Je waijua BANK OF AFRICA (BOA). Hii ni Benki inayotoa mikopo rahisi ya hadi asilimia kumi nukta saba tu kwa mwaka.
Mfano ukikopa milioni 1. Riba ya mwaka mzima itakuwa 107000. Yaani kwa mwaka...
Wadau naomba mnisaidie kujua gharama za kuingiza Trekta. Bei yake huko lilipo ni kiasi cha milioni 30 tsh.. nimeangalia kwenye kikokotozi cha TRA. Hakuna sehem unaweza kokotoa hii ni picha ya...
Baada ya kufanya kazi ya huduma kwa wateja vodacom, kwa zaidi ya mwaka mmoja chini ya kampuni ya outsourcing.
Nimeacha kazi baada ya kuona sisogei kimaendeleo licha ya kujinyima sana na kutumia...
Wana Jf habari,
Pameibuka makampuni mengi sana, ambayo yanajihusisha na uuzaji magari kutoka japan kuleta huku
Na kila moja akijitangaza kuwa bora zaidi.
Kitu ambacho kwa wageni ambao wanahitaji...
Habari za jioni ndugu zangu,
Naomba uzoefu kwa nyie mliojaliwa kupata magari kwa kuyaagiza toka Japani hasa yale ya mtumba mlifanyaje fanyaje mpaka mzigo ukawafikia? Pale Bandarini mzigo...
Habari zenu wana jamvi,hivi hii kampuni ya NICO ambayo ilianzishwa kwa mbwembwe kwelikweli na kutangazwa sana na vyombo vya habari kwamba itakuwa mkombozi wa kweli kwa watanzania na kuanza kuuza...
Nimemaliza chuo muda (2016) kidogo, nimesota sana kupata ajira, nimesota sana mpaka nilifikia kukata tamaa ya maisha, Mungu mkubwa mwaka jana mwezi wa 5 nikaja kupata kazi kwenye mradi mmoja...
Habari za asubuhi wanajamvi na kwa mda huu tunapoelekea mchana huu na habarini za jumapili kwa wale wakristo wenzangu.
Naomba kwenda kwenye mada moja kwa moja, mimi ni mtaaluma wa ICT nikiwa...
Habari, Naitwa Thomas
Leo ningependa kwenda moja kwa moja kwenye mada ni kwamba unapotaka kufikia mafanikio basi fanya kazi kwa bidii lakini kama ukitaka mafanikio makubwa zaidi basi inakupasa...
Nimebahatika kufanya kazi na watu tofauti tofauti hapa nchini hasa wajasiriamli wadogo na wale wa kati.Binafsi pia nimefanikiwa kufanya aina mbalimbali za biashara,ndogo na za kati,local na...
Najua kuna watakao elewa hili ni kuna ambao hawataelewa hili;
Kama taifa inabidi wakati tuamue kama taifa tunataka kuwa taifa la namna gani,Je tunataka kuwa taifa la...
Nawasalimu nyote kwa pamoja
Kama uzi wangu unavyosema,
Mimi ni kijana kutoka katika familia ya kipato cha chini
Lakini sion aibu kuweka wazi maisha halisi ya familia yetu, kwa kuwa mficha uchi...
Maonyesho ya 127 ya uagizaji na uuzaji wa bidhaa ya China yanayojulikana kama Canton Fair yamefunguliwa rasmi tarehe 15.
Hii ni mara ya kwanza kwa maonyesho haya kufanyika kwa njia ya mtandao...
Tunafahamu wazi, unakutana na mafundi mbali mbali wa kupendezesha nyumba yako.
Lakini sisi tuko tofauti kidogo kwani tuko na.
1.Uwaminifu
2.uharakishaji wa kazi
3.kazi nzuri yenye kiwango sahihi...
Naomba msaada wenu, kuna bidhaa nimeiona Alibaba nikaipenda, muuzaji anasema yuko USA, tumebargain bei na kukubaliana. Tatizo nasita kumtumia hela make naogopa kutapeliwa. Naomba uzoefu kwa yeyote...
Wakuu habari,
Naomba kusaidiwa jina la biashara. Naomba liwe fupi lakini lenye kuakisi ninachokifanya.
Biashara ninayotaka kufanya ni Agent wa kuwa naagiza mizigo kutoka Nje.
Naomba kuwasilisha.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.