Tanzania accumulated $5.5 billion worth of gold and dollar reserves by the first half of 2019/2020, covering more than six months of imports. The country’s benchmark is at least four months’...
Here are my favorite sectors for Tanzania for all those new investors coming to town:
Telecom and ICT
The potential in telecom and ICT in Tanzania remains largely untapped. But the potential is...
Samsung And Apple Beaten By Huawei In Huge New Smartphone Surprise 8
In a huge market surprise, Huawei has defied the odds and not only stayed ahead of Apple but also overtaken Samsung to...
Habari
Ningetaka kuanzisha biashara ya uuzaji mafuta ya gari
Ninatafuta partner.
Masharti :
Awe na skype, tuzungumze kwa haraka.
Kama hapendi kuandika / Kusoma, sina haja.
Ahsante
Rich people are different from the poor just because of simple arithmetic. People become rich if they are able to make effective use of their income and time. If you're an observant person, you...
Katika ulimwengu wa biashara kuna fursa nyingi ambazo mtu aweza kuzitumia ili kupiga hatua maishani.Baadhi ya mbinu hizo ni pamoja na hizi hapa chini:
Kuwa reseller wa huduma au bidhaa.Katika...
Habari ya Kazi Wakuu.
Naitwa X ninaishi Kilimanjaro, Nilikuwa nataka Mtu ambaye anaweza Kuandika Vizuri Business Plan ya Biashara ya Mchele Kuanzaia Kununua kwa Wakulima mpaka kuuza kwa Package...
Habari wadau,
Nahitaji kuweka pesa kwenye, paypal accont, naombeni njia itakayonisaidia kufanikisha hili maana nimejaribu kuangalia mpesa wao wana mastercard tu
Asante.
Habari wakuu,
Nimepitia banks na microfinances nyingi zinazotoa mkopo kuangalia criteria zao na naona criteria nyingi nafudhu ikiwemo ya Asset au Collaretal.
Criteria moja ambayo bado nahitaji...
Ili ufanikiwe katika maisha lazima uwe muuzaji(sales person) mzuri
Hizi ni mbinu unazoweza kutumia katika kuuza bidhaa, huduma au siasa.
1. Taja namba/sifa kubwa kubwa zinazovutia watu...
Habari za mida hii Wakuu hope mko vema na jumapili inaenda vizuri,
Okey twende kwenye Mada kidogo
Kuna kitu wengine hatujui kama mimi ukiniambia maswala ya Dollars najua ni hela ya kimarekani...
Kwema wakuu.!! nilikua nahitaj kupata mchango wa mawazo kwa wale wenye uzoef kidogo na biashara gani mtu anaweza fanya kwa kuzungusha madukani na kufanya delivery kwa baadh ya watu.
mfano hawa...
Hawa watu wanajitahidi sana kubuni mbinu tofauti tofauti ili wazipige hela za watu(UTAPELI)
Na wanatumia media kwa nguvu kubwa.
WANAKERA SANA. KUNA WENGINE WANATUMIA MEDIA KAMA ITV KUANZISHA...
Habari wadau, natafuta machine ya kutengeneza chalk Kwa ajili ya kuanzisha mradi wa kutengeneza chalk na kuuza, mwenye uzoefu na biashara hii anisaidie kupata machine na ushauri wa biashara yenyewe.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.