Habari,
Naamini muwazima wa afya njema
Pia nadhani hili ndio andiko langu la kwanza basi niseme happy new year
Katika biashara watu wengi hufanya kwa njia na mbinu mbalimbali kutegemeana na...
Najua hili sio jukwaa la biashara ila kutokana na jukwaa kuwa active sana nimependa niweka uzi wangu hapa hivo naomba isipigwe kapuni na viongozi.
Husika na mada hapo juu napenda sana kuanza hii...
Mm ni mjasiliamari mtarajiwa, natarajia kuanzisha biashara ya kukodisha pikipiki Kwa mkataba. Natarajia kuanza na pikipiki 10 ambazo nitawapatia vijana walio katika vikundi.
Nitawapatia Kwa...
Habari wananzengo,
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa pili, wa masomo chuo fulani Cha serikali huko Dodoma,naenda straight to the point kwamba nataka nifanye saving ili panapo uhai mwakani moja ya...
Ndugu zangu nataka kufungua Kampuni ya matangazo ambayo itakuwa inahusiana kutangaza biashara za watu na makampuni tofauti tofauti.
Hivyo naombeni ushauri ni vitu gani vya kuzingatia lakini pia...
Wakuu mimi ni kijana ambaye nina ujuzi wa kutengeneza magari licha ya kwamba sina uzoefu wa kutosha katika hii fani pia ni mwanafunzi wa mechanical engineering ngazi ya diploma.
Hivyo nimetokea...
Wakuu wenye uzoefu na ambao mko ndani ya hii biashara naombeni insights za jinsi ambavyo mna handle clients kuanzia step ya kuwalipisha pesa hadi mnapomaliza biashara husika.
Kikubwa nataka kujua...
Habari.
hakika Mapambano yanaendelea.
Kama upo mbeya au sehem yoyote ya jirani na una Pikipiki(boxer au Tvs) au una wazo la kuwekeza katika usafiri huu. Basi tunaweza kubaliana deal.tukakabidhiana...
Nia ya challenge hii ni kubadili mawazo mgando ya kuwa bila mamilioni huwezi kuishi sio kweli.
Wakati unangoja hayo mamilion tafuta buku basi usionekane mzigo kwa wengine.
Jibu langu hilo hapo...
Aibu na Uoga ni janga kubwa sana. Asikuambie mtu, mtu asikuambia mimi sina mtaji ila ukweli ni Aibu na Uoga.
Kuna Mtumishi mmoja Baba yake na Mkurugenzi wa Jamiiforums aliwahi tuambia mafanikio...
Habari wakuu.
Vipi mnaendelea na majukumu ya kuendesha miradi yenu.
Nikiwa nina miaka kumi sasa ndani ya ushauri wa biashara hasa jinsi ya kuanzisha, kuendeleza, kubadili na kuipa mwelekeo mpya na...
Ndugu habari zenu
Ninataka kufanya biashara ya kuuza gesi ya kupikia majumbani. Yaani kama Oryx, Taiga etc. Ninapotaka kuuzia ni Manzese.
Naomba ushauri wenu juu ya namna ya kupata huo uwakala...
Habari za muda huu.
Nahitaji kuagiza simu yangu binafsi kenya, kama vile tujuavyo wanauza simu bei rahisi sana tofauti na huku kwetu.
Nakuomba kama ukishawahi kufanya hivyo ukaipata simu yako...
Wanajukwaa,
Heshima mbele.
Nimekuwa nikiona mpango wa baadhi ya watu kujijengea desturi ya kuweka akiba kwa mfumo ambao unajulikana kama 'kibubu challenge'.
Baada ya kujifunza namna unavyofanya...
Kichwa cha habari chajieleza, mimi ni Mtanzania nipo wilaya ya Kasulu huku vijiji vya ndani kabisa.
Ninahitaji kufungua ofisi ya kuchaji simu, kurusha nyimbo kwenye simu na kubarn cd kwa kutumia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.