Huu ni muendelezo wa uzi huu ↓↓
Mambo unayohitaji kufanikisha ndoto yako kiuchumi - JamiiForums
Humo nilielezea vitu vitatu Dream, Goal na Plan na vipi unaviendea tuliishia kwenye PLAN(Hustle)...
Kila siku natafuta mtu aliyeko dar au Arusha,anayehiyaji kusambaza dagaa za Bukoba zisizo na mchanga. Eidha anunue yeye au atafute masoko Mimi nilete dagaa,kusafirisha ni juu yangu naleta mpaka...
BEI YA VITUNGUU YAPAA, GUNIA LAUZWA 450,000 SINGIDA
Bei ya vitunguu katika Soko la Kimataifa la Misuna lililopo mjini Singida limeendelea kupanda ambapo gunia moja la kilo 100 linauzwa kwa...
Mtiririko unaohuitaji kutimiza Ndoto yako inabidi uundae in Over view kwenye maisha yako.
Maisha siku zote inabidi uwe na Ndoto/Dream...let say (To Have Financial Freedom).
Ndoto yako ili...
Habari wakuu
Miaka hii ya karibuni kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana mapopompo ,wavivu, na wenye kutokujua au kutokutaka kujua kesho yao.bado sijatazamia sababu zao ,yani kuwa namna hii na...
Habari za majukumu wadau,
Hivi TRA wanautaratibu gani wa kumpa mtu leseni ya kufanyia kazi za Clearing and Forwarding.
Maana kuna rafiki yangu alishafanya baadhi ya hatua kama kufungua kampuni...
Wadau mimi mzima najihami na janga hili la COVID 19. Natumaini tuko pamoja pia.Mimi ni mwajiriwa katika sekta binafsi.Jana Ijumaa,mwajiri wangu alitoa barua kwa wafanyakazi wake kuwa kuanzia mwezi...
Habari wakuu,
Nimewahi kuagiza simu kupita aliexpress lakini sikufanikiwa baada ya wahuni kuamua kupita nayo,niliwauliza posta wakadai imeibiwa ilipofika airport,haikua tabu coz nilirudishiwa...
Wanajamii wenzangu, hongereni na poleni kwa mapambano dhidi ya COVID-19.
Niende kwenye maada moja kwa moja. Tupo vijana kama watano ambao ni wajasiriamali wadogowadogo tuna mpango wa kufuatilia...
Jamani habari za humu wana JF.
Napenda kuulizia kwa wale wanaojishughulisha na biashara ya samaki. Hivi samaki aina ya vibua ukiwapeleka mikoani kwa ajili ya mauzo wanauzika?
Wajasiriamali...
Wakuu, ukifuatilia matangazo yao inakuwa ngumu kujua ni simenti gani nzuri kati ya tembo, twiga, rhino, dangote, Simba, lucky etc.
Rangi pia, which is the best kat ya coral paints, sadolin...
*THE BIG PICTURE IN LOCKDOWN*
If you have been working for a company for more than 5yrs and you don't have savings ... *You need to think*
If you have been doing a particular hustle for more than...
Jamani nina Tsh. Milioni 5 na nina mpango wa kununua Mpunga.
Je, kutoka na ugonjwa huu nitapata faida baada ya Miezi 6?
Naomba ushauri Wafanyabiashara wenzangu.
Nimelink debit card ambayo ni visa ATM card ya Equity bank.
Pay pal washadeduct $1.91 kwenye card yangu kama malipo ya activation. Tatizo hizo codes ndio sijui zinatumwa wapi. angali attachement...
HABARI WANA JF
Kama mada ilivyo hapo juu, nifahamisheni nijue mkoa ulipo Bei ya ngunia moja la vitunguu linauzwaje huko mkoani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina wazo la kibiashara la kuanzisha bustani (shamba) kubwa ambalo nitakusanya mimea mbalimbali toka nchini ambayo hutibu maradhi mbalimbali!
Lengo la mradi huu ni kuweza kufanya utafiti wa...
Hello Friends,
Nataka kuwekeza na kutokana mtaji nilionao unafaa kufanya moja kati ya hizo biashara mbili.
Naelewa kila biashara ni usimamizi ila kila biashara ina chamgamoto zake. Kwa ushauri...
Habari za wakati huu ma GTs
Poleni kwa changamoto ya Korona na ni matumaini yangu kwamba kila mmoja wengi tunapambana ili kuweza kuishi.Kama uliweka malengo mengi katika mwaka huu wa 2020 basi ni...
Wanabodi,
Katika kusaidia kudhibiti Maambukizi ya virusi vya Corona, kukitokea any good practice, lets share ili na wengine waige.
Leo nimetembelea makao makuu ya kampuni ya mafuta ya Total...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.