Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wadau naomba kuuliza duka linalouza put ya kusaga rangi ya magari bei nafuu Kariakoo.. Bei ya jumla per carton.
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tafadhali wakuu kichwa cha habari hapo juu chahusika ningependa kujua kutoka kwa wale wazoefu waliowahi kufanya swala hili. Je ni company gani ambayo ni reputable na ina magari mazuri ambayo yana...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau naomba kuelimishwa, sikuhizi kumezuka biashara ya ukusanyaji wa oil chafu katika mikokoteni, yaani kuna vijana hutembea sehemu mbalimbali hususan magereji wakiwa na mikokoteni yenye madumu...
0 Reactions
56 Replies
26K Views
Watu wengi wana mawazo mazuri ya biashara, lakini changamoto ni mitaji; wapo wengine wana wazo ambalo ukilipima unaona kweli ukiwekeza kuna faida mbeleni. Na wapo wenye mitaji lakini hawana mawazo...
4 Reactions
9 Replies
2K Views
Jamani kwanza napenda kuwasalimu wote na matumaini yangu ni kua nyote mu wazima. Bila kuwachosha nataka nijikite kwenye mada kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, ni kwamba tangu nikiwa...
3 Reactions
8 Replies
2K Views
Wasalaam ndugu zangu. Kijana mwenzenu nimejichanga nina kiasi kama cha mil. 16, nimefikiria nimeona ninunue Noah ili nifanye biashara ya kubeba abiria walau nami nijiajiri maana nimechoka...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Nimefanikiwa kulima mahindi kwa mara ya kwanza gunia kama 100 hivi ila nahitaji kuzihifadhi store, ni dawa gani nzuri ya kutumia maana kuna wadau wananiambia ninunue mifuko inauzwa Tsh. 5000/=...
0 Reactions
24 Replies
12K Views
Mtu mmoja aliwahi kusema "Ukishindwa kuwaondoa marafiki wanaokuangusha au kukutoa katika mstari kwa sababu ya hofu ya kuachana nao basi kesho utajilaumu kwanini umeshindwa kutimiza ndoto zako kwa...
1 Reactions
1 Replies
861 Views
Getty Images/iStockphoto The Argentinian flag in front of the Torre Monumental clock tower in Buenos Aires. Argentina is one of four countries to be reclassified to a different market status by...
0 Reactions
3 Replies
715 Views
East Africa’s sleeping giant is finally awakening. Right in the middle of the global Corona virus pandemic, Tanzania has provided a rare piece of good news — on 1 July 2020, the country achieved...
2 Reactions
0 Replies
694 Views
Ndugu zangu naomba anaefahamu bei ya mashine ya kutengenezea juisi ya miwa inayotumia umeme mpya jina bei gani na mtumba ina bei gani naomba mawasiliano kupitia 0744230251
0 Reactions
2 Replies
992 Views
Miaka takriban minne bei ya viatu vya kiume vya dukani hasa brand ya Clark vimekuwa vikiuzwa sh.120,000-150,000 ya kitanzania. Je, huko wananunua kwa kiasi gani cha pesa? Hebu mliotembea tuambieni.
4 Reactions
11 Replies
3K Views
Wadau hii Dunia imejaaa watu kwasasa (Full), Competition kubwa sana hasa kwenye nyanja ya uchumi. Wewe unapofikiri kitu kidogo tu na kuona fikra yako just a little/a fun kuna mtu anawaza kama...
7 Reactions
30 Replies
2K Views
Wanajamvi niliomba uwakala wa NMB Wakanipa masharti ya nikatimiza yote wakaniambia niko tayari nimeruhusiwa niliweka kias cha mil 2 laki 2 ili wanipe mashine. Nina wikp ya pili sasa sijapata...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wote tunaelewa Kariakoo ndio centre kubwa ya biashara jijini Dar es Salaam. Kodi ya fremu isizidi Tsh 4,000,000 kwa mwaka, je ni maeneo gani tofauti na Kariakoo. 1: Yana movement kubwa ya watu...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Nimepata ajira huko kutoka kwa taasisi fulani, naomba mnielezee fursa zilizopo ili nikatia kambi huko nipate namna ya kujiongezea kipato. Nawasilisha.
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Je, naweza kufungua akaunti online via smartphone in kwa Tanzania bila kwenda bank?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sijui kama nawaza sawa au lah. Mimi naona kuwa mikataba au kipindi kilichowekwa mtu kufanya kazi mpaka kustaafu ni adhabu ikiwa hutaweza kujipa tafsiri binafsi. Nilibahatika kupata ajira yangu ya...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
Jana katika pitapita yangu mitaa ta Kinondoni ninekutana na dada mmoja wa kichaga ambaye tulikua tunafamiana kwa muda mrefu. Baada ya salamu na stori mbili tatu kuna vitu akaanza kufunguka kuhusu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habarini wakulungwa. Naomba kujuzwa. Mfano nataka kuchukua gari ambayo m'miliki wake ni mtu wa Uganda na gari ina usajiri wa Uganda. Je, utaratibu umekaaje kama nikitaka kulichukua na kulileta...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Back
Top Bottom