Wanajamvi najua corona inatuumiza kwa namna moja au nyingine. Sio lazima uwe mgonjwa ili kuathirika na corona. Kuna watu kupitia corona wamefunga biashara nk
Lakini niwaambie wale wote wenye hela...
Miaka nenda miaka Rudi nikienda Dukani nakuta bei ya Chumvi iko pale pale,
Bidhaa zingine muhimu kama vile Sukari, mafuta, Unga kila siku naona zinabadirika bei,
Leo unaweza kuta imepanda, kesho...
Wanajamvi, hopefully you are all fine.
Kama kichwa kinavyojieleza vizuri, nataka nianzishe chuo ambacho kazi ya kuwaelimisha wanafunzi waliofeli elimu ya kidato cha nne (siyo zero but div 4 yo...
Naomba kusaidiwa kujua:
1. Jinsi ya kununua/ kulipia bidhaa zao
2. Unazipataje baada ya kulipa? Wanatuma/unasafirisha mwenyewe?
3. Gharama za kusafirisha na bandarini inakuaje?
Habari za muda wana JF,
Binafsi ninataka kusajili blog inayotoa elimu kuhusu biashara. Nikaenda TCRA kwa ajili ya kusajili, nikajibiwa hadi niwe na kampuni ndio naweza sajili blog na sio mtu...
Wakuu habari ya Jumapili,miaka 7 iliyopita nilinunua miti aina ya Pine heka 4 Wilaya ya Mufindi. Kwasasa miti ina miaka 13. Wazoefu wameniambia tayari imekomaa na naweza kuivuna. Mi niko mbali na...
Changamoto nambari moja inayotajwa kurudisha nyuma vijana wengi ni ukosefu wa mtaji. Ni kweli hii ni changamoto kubwa sana ila kuna kubwa zaidi ya hii. Twende pamoja katika makala hii na tuongeze...
Mlipuko wa homa ya kirusi cha corona umelazimisha sekta nyingi kutazama upya namna zinavyoendesha kazi zake. Katika juhudi za kupunguza maambukizi na kulinda wafanyakazi sekta nyingi zimejaribu...
Ndugu zangu poleni na majukumu. Naomba mwenye kujua kama kuna nadharia ya mafanikio ya kibiashara juu ya mke wako.
Hivi kweli kuna mke ukiwa naye unaweza kufanikiwa pasipo usumbufu mkubwa au...
Wasalamu,kwa kuuza daladala zangu mbili sababu ya usumbufu wa kissing garage,plus mkopo nawezapata kama m45 nipo na mawazo kama matano hivi,ushauri muhimu ili nisiangamie maana pesa ikishapotea...
Enjoy a normal holiday or vacation in Tanzania is now a presidential message and the message the Tanzania Tourism Board made their policy. Warnings and information about COVID-19 vanished from the...
Kuna watu wenye noti zilizoungua, kufubaa, kuchanika chanika, zenye matobo, n.k kwa kukosa maarifa huziona hizi noti hazifai na huzikacha, kuzitupa ama kuziuza kwa hasara kwa wanaokusanya noti...
Ndugu zangu TRA mimi naomba niwaambie ukweli mnauwa biashara siwafichi nasema ukweli ukweli mtupu.
Mnauwa biashara na mnaenda kuuwa secta ya fedha kabisa. Hivi mnajuwa watu wanatoa pesa bank na...
Habari wanabodi Nina mtaji wa million 2 nataka kufanya biashara ya madini hasa dhahabu popote pale inapopatikana pls kwa wenye uzoefu naomba kufahamishwa changamoto na faith zake...
Habari wana JF,
NAOMBENI MAWAZO, UCHAMBUZI NA CRITICS DHIDI YA HII IDEA YANGU
Nimefikilia nispecialize katika kuuza vitasa, bawaba na komeo tu, yani naaamanisha duka langu liwe la kuuza vitasa...
Wakuu wasaalam,
Poleni na changamoto ya baa la korona. Mimi ni mchoma mishikaki ya ng'ombe inayotokana na nyama ile ya juu ya tumbo, ile yenye nyuzi nyuzi ijulikanayo kama Nemba.
Kwa hapa...
Wazee habari ya asubuhi. Hebu tujadili hiki ni kitu gani. Nimeokota hivi vijiwe vimeefadhiwa katika kitu maalum nikaona nisivitupe kwanza nipate wabunifu labda wanavijua[emoji848][emoji3166]...
Habar wanabodi
Kutokana na kikao cha wadau wa madini kilichofanyika leo ;nimegundua kuna fursa hasa kwenye biashara hii ya vito vya thamani,
Lengo la uzi huu ni kufahamishana ni taratibu gani za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.