kujua kwa wenye uzoefu na...
Njoo tushirikiane kibiashara zaidi ,uwe tayari kuchukua hatari (kulipa gharama ya mafanikio unayoyatamani).
Naamini watu wengi wana mawazo ya biashara ila hawana mitaji,naamini Watu wana fedha za...
Hey wakuu!
Hii topic nilitaka nibandike kule jukwaa la kilimo ila nikaona Ohlaah sisi twapenda biashara zaidi kuliko kilimo.
Ushasikia kilimo cha konokono snail farming, kwa naija wanapractice...
Habari wapendwa poleni na majukumu.
Mimi nikijana mjasiriamali na nimekua nikipita kwenye supermarket nyingi kuangalia bidhaa zinazozalishwa hapa nchini, na mojawapo niliyo kutananayo ni Maziwa...
Habari wakuu,
Mimi ni mjasiriamali mdogo nafikiria kuanzisha biashara ya kuuza Flana na kofia (sare) za chama kama vile CCM na CHADEMA na ACT wazalendo kwenye mikutano Yao.
Je Kuna yoyote mwenye...
Wakuu salaam! Naomba kufahamishwa mahali ambapo naweza pata duka la jumla la spea za bajaji aina ya TVS King kwa hapa Dar es salaam.
Natanguliza shukran zangu.
Greetings brothers and sisters.
Leo kama kawaida nipo hapa nataka nikupatie darasa jinsi unavyoweza tengeneza $300+ kwa mwezi katika online platform ya UpWork ukiwa hapa Tanzania.
Haijalishi upo...
Ni nani aliwahi kufungua account ya paypal labda Kenya halafu hela ikaingia wakaihold? Na je alifanikiwa kuifungua au ndiyo alikubali pesa ipokee kwakushindwa verify identity na documentations...
Salam wana jukwaa.
Kodi ilivyokadiriwa kwenye gari aina ya Subaru Exiga ya mwaka 2008, ambapo ushuru wa garii hii unasomeka kama Tsh 21,000,000 wakati Valuation iliyotumika kwenye kupata ushuru...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.