Wakala wa Vipimo (WMA) Mkoa wa Kinondoni imetoa miezi miwili kwa wafanyabiashara wa nyanya, vitunguu na viazi mbatata kutumia vipimo vya mizani kama inavyofanyika kwenye mazao mengine badala ya...
Wakuu habari naomba msaada.
Kuna rafiki yangu kaniomba msaada ili apate uwelewa zaida kuhusu mkopo atakao uchukuwa bank NBC, je hajawaelewa kimahesabu vizuri au vipi! kenda kuomba mkopo nbc kwa...
Nimekuwa na wazo la kuanzisha magazine na target market ni wanawake.
naomba ushauri natakiwa nifanye nini kuanzisha magazine. Je,kuna pahala pa kuregister or how to go about it?
Nasubiri...
Nimekuwa nikipita maeneo kadhaa ya Dar na kuona fedha za Tanzania ambazo kwa sasa hazitumiki zikiuzwa. Na nimejaribu kuwauliza wanakozipata hawanipe majibu stahiki.
Sasa nimekuja kwenu wana jf...
Asalam wanajukwaa,
Nimeona nilete kwenu mjadala wa uhusiano kati ya ukosefu wa masoko hasa kwenye bidhaa za kilimo na ukosefu wa ajira
Ukiangalia haraka unaweza usione link iliyopo kati ya...
Nimejaribu kuuliza watu mbalimbali kuhusiana na uwasilishaji wa mawazo ya biashara au ujasiriamali. Majibu niliopata ni nenda COSOTA.
Mtazamo wenu unasemaje kuhusiana na njia ya sajili na...
Hi JF!
Baada ya kujipanga kibiashara sasa nataka kukuza mtaji naplan kuchukua M2.Marejesho yatakuwa shilingi ngapi Kwa mwezi? Napenda kujua kutoka Kwa wazoefu kabla ya kwenda huko benki...
Habari wanajamii.
Natafuta contacts za waagizaji Sukari nchini yaani wafanyabiashara wenye vibali vya kuingiza sukari.
Nina shida nao sana na ni haraka.. Kama unawajua naomba tafadhali nipatie...
Wakuu Salaam;
Hii kazi ya barakoa na sanitizer imekua kilio tu saivi. Mwanzoni mambo yalikua safi, ukilala ukiamka hela hii hapa, ni tofauti na sasa hivi.
Serikali ingetoa updates za maambukizi...
Asee wadau wangu wa jamii forums bila shaka mko salama. Za SIKUKUU pia Ni njema kwa jina la mola.
Wanajamvi ninaomba ushauri wenu Nina shilingi milioni 1,700000 mahali flani hivi. Nimekwa nawaza...
Wadau mimi ni mjasilimali mshonaji wa suit ni fundi mzuri sana na nnataka nianze kujtegemea kwenye ofisi yangu binafs na nnataka niwe maarufu na nitengeneze brand wenye uzoefu wanipe mawazo. Wadau...
Biashara nyingi zimejifunga kwa kipindi hiki. Mtu kachukua mkopo wa biashara na pesa zote kaziwekeza kwenye biashara. Biashara imejifunga kwa sababu zilizo juu ya uwezo wa binadamu wote Duniani...
CHAMA cha Wafanyabiashara wenye Viwanda na Kilimo Tanzania (TCCIA) Mkoa wa Dodoma, kimesema japo serikali haijawafungia watu ndani, lakini hali ya biashara mkoani hapa imeendelea kuwa mbaya siku...
Wadau, kuna hawa jamaa wanajiita XCITE wanadai wako Mombasa Kenya, wanauza Iphone kwa bei rahisi sana. Sasa ishu ni kwamba unalipia nusu kwa mpesa, paypal etc then unamalizia pale utakapoletewa...
Bila shaka mu wazima wa afya. Naomba mwongozo wa Mambo yafuatayo.
1. Ushuru wa kusafirisha mbuzi kutoka wilaya moja hadi nyingine ukoje?
2. Inaruhusiwa kusafirisha kwenye gari ya abiria (kwenye...
Habari zenu wanna jf.
Kuna mtu amenijia na wazo la kufungua kampuni ya usafi baada ya kuitwa kwenda kwa mwanasheria Fulani kwenda kumfulia nguo na kumfanyia usafi ambapo anasema alimlipa elfu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.