Habari,
Lengo la uzi huu ni kufahamu namna ya biashara ya youtube inavofanyika, maana tumeona kuna wimbi kubwa sana la channel za habari kwenye mtandao wa YouTube.
Binafsi sio mtaalamu ila...
Binafsi siamini kama mwezi huu wa Ramadan ndio sababu ya sukari kuhadimika madukani au kufichwa kama inavyodaiwa.
Zimepita Ramadan nyingi tu hatujaona sukari ikiadimika kwanini iwe mwaka huu...
Habari za wakati huu ndugu wanaJF.
Poleni sana na haya mapambano dhidi ya huu ugongwa, tuendelee kuchua tahadhari kama tulivyo elekezwa na watalamu wa afya.
Naimani wengi wetu ni wazima ni jambo...
Asalaam wadau!
Nimenunua shamba mkoa wa Pwani, nje kidogo ya Mkuranga. Lengo kuu ni kumuweka Bi. Mkubwa wangu kwasababu maisha ya Dar es Salaam yamekuwa busy sana kwa mtu mzima kama yeye.
Sasa...
Ninaendelea kuiboresha pole pole kadri nipatapo muda, lakini hoja itahusu yafuatayo :
1. Mtazamo wa jamii kuhusiana na wafanyabiashara sector binafsi.
2. Mfumo wa uchumi kwa ujumla...
Habari wakuu,
Kama heading inavyosema, please mwenye hiyo app niPM au kama unajua chochote kuhusu hii App please share hapa.
Thanks.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habarini wadau....
Crdb Fahari Huduma ni aina mpya ya uwakala wa kibenk ambapo kwa hivi sasa mteja wa Crdb anaweza kupata huduma za kutoa, kusajiliwa na kuweka pesa kwa wakala bila kufika benki...
Habari zenu wakuu?
Poleni kwa harakati zakila siku zamaisha na mapambano dhidi ya COVID-19
Kama heading inavojieleza, niwazi biashara na uchumi wawatu wengi umeathiriwa na mlipoka huu wa...
Habar zenu wakuu,
Naomba wamiliki, wakuu wa vituo na walimu, wajasiliamari na wadau wengine tuweze kubadilishana mawazo kwa namna gani tutaweza kufanikiwa kuendesha hizi day care na nussery...
Coronavirus: Tanzania’s economy resilient to pandemic impact
By David Whitehouse
Posted on Tuesday, 5 May 2020 18:07
Children near a border crossing point between Kenya and Tanzania in Namanga...
Nikiwa bado niko quarantine nimepata wazo kuwa baada ya corona kupita ninataka nianzishe kipindi changu
YouTube
Lengo la kipindi hicho ni nini
Nimezamiria kutembea karibu kila chocho ya...
Wasalaam!
Kama mada inajieleza , ili nchi yetu ifike mbali zaidi KIUCHUMI na technology, hatuna budi kuwaiga wachina;
1. Namna wanavyopiga kazi kwa bidii. Tusiige imani zao tu.
2. Namna...
Bei ya nyanya iko juu. Mtaani kwetu wameacha kabisa kuuza.
Wakina mama wapika mihogo nimeona sehemu wanatumia matango kama nyanya Ktk kachumbari.
Leo nimeshangaa pia eti bamia moja inauzwa...
Namemsikiliza hapa Kusaga anasema ameamua kusaidia vifaa vya kusaidia wauguzi wa Sekta ya Afya kujikinga na janga hili la Corona.
Kwa jicho la kibiashara mie naona wamechelewa ugonjwa...
Tuache propaganda tujikinge na Corona
Moja kwa moja kwenye mada!!!
Mimi ni kijana wa miaka 20 bado Niko darasani ila natumai baada ya kumaliza kidato cha sita nitafanya biashara kwanza kabla ya...
Wakulungwa habari zenu
Kama mada inavyojieleza
Nahitaji mpunga kutoka katika maeneo yanayozunguka kanda ya ziwa hasa mikoa ya Geita,Mwanza,Simiyu na Shinyanga
Bei ikoje kwa gunia 1 na...
Habri zenu jamani.
Naomba mnisaidie kwenye hili swala la kuagiza bidhaa online upande wa aliexpress katika shipping adress kuna vitu kama postal codes/zip code ,etc, halafu utafanyaje shopping...
Inawezekana umegundua kuwa watu wengi sana miaka ya leo wanashinda mtandaoni kuliko mtaani, lakini hujui namna ya kuiweka biashara yako hukoo mtandaoni katika namna ambayo itakuwa na faida kwa...
Asalaam aleykum ndugu zangu,
naomba kupata maelezo jinsi ya kupata machine ya betting naihitaji sana maana huku mtaani kwetu ipo moja tu, nataka niwapunguzie folen vijana maana hii pia ni ajira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.