Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

KATIKA MAKUNDI HAYA MAKUBWA MAWILI YA WATU DUNIANI, WEWE UKO UPANDE UPI?! Na Mikael Aweda. Duniani kuna aina mbili za watu. Wazalishaji na watumiaji wa kilichozalishwa. Wachezaji na...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Wakuu habari napenda kuuliza anaefahamu kuhusu biashara ya kukoboa na kuuza mpunga maeneo ya Dodoma mjini na hata pembezoni mwa jiji. Ningependa kufahamu 1. Upatikanaji wa mpunga kwa bei rahisi...
0 Reactions
7 Replies
37K Views
Habari za wakati huu Napenda kufahamu jambo moja kutoka kwa watu wenye uzoefu kwenye biashara Kuna jamaa mmoja anataka nimpe risiti ya EFD lakini kiujalisia kazi hajanipa (yani sijafanya kazi...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habarini ndugu zangu, Mimi nina goli la huduma za kipesa kama M-Pesa, Tigo na Airtel Money. Hapo awali nilikuwa kwa mwezi naingiza sio chini ya laki 5 ila kwa sasa biashara sio nzuri nimeshuka...
2 Reactions
24 Replies
7K Views
Karibuni wadau tupeane updates za bei ya zao la ufuta kwenye mikoa mbalimbali kwa sasa
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu wadau Kwa wale ma-trader wa Forex. Je, kutrade Manual na kutrade kupitia EA (Expert Advisor) kipi kizuri? Na kina profit?
1 Reactions
42 Replies
9K Views
Wajuzi wa online business Ni business gani ambayo iko vizuri na inalipa kipindi hiki?.
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Ni mwaka mmoja nimekuwa kwenye hii biashara ya bodaboda, wiki 2 zilizopita baada ya kubadilisha tairi la mbele la toyo, leo bike yangu ya toyo imepiga shoti kwenye wiring.. sasa sijui ni dereva wa...
3 Reactions
34 Replies
6K Views
Habarini wana jamvi Moja kwa moja kwenye lengo la huu uzi bila kupoteza muda. Mimi ni mjasiriamali. Nilianza hii biashara mwezi wa kwanza mwaka huu. Ni biashara nzuri ukiondoa changamoto za hapa...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Nlikua kwenye biashara ya usafirishaji (bodaboda) ila kilichonifelisha sio kodi, wala faini za barabarani, wala usumbufu wa madereva, kilichonifelisha ni service za Mara kwa Mara, yani hesabu ya...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Hatifungani Ni Nini, Nawezaje Kunufaika Kupitia Uwekezaji Wake? - 2 _____________________________ Na #Mwenda ND, Mara baada ya kujifunza juu ya nini maana ya hisa, faida na hasara zake. Pia...
3 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari wana jukwaa, kama kichwa kinavyo jieleza nahitaji kujua bei ya toner probe kwa hapa kwetu Tanzania.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hi wadau wa JF. Mimi nina kamtaji kwangu kadogo kama 10M, uku nikiwa na 5M kama back up plan. Nataka nifanye biashara ya kufuga Samaki kitaalam, eneo ninalo Kigamboni kisarawe II zaidi ya heka...
2 Reactions
66 Replies
15K Views
Nilichojifunza kwenye makala ya wiki iliyopita ni kwamba wasomaji wangu wamekuwa na maswali yanayofanana juu ya ni jinsi gani wanaweza kutatua matatizo yao ya kifedha na bado wakafanikiwa...
14 Reactions
18 Replies
17K Views
Habari wadau? Mimi ni mjasiriamali mdogo katika kipindi hiki cha janga la covid 19 nimeamua kuanzisha biashara yangu ili iweze kuniingizia kipato. Na ili niweze kufanya biashara yangu bila ya...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Naomba kujua utaratibu wa mashine za kusaga mahindi kwa mwenye uzoefu. Naitaji kununua nini na nini, bei ya kila kitu kinachoitajika. Kwa mwenye uzoefu hata mwenye uelewa pia.
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Kwa yeyote atakayeweza kunisaidia kupata piston ya ZOMAX ZM-720 Chain Saw anisaidie, nimejaribu kutafuta Maduka ya Kariakoo, Kisutu na Gerezani bila mafanikio.
0 Reactions
3 Replies
997 Views
Naomba msaada wakitaalam kuhusu ujenzi wa nyumba za kupangisha Nina maeneo mawili, moja Makongo sqm3000 na Kigamboni sqm1700, nataka kujenga nyumba za kupangisha. Je, nafata taratibu gani bank...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Natumai wazima wote. Leo nimeona niwashilikishe aina hii ya biashara yenye faida kubwa pengine ulikuwa haujui. Pichani hiyo ni crasher, wengine huita karasha. Ni mtambo unaotumika kuvunjia mawe...
0 Reactions
49 Replies
15K Views
Back
Top Bottom