#Roadlife_ hints by Thomas B Mwamfupe
Katika kukumbushana tu,unajua kama wewe Trucker ni muwakilishi wa kampuni yako kule unakotumwa kupeleka mzigo, kama hukulijua hili basi ujue toka leo...
GTs,
Nakuja kwenu na hisia.
Usalama barabarani barabara ya Kwenda Bukoba kupitia Chato kwa muda sasa imekua na maafisa usalama barabarani wenye nia ovu ya kuhakikisha mabasi yaendayo Bukoba...
Habari zenu wadau?
Nije kwenye mada? Humu jf Naona kuna watu wameibuka wana hela kubwa kubwa wanataka ushauri wa kufanya biashara!.
Mi naomba kujua mbona wanazidi tu kulikoni mara leo huyu ana...
People lie, numbers don't
faida: ndio sababu watu wanafanya biashara na ndio kitu pekee wengi wameshindwa kukielewa vizur au kukiongelea kwenye biashara hio ya duka. Approximately pato la...
Habar za humu wanajamvi?!
Naomben msaada wenu kwenye hili. Nataka niwe na-deposit nusu ya mshahara wng wa kila mwezi kwny account ya benk. Lakin bado cjajua kama kuna benk inayotoa huduma ya...
Habari wakuu, kama kichwa cha habari kinavyoonesha, Nilikuwa naomba Kwa mwenye kufahamu makao Yao hawa Watu Kwa hapa TANZANIA na utararibu wa receive pesa iliyotumwa kutoka nje ya Nchi.
Miaka kadhaa nyuma kuku aina ya Kuchi walipata jina sana. Bei yake ilipanda kweli kweli hadi ikafika tzs. 500'000/- kwa kuku mmoja.
Mlio bahatika kuwanunua hao kuku njooni mtupe feedback, hao kuku...
WATAALAMU wa vyombo vya uvuvi nchini wataanza kuajiriwa kitaifa na kimataifa, baada ya Bunge kuridhia mkataba wa kimataifa wa viwango vya mafunzo na utoaji vyeti kwa wafanyakazi wa vyombo vya...
Habari wana JamiiForums,
Kwa mud wa miezi karibu mitatu sasa nimekua nikiumiza kichwa kuhusu kufanya biashara. Nimefikiria biashara nyingi sana katika kipindi chote hicho ila biashara pekee...
Habari za mida wakuu.
Japo nipewa ushauri wa kuendelea na masomo ili nimalize semester moja iliyobaki lakini kusema kweli roho yangu bado haitaki kwenda kusoma make nimenogewa kwenye ujasiria...
Ndugu zangu, dhana inayofanyika mpaka mtu anapata UTAJIRI kutoka kwa mganga. Hii ipoje kwa anayejua? Pia, mie najiuliza hawa waganga huwa wanaona nini hasa kipindi wanamuagua mtu.
Kama wewe...
Mimi nadhani ni sehemu za kuuza vitu vingi vingi kwa bei nafuu kiasi. Mimi naamini ukiamua kukomaa na minada unaweza toka na hela nzuri sana tu.
Nadhani kuna mikoa na mikoa yenye minada mizuri...
Asalaam aleykum,
Naomba mwenye uzoefu au uelewa wa biashara ya spea za bajaj na bodaboda anisaidie mawazo.
Ninataka sana kufanya hii biashara lakini sina taarifa zake sahihi.
Nataka niifanyie...
Hello again, business personels
Nashukuru sana kupitia thread yangu awamu ya kwanza nilikuja kuomba ushauri kidogo juu ya biashara ya kufanya.
Nipende kutoa shukran sana kwa waliotoa michango...
Ikiwa dunia inapitia kwenye mtikisiko mkubwa wa kiafya na kiuchumi baada ya kukumbwa na janga la corona.
Tumeshuudia biashara, ajira, uwekezaji nk vikiporomoka.
Lakini wanasema penye kila...
Uchumi wa Viwanda kinyumenyume?
Mwaka ulioishia Novemba 2015 Tanzania iliuza Nje Bidhaa za Viwanda (manufacturing exports) zenye thalami ya USD 1.4 Bilioni.
Mwaka unaoishia April 2020 Tanzania...
Katika mambo ya msingi kwenye biashara ni kuhakikisha kwamba unakuwa na wateja.Ili kuweza kuwa na wateja ni lazima uwatafute na unapowatafuta lazima utumie mbinu za uhakika na za kisasa katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.