Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wakuu wasalaam. Kama mada ilivo, naomba waendesha pikipiki za abiria tukutane hapa, tupeane uzoefu, tufahamu jinsi ya kupata wateja, tuzijue changamoto za hii biashara na jinsi ya kuzitatua, n.k...
5 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari zenu wadau ninaomba mnisaidie ideas ya biashara ambayo naweza kuifanya kwa mtaji wa shilingi 20,000 au 30,000.
2 Reactions
25 Replies
5K Views
Tanzania: the race for regional rail supremacy East African countries have rushed to build new railroads and faced many problems. Tanzania is now building its own. Will it learn from Kenya’s...
0 Reactions
5 Replies
805 Views
Nimefuatilia kwa karibu huu mjdala wa World Bank kuitaja Tanzania kuwa nchi ya kipato cha wastani wa $1080 kwa kila mtanzania. This can be misleading. Hapo kuna mchezo wa hesabu ambao Watanzania...
2 Reactions
5 Replies
847 Views
Unajua kuna watu huwa nawakutaga wanasema mimi mpira wa BONGO siangaliii kabisa,ukimuuliza kwanini haangaliii Atakupa sababu za ajabu ajabu tena za kijinga jinga zisizo hata na maana yeyote Huwa...
11 Reactions
25 Replies
4K Views
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, nahitaji msaada wa kujua ni spear zipi za malori makubwa ya mizigo zinazotoka sana ama zinazonunuliwa sana. Nataka kuanzisha biashara ya kuuza spares used na...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu habarini, Poleni na michakato ya weekend samahani naomba kwa aliye na muongozo wa kufungua biashara ya cable anipe muongozo. Nafikiria sana kufungua biashara ya kusuply cable tv Katika...
0 Reactions
28 Replies
9K Views
Habari za mihangaiko Kwa wale wenye uzoefu (au wajuao) wa kufunga viungo (spices) kwenye vifuko au makopo, nini kinatakiwa kifanyike kuzuia wadudu au vijidudu kujitokeza na kushambulia viungo...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari wakuu! World Bank wametangaza kua Tanzania kwa sasa ni nchi ya uchumi wa kati, sasa kutokana na taarifa hii sisi kama wananchi taarifa hiyo inaweza kuwa na faida gani kwetu kiuchumi (kwa...
1 Reactions
35 Replies
5K Views
Habari wakuu, Mwenye machine kama hiyo Tafadhali Naomba tuwasiliane. 0764055904 Nashukuru
1 Reactions
5 Replies
781 Views
Kuna mdau alinieleza Arusha yeye anauza mishikaki shule ya msingi wanafunzi wanauwezo wa kununua kwa bei ya 300 Tzs mshikaji mmoja, kwa DSM wanafunzi hata 100 wanaona nyingi alafu vitu vyote...
1 Reactions
55 Replies
7K Views
Naombeni msaada wa bank za Tanzania zenye huduma ya money gram maana nimeenda kwenye NMB na CRDB wamesema hawana hiyo huduma.
0 Reactions
5 Replies
5K Views
Habari, Kama imeandikwa. Ningetaka kuunda kama society itakayohusu sekta ya ujenzi. Kwa hiyo ninahitaji partners kwa ajili ya: - Kupandisha mtaji - Kutafuta viwanja - Kutafuta wateja - Kuajiri...
1 Reactions
0 Replies
923 Views
Sina ujuzi au uzoefu wa kiwango gani mteja anakatwa kutoa pesa kwa ATM ya benki ya NMB au CRDB, Anayejua naomba msaada.
0 Reactions
18 Replies
6K Views
Heshima kwenu wakuu, Ni muda sasa tangu nifahamu biashara hii lakini kwa bahati mbaya hakuna uzi hapa jf unaoelezea biashara hii, naamini kuwa connected ni kitu bora zaidi kwenye biashara yoyote...
4 Reactions
28 Replies
8K Views
Habari wakuu... Nimepata wazo la kufanya biashara ya Glass and aluminium ili niweze kutengeneza na ku supply madirisha, milango, curtains na bidhaa nyingine zinazohusika na hizo materials...
0 Reactions
31 Replies
20K Views
Habarini wanajamvi. Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza, naomba msaada wa kujua GNI per capita ya Tanzania mwaka 2020. Nitashukuru zaidi Nikipata na source ya habari.
0 Reactions
5 Replies
812 Views
Naomba kujua nitamlipiaje ndugu yangu fees yupo India kupitia bank ya ICICI sijui kama ipo hapa Tanzania na pili kutuma fees bila kufungua Acc Bank nionyeshene njia mwenye kujua.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Niliamua kulima mwaka huu karanga nilipata fununu Kua karanga Zina pesa ndefu.. Tayari karanga zimekomaa nikafanya harakati za kuzivuna namshukuru Mungu zilikubali Sana nilipata debe 21 sawa na...
29 Reactions
149 Replies
17K Views
Ujasirimali Office work ‘Vijana msiwaze kuajiriwa, jiajirini'Vijana wameshauriwa kuacha kutegemea ajira za ofisini, badala yake watafakari namna ya kujiingiza katika ujasiriamali ili...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Back
Top Bottom