Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Poleni na majukumu wapendwa.Mimi ni mwanafunzi kwa sasa nipo Sweden nafanya kadegree ka Engineering Survey,Ndoto yangu ni kwamba baada ya shule nirudi nyumbani na lengo ni kujiajiri.Natamani sana...
2 Reactions
17 Replies
6K Views
Habari wana Ndugu, Tunatofautiana ufahamu, ulipoishia wewe kufikiri ndio mwanzo wa mwingine. Hizi idea tano nimezifanyia zote uchunguzi kwa kiasi na nimepata ufahamu wa hizi ideas kwa kadri ya...
6 Reactions
29 Replies
12K Views
Hivi tunakwama wapi? Dreamliner IPO Airbus IPO Bombardier zip Hii inakuwaje? Halafu tunashangilia! ATCL mnakwama wapi? Tanzania mnakwama wapi?
11 Reactions
60 Replies
6K Views
Habari na poleni na majukumu ya kila siku. Mimi ni mdau wa mda mrefu katika sekta ya madini nchini, nina miliki leseni kadhaa za uchimbaji mdogo yaani Primary Mining License (PML). Kuna jambo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
EID MUBARAK. Ali Express, Amazon, Alibaba, eBay wapo nchi gani? Je watajwa hapo juu wana ofisi au maduka yao hapa Tanzania? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habarini wanaJF, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 32 ni mwajiriwa wa serikali na nipo katika ajira kwa miaka 10 sasa. Kutokana na changamoto na kero za ajira niliona kama sijiskii kubaki...
1 Reactions
71 Replies
11K Views
Acheni kununua vitu mkononi hasa hasa simu, na vitu vya electronics isipokua tu kama mtu unamfahamu vizuri yaani ukiambiwa kamlete unafika na kubeba, ipo siku mtanishukuru, kama haumfahamu...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
A miner in a diamond mine. Williamson Diamond Mine in Tanzania has a 17 per cent increase in production in 2019. Williamson Diamond Mine in Tanzania has announced a 36 per cent increase in sales...
1 Reactions
3 Replies
869 Views
Nauliza kwa anayejua kuhusu masuala ya investing kwenye stock na mutual funds tuwasiliane please.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wapendwa mimi Niko mkoani nimekuwa nawaza saana kufanya biashara ya viatu vya mtumba mkoa wa kigoma. wenye uzoefu kwenye biashara hii wanisaidie tafadhali nione naanzaje.. Khasante
0 Reactions
30 Replies
14K Views
I just announced that we're launching Facebook Shops today – the basic idea is that any small business can easily start a shop to sell things directly across our apps. If you visit someone's shop...
10 Reactions
16 Replies
3K Views
Wakuu habarini za uzima,kuna mwamba mmoja kanitumia picha ya mawe fulani yanayosadika kuwa ni madini kutoka huko kanda ya ziwa,je ni madini gani na soko lake lipo wapi??kwa yeyote anayeyafahamu...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Wadau wa forex kuna investor kanipa akaunti yake halafu tugawane asilimia ya kitakachopatikana kadeposit dola 3500$. Ila kwa bahati mbaya bado sina uzoefu wa kutosha kwenye hii mishe .je msaada...
1 Reactions
134 Replies
16K Views
Kuongea Lugha moja ndio moja ya nguzo zinazo wasaidia Wahindi. Wahindi Familia nzima wakikaa huongea Lugha 1 tu. Lugha ninayo zungumzia ni Lugha ya Biashara na si Lugha, Kiswahili au Kichaga au...
20 Reactions
13 Replies
3K Views
Mjomba wangu alinunua Audi Q7 ya 2011. Akalipa ushuru kama milioni 45 wakati huo kwenye mtandao wa TRA ikionesha ina ushuru wa milioni 43. Miezi miwili baadaye gari hiyohiyo ukiingia kwenye...
0 Reactions
83 Replies
15K Views
Wakuu JF natumaini wote mko salama. Ninahitaji ushauri na msaada wako kimawazo. Jamani nimepata kama laki 4 hivi nahitaji kufungua banda la matunda. Niambieni ni matunda yapi pendwa ambayo...
2 Reactions
17 Replies
5K Views
Naomba kujuzwa wapi naweza kupata hii machine na bei yake " heat press machine" nataka niongeze ofisi kidogo,
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wajasiliamali wenzangu, Mimi ni mjasiliamali mdogo ambaye mwaka huu nilitaka nijikite katika kilimo cha mahindi pamoja kununua zao hilo. Nimeshalima heka 5 na zinaendelea vizuri hadi sasa...
1 Reactions
1 Replies
802 Views
Homa ya corona imetikisa kila kona ya dunia hivi sasa. Tanzania nako si kisiwa kwani napo visa vya maambukizi vilianza kupatikana kuanzia mwezi Machi. Katika nyakati za changamoto hii ni lazima...
1 Reactions
0 Replies
870 Views
Watu wengi sana wamekuwa wakitafuta huku na huko kujua ni biashara gani inalipa. Yawezekana wengi hatuelewi maana ya biashara inayolipa. Ukweli ni kwamba, biashara inayolipa ni ile ambayo ina...
2 Reactions
9 Replies
7K Views
Back
Top Bottom