Habari wana JF!
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24, nipo mwaka 3 moja kati ya vyuo hapa nchini. Lakini moja kati ya vitu vinavyoniumiza hapa duniani ni pale ninapoishiwa hela ya matumizi na...
Habari wana JF Mimi ni mwanachuo katika chuo kikuu cha st Joseph kipo mbezi kimara,Dar es salaam.
Nahitaji partner .ambae tunaweza kufanya biashara pamoja ya kuuza mafuta ya alizeti kwa sababu...
Wadau naomba wenye data kuhusu biashara ya mafuta ya alizeti wanijuze.
The following should b included.
1.upatikanaji wake i.e location
2.Market yake kwa hapa Dar
3.Profit margin ikoje
Thanx...
Habari wana JF, kwa wazoefu naomba msaada kuelekezwa namna ya kuijaza adress Fomu ya ALIEXPRESS kuna parcel nahitaji kuiagiza uko mtandaoni sasa nimekomea apa.
1. STREET ADRESS ni adress ya posta...
Faida za Ajira:
1. Uhakika wa kipato kwa kila mwezi. Haijalishi hali ya uchumi imepanda au imeshuka, kipato kinabakia palepale.
2. Uhakika wa matibabu kupitia BIMA YA AFYA.
3. Kupata connections...
Sina Takwimu za uhakika za idadi ya Wafungwa Nchini ila nina imani kabisa katika Magereza yetu tunaweza kuwa na idadi ya Wafungwa ambao wanaweza kuzalisha bidhaa mbalimbali na kuchangia katika...
Natambua kwamba kama taifa tunao wataalamu wa fani mbalimbali.
Natambua pia kwamba "Sciences" katika ujumla wake ni msingi wa mafanikio katika taifa lolote.
Kwa msingi huo basi naonelea itakuwa...
Habari zenu wakuu, ninaomba kujuzwa kuhusu biashara ya usafiri je ni biashara gani kati ya hizi.
1.Biashara ya mabasi ya mikoani, hii itakuwa inahusu mabasi ya abiria wa mikoani, ninaomba mnijuze...
Niaje wadau. Kuna kampuni imekuja kutangaza kuwa inauza viwanja Mlandizi. Ikatoa na ramani na inasema unaweza kulipa kidogokidogo ndani ya miezi 18 unatakiwa uwe umemaliza.
Sijawahi kufika huko...
How to Invest on the Dar es Salaam Stock Exchange
If you really want to invest at the furthest reaches of Africa’s frontier markets, the Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) is for you. The little...
Habari za wakati huu wana jf.
Leo nimeamka na wazo la kufungua pub.
Na safari yangu ndio inaanza kama ifuatavyo.
Kwa wale wazoefu ningeomba mnisaidie list ya vinywaji vyote vinavyotakiwa kwaajili...
Wakuu Kama kichwa kinavyosomeka nahitaji ushauri nataka kufungua kampuni.
Naomba hasa ushauri ni kampuni gani itanilipa endapo nikifungua kwa mtaji wa 30mil namaanisha niisajili itambulike...
Wadau kama mnavyojua kizazi hiki kimesheheni fursa kibao za mtandaoni ikiambatanishwa na urahisi wa kutuma na kupokea pesa.
Ila kwa bahati mbaya Tanzania tupo nyuma sana yani kwa lugha nyepesi...
Kuna biashara nataka kufanya naombeni mnielekeze njia za malipo kwa watu walio nje katika nchi nilizotaja, nawezaje pokea malipo kutoka kwao, njia zipi nitumie, kuuliza si ujinga.
Nimeona simu nzuri AliExpress za Xiaomi wanauza nimevutiwa kuzinunua maana bei ni rhisi kiasi naomba mwenye uelewa wa jinsi ya kuzinunua na kuzipata nikiwa Tanzania.
Je vipi ubora wake?
Je...
Habarini wana JF, naomba kufahamishwa aina ya sabufa inayodumu kwa muda mrefu na yenye mziki mnene. Nimefanikisha vihela kadhaa hapa sasa sijui nichujue aina gani.
Pia kama ukiniwekea na kabei...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.