Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Katika miaka ya karibuni ukuaji wa teknolojia ya kidijitali umezipa nchi nyingi faida mbalimbali za kibunifu ambazo zinazochochea maendeleo ya watu na ukuaji wa uchumi. Moja ya teknolojia hizo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari za kazi wapambanaji mimi ni mkazi wa Dodoma mjini nilipoanza mwaka 2020 nliandaa mpango wa kufungua saloon ya kusuka ifikapo mwezi March mwaka huu lakin ilipofika huo mwezi ikawa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari yenu wakuu, Mimi ni kijana wa kiume nina umri wa miaka 29, elimu yangu ni shahada ya kwanza. Ni hivi baada ya kuhangaika kwa muda mrefu kutafuta kazi bila mafanikio yoyote, hivi karibuni...
1 Reactions
22 Replies
5K Views
Habari wakuu. Naulizia ni wapi nitaweza kupata huduma ya kutengenezewa QR Code kwenye business card hapa Dar
0 Reactions
14 Replies
6K Views
Salamu wajasiriamali, Kama mada inavyojieleza. Ninaishi mkoa mmoja wapo wa Kanda ya Ziwa. Nina kahela kidogo nafikiria niingie vijijini wanakolima mpunga kwa wingi nikanunue magunia kadhaa...
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari Niko hapa leo kushare experience yangu na nyie wanajamvi kuhusu hili jambo najua wengi wenu sio geni kuwahi kukutana nalo na wengine ni geni kukutana nalo je? ushawahi kujiuliza samaki...
2 Reactions
41 Replies
5K Views
Mtaji,maarifa na uzoefu ni vitu vitakufanya uiyone biashara ni rahisi kufanya. Kuna wakati unajalibu kusimama peke yako katika biashara unajikuta unayumba katika vitu kadhaa. Unatamani...
2 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wana JF. Naomba kupata Mwanga kwa yeyote ambaye amewahi kuagiza Bajaji (JVC) Mpya toka India (Kiwandani) au kupitia kwa mawakala wao wa kimataifa. Mambo ambayo natamani kuyajua ni haya...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Bulk SMS ni huduma ya kutuma ujumbe wa SMS kwa watu wengi kwa muda mfupi. Kwa kutumia huduma ya bulk sms unaweza kutuma idadi ya sms moja kwa watu wengi zaidi kwa wakati mmoja. Huduma hii ufanywa...
2 Reactions
27 Replies
6K Views
Habari zenu ndugu zangu Mimi nimepata idea ya kuanzisha kikundi cha wanaume. Kikundi hicho kitamhusu mwanaume pamoja na jamii. Kikundi hiki kitaanzisha miradi mbalimbali kwa mfano viwanda...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
Dear all Have registered for a new paypal account using the CRDB debit card and that my account was charged by paypal US$ 1.95 and the code sent to the bank. On requesting the bank statement I do...
0 Reactions
81 Replies
40K Views
Asee kuna fundi wa tailes baada ya kufanya kazi kapewa mabaki ya tailes 60*60 kama sehemu ya malipo yake anapatikana hapa Mwanza sasa anataka kuniuzia kwa bei pungufu ya 30000/= box ambapo zimo...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nimejaribu kuangalia kwenye ripoti mbalimbali za kiserikali (Wizara ya Fedha) na Benki Kuu Ya Tanzania n kugundua kwamba, katika kipindi cha miaka mitano 2015/16- 2019/20 serikali imeshindwa...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
NMB declares 48bn/- dividend to govt, shareholders THE government and other NMB Plc shareholders will pocket 48bn/- dividend payment this year which is equivalent to 45 per cent increase...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Habarini za majukumu! Naomba kufahamu masoko nafuu ya vifaa vya kielektronik vya mtumba mfano TV, Laptops nk. Nataka nianze kufanya biashara ya vifaa vya kielektronik vya mtumba.
1 Reactions
9 Replies
2K Views
Hapajawahi duniani kua na biashara iliyofanikiwa ila ni watu waliofanikiwa wanaoiendesha biashara~Nahau ya Uchina Hawa watu waliofanikiwa wanaoifanya biashara ifanikiwe ndio wakoje!?Nawapata...
7 Reactions
12 Replies
2K Views
Za saa hizi humu wadau, aisee naomba mnisaidie kujua bei ya viazi mviringo /Ulaya Kwa gunia moja la kilo Mia Kwa Dar es Salaam . Au mwenye namba za simu za mfanyabiashara au dalali anayeleta...
2 Reactions
3 Replies
5K Views
Wakuu, Natumai mnaendelea vyema na mapambano dhidi ya kirusi huyu.Mungu atusaidie tulishinde hili jaribu. Mimi ni mdau mzuri katika ufuatiliaji wa mambo ya uchumi.Napenda sana mambo ya uchumi...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Ndugu zangu naombeni ushauri mini ni kijana nipo Dar Es Salaam eneo la ubungo naomba ushauri ipi inafaa kati ya biashara hizo mbili ambazo ni boda boda ya kuendesha mimi kama mimi au uwakala wa...
0 Reactions
39 Replies
9K Views
UTANGULIZI Wakuu; hivi karibuni Waziri wa Fedha Dr Mpango alialika watu kutoa maoni yao kuhusu mambo wanayoyaona kuwa ni kikwazo (au vikwazo) kwao katika kufanya biashara na akaahidi kuwa serikali...
9 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom