Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

1. Barber saloon. Lots of Nigerians are much skillful and very creative but they keep ignoring this business. Starting up a local saloon is not tedious and it quite affordable. 2. Farming. A...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ndugu zangu naomba kujua ni bidhaa zipi zitokazo nje ya nchi bila kodi. Kwa mfano mimi nafahamu sanitary pads japo sijajua kama bado hazina kodi
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Mambo vipi wadau? How is the feeling this Sunday evening? Hapa Arusha ni kibaridi kwa mbaaaaali hii jioni. Nimetupia Maasai shuka nimetulia living room and it feels good man. Kama kawaida kila...
0 Reactions
13 Replies
4K Views
Ndugu habari, Nimemaliza chuo mwaka jana sasa nina shahada ya kwanza ya Ualimu katika masomo ya Hisabati na Kompyuta. niliporudi nyumbani mwaka huu niligundua kuna fursa ya kuzoa taka katika...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari wakuu, Nina plan ya kufungua duka lenye mchanganyiko wa bidhaa za umeme na ujenzi. (electrical and hardware) Ila ndio naanza hii biashara , sipo established kivile, naanza kama mid sized...
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Mimi ninaishi mkoani Geita na ninajishughulisha na uchimbaji wa madini ya dhahabu kalibuni ndani ya uzi huu kwaajili ya kufahamu usichokijua na mimi kufahamu nisicho kijua kuhusu uchimbaji wa dhahabu.
4 Reactions
35 Replies
8K Views
Habari, Kwa utashi, uzoefu, ujuzi na hekima zenu tafadhali naomba kufahamishwa taratibu na gharama za Ushuru wa Bandari wakati wa kutoa gari kwa Port ya Dar Es Salaam. Nimejipigapiga na kuagiza...
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Wanajamvi ningependa kujua malipo ya mtaji mil5 tea kwa mwaka.
0 Reactions
2 Replies
759 Views
Wanajukwaa nisaidieni naishi Dar. Kwa sasa vibaka wamekuwa wengi kutokana na hali ya upatikanaji wa fedha kuwa mgumu hivyo wamekuwa wakiingia home kubahatisha watakachoweza kuchukua mara kwa mara...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Niende moja kwa moja kwenye mada husika. Mimi kama kijana ninayepambana kutafuta ugali, nimeona fursa katika hii biashara ya miamala natafuta mtu mwenye mtaji wa kuanzia mil na kuendelea mbele ili...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Ninakaribia 30. Nafundisha sekondari, somo la Basic Mathematics. Sina furaha na kazi yangu kwa sababu kipato hakiendani na kasi ninayoipenda. Nimegundua kuwa na degree hakuendani na kipato. Bado...
31 Reactions
243 Replies
30K Views
Ugonjwa wa korona (COVID-19) umebadili maisha ya watu wengi kwa namna ambazo hatukutegemea. Moja ya badiliko kubwa ni lile la kupunguza mikusanyiko, kubaribiana na wengine kuathiri mipango ya...
0 Reactions
1 Replies
741 Views
Habari zenu, Ni matumaini yangu mu wazima kabisa na wenye safi na salama. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, ni kwamba namtafuta mtu ambaye yupo makini na ambaye anapenda...
3 Reactions
20 Replies
4K Views
Kwa muda huu kila jambo ni gumu kwa sababu hakuna aliyeona au kuhis haya yangetokea ktk kizaz chetu. Ila yameshatokea na yametupa mafundisho ambyo hakuna aliyewahi kufkir angeyasoma kwa njia ngumu...
19 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari wanandugu, Mimi sijasomea Uchumi ila nikitumia ufahamu wangu wa kawaida kupitia elimu niliyopewa na walimu wangu wengi wakiwa ni wa UPE 😂😂😂😂 sioni kama Tanzania itaingia kwenye huo uchumi...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakulima wa pamba wameshavuna pamaa yao tayari ila hawaoni kama wahusika wako tayari kuinunua pamba yao. Lini ununuzi wa pamba unaanza kwa sababu kukaa na pamba ndani ya nyumba ni hatari sana...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nilikuwa naomba kufahamu ni mkoani gani ambao una mbegu nzuri ya kuku wakienyeji kwa ajili ya kufuga na bei za hao kuku zikoje. Na gharama za usafirishaji zikoje ?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
habari Kuna rafiki yangu (mwanamme) amehamia Moro anahitaji mtu wa kuchangia Mtaji wafanye Biashara Anayetakiwa; Awe na Biashara au wazo zuri la Biashara inayo weza kufanyika Morogoro Awe na...
2 Reactions
38 Replies
12K Views
Habar wakuu, Nina laki saba na nusu nipo Mwanza je kwa uzoefu wenu wakuu naweza kufanya biashara gani? Binafsi nilikuwa nawaza kuchoma kitimoto ila sijajua kama kwa mtaji huu na hata nje...
1 Reactions
11 Replies
4K Views
Samahani wanaJF, Nilikuwa naomba mnisaidie na mawazo au labda uzoefu kwa namna Moja au nyingine kutokana na fursa zinazopatikana baada ya kupata cheti cha kuanzia Diploma ya Uhandisi wa umeme...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Back
Top Bottom