Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Nimekuwa mkulima wa miwa ya kuzalisha sukari katika Bonde la Kilombero kwa miaka kadhaa sasa ila kwa kipindi cha miaka mitatu iliyopita soko limeyumba kupita kiasi. Tatizo kubwa ni...
20 Reactions
66 Replies
8K Views
Ni mashine nimezikuta kwa ndugu yangu, zinaonekana kama moja mchele na nyingine ya mahindi, niweze kutumia kwa utaratibu upi ili nijiingizie kipato.
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika miaka ya hivi karibuni serikali ya Tanzania ikishirikiana na sekta binafsi imechukua hatua mbalimbali kuimarisha uchumi. Nyingi ya juhudi hizi ni sehemu ya mpango wa dira ya kuifanya...
0 Reactions
0 Replies
600 Views
Wapendwa habari zenu? Tafadhali naomba mnisaidie kama kuna mtu anazijua bei au gharama kamili za usafirishaji wa magari mapya (IT) yanayotoka bandari ya Dar es salaam kwenda nchi jirani mfano...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari ya majukumu wanajukwaa? Naomba kujua Kama naweza kufungua akaunti ya benki kupitia njia ya mtandao nikiwa nje ya nchi na pia ushauri wa benki nzuri inayofaa kufungua akaunti nikimaanisha...
0 Reactions
3 Replies
711 Views
Access to finance and financial education is still in issues in most developing countries,Tanzania included.The majority of the society has limited access to financial education and financial...
0 Reactions
1 Replies
510 Views
WAKUU ,natumuani mu wazima wa Afya. Karibuni mtoe mchango wenu kwa kina kuhusu hizi forwarding companies za vifurushi kutoka mataifa mbalimbali kama vile USA,UK,n.k. Mimi nimekuwa nikifuatilia...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Mimi pamoja na mke wangu ni watumishi wa serikali tumekaa pamoja tumeshauliana tumeamua kuchukua mkopo wa mil 45 lakini tatizo tulilonalo hatuna idea yoyote ya biashara maana kazini tunaenda...
3 Reactions
171 Replies
16K Views
Juzi nimeenda K Koo na katika pitapita zangu sokoni nikakutana na hili. Kuna suruali za jinzi ambazo humwagwa sokoni chini zikiuzwa 10000 tsh, ama 11 , 12000 hivi. Lakini siku hiyo mida ya jioni...
2 Reactions
20 Replies
4K Views
Jamani, Mimi ni kijana wa kitanzania nahitaji kujikwamua kiuchumi na nimepata wazo la kwenda kuchukua viazi mviringo Mbeya na Iringa na kuja kuviuza mikoa ya Dar es Salaam na Morogoro. Shida...
0 Reactions
12 Replies
6K Views
Uvivu ni hali ya kutokuwa na hamasa, umakini, bidii, kujituma katika kufanya jambo. Unaweza kuwa mvivu wa kufanya kazi za mikono, mvivu wa kusikiliza, mvivu wa kutembea, mvivu wa kujieleza...
6 Reactions
12 Replies
4K Views
Ninaomba kujua hii ofisi ipo wapi kwa moshi kwa anaejua anisaidie please nimeitafuta sana physically sijampata
0 Reactions
2 Replies
2K Views
As investors look at safe bets during the pandemic, nothing could be more attractive than government bonds. But is Tanzania the right place to do this? De Carnys Capital LTD CEO, Jim Coleman joins...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
MAFANIKIO HAYANA UCHAWI NI KUMUOMBA MUNGU NA KUZINGATIA BAADHI YA MAMBO Leo Apostle Jonathan Kamwavah ninakuletea somo kwa ufupi Sana linalosema: VITU SABA AU MAMBO SABA YA KUACHA ILI UFANIKIWE...
4 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari Wanajamvi. Nina ndugu yangu yupo India anahitaji kunitumia kiasi kidogo cha fedha, hivyo hatujui ni njia gani tutumie hili hiyo fedha inifikie. Naombeni maujuzi tafadhari.
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Na Bikira Ukiwa mkulima, sharti uifukie mbegu ardhini, ikae huko bila kuiona kwa muda fulani mpaka itakapochipuka, ikaota na kuzaa matunda. Ukiwa mfanyabiashara sharti ni hilohilo. Lazima...
7 Reactions
3 Replies
2K Views
Wakuu kama kichwa cha Habari kinavyojieleza, ni kwa muda mrefu sasa huyu jamaaa amekua akiniongoza kwenye mambo tofauti tofauti kutokana na kua na ideas kama za kwangu tofauti tuu yeye anamkono...
6 Reactions
33 Replies
9K Views
Habari Tanzania! Chukua wazo hilo kalifanyie kazi. NB: Soko nje ya nchi na ndani pia. Karibu.
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kumbuka kila wakati kuwa matumizi yako ni mapato kwa mtu mwingine, watu ambao wako nje ya udhibiti wa mtiririko wa pesa zao wanafanya watu wanaosimamia mtiririko wa pesa zao kuwa matajiri. Je...
2 Reactions
2 Replies
967 Views
Ndugu wana jamvi naomba Kutumia nafasi hii Kufahamishwa ni kwa jinsi gani ninaweza kupata Soko la Uhakika la Pumba za Mahindi, Pia namna Bora ya kuendeleza biashara na kuongeza thamani ya nafaka...
0 Reactions
17 Replies
8K Views
Back
Top Bottom