Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Kutokana na changamoto tuliyonayo ya ukusefu wa ajira huku ongezeko kubwa la wahitimu wa nyanja tofauti tofauti likizidi kila mwaka. Niukweri ulio wazi kuwa hakuna serikali yoyote duniani...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu nimepitia tovuti ya TRA nikakuta fomu ya Kuboresha Taarifa za Mlipa Kodi, sasa humo ndani wantaka utoe details zako kama UMEOA ama bado, una akaunti wapi (benki gani, Jina la benki, tawi...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakuu heshima kwenu, nipo mahali sahihi kwa wakati sahihi, na jukwaa sahihi. Tupo watu wengi humu zaidi ya 10000, so hebu tupeane mawazo, huenda mimi sikuwa nayo, mwenzangu akawanayo. Jamii yetu...
4 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari za leo wakuu. Nina mtaji wa 1Million nahitaji mtu wa kushare nae tufungue biashara ya kuosha magari. Napatikana Singida kwa sasa, alie tayari ani PM.
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka biashara ya kuuza simu kipindi hichi imeathiriwa vibaya sana na hili janga la Corona mauzo yameshuka sana sijui sehem zingine mikoani but mimi ni mfanya...
1 Reactions
2 Replies
584 Views
Jamaa kala vichwa
17 Reactions
1K Replies
139K Views
Habari zenu! Hivi ili kuomba zabuni za kukusanya ushuru, leseni yake inaitwaje na inapatikana wapi? Natanguliza shukrani.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Za asubuhi, Nimekuwa nafwatilia sana mambo ya stock market za nje izi week mbili na kuna kama share nyingi sana zipo chini sana kwa sasa. Nimepata knowledge kidogo jinsi ya kuinvest in stock...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nikawaida yangu kufikilia vitu vya kitofauti, najua kuanzisha gym station Ni gharama Sana ila mi nafikilia, hivi Nikiwa na ile mashine ya mazoezi ya kukimbia, siwezi pata wateja kweli? Yaani ile...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu, Nilikuwa nauliza mwenye ufahamu kuhusu biashara ya mafuta ya alizeti anifafanulie kidogo. Msaada kwenye tuta.
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu dunia inaenda kasi ile mbaya mno, na teknolojia ya sasa inaenda kwa speed ya kutisha na watu hawalali wakiwaza jinsi ya kuleta mambo ya teknolojia. Back to the Point, miaka kama 15 nyuma...
24 Reactions
82 Replies
14K Views
Kwa sisi wazee wa zamani tunakumbuka sana Mabus haya... 1. Fresh ya Shamba 2. Safina 3. Kwacha 4. Zainabu 5. Kiswele 6. Matema 7. Masia 8. Tawaqal Hawa walikuwa wakongwe wa barabara za nyanda ya...
5 Reactions
43 Replies
6K Views
Ndgu zangu naombeni munisaidie kitu mimi nipo Arusha nataka niende kujenga Dodoma nyumba moja na eneo jengine maduka Naombeni ushauri wenu ni maeneo gani yapo vzuri zaidi kwa biashara na makazi...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Mambo vipi wakuu, Leo nimekuja na hii, si mnajua tena vijana wa kisasa kazi kazi ila sina kazi. Nimegundua bei ya madela kwa Dar bei ni elfu nane nane kila moja! Sasa basi naomba nini mjue kutoka...
1 Reactions
3 Replies
9K Views
Kuanzia Azam Dhidi ya Azania, Mwana FA & AY Dhidi ya MIC Tanzania (Tigo), FIESTA Dhidi ya Wasafi Festival, Simba Dhidi ya Yanga, Adidas Dhidi ya Nike, Facebook Dhidi ya Snapchat, Pepsi Dhidi ya...
9 Reactions
9 Replies
2K Views
Naomba kufahamu kama kuna mtu aliyeweza ku upgrade to gold level kwenye Blockchain exchange jamani. Nimepata challenge kwenye kuwa verified Kwa kutumia government issued ID (nilitumia voter's...
0 Reactions
0 Replies
626 Views
Habari. Naomba msaada wa kuelekezwa process za kufuata mzigo wa vijora Mombasa. Naomba kujua gharama zote za usafiri, chakula na malazi. Pia, kianzio mtaji uwe kama shilingi ngapi za kitanzania?
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari wanajukwaa! Uzi huu ni maalumu kwa ajili ya waajiriwa wa serikali na wale wa sekta binafsi. Pia unawahusu wale watakaoajiriwa siku za machoni. Kuna upuuzi siku hizi unasambazwa sana na...
60 Reactions
156 Replies
18K Views
Wadau Kwenye Biashara Nahitaji kujua mambo mawili. Suala la kwanza, hizi kampuni kubwa kama Metl, Azam, Azania, Startimes nk zinaweza Spend kihasi gani cha pesa kwenye kufanya matangazo mfano...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Kwa yeyote mwenye swali kuhusu fursa za aina mbalimbali katika jiji la Mombasa (MSA) na Kenya in general aniulize hapa. Mimi ni Mtanzania mwenzenu niko hapa kwa mwaka wa tano na napenda kumeet na...
4 Reactions
140 Replies
29K Views
Back
Top Bottom