Nina laki 8 nataka kufungua mradi wa salon. Vitu nilivyonavyo sasa ni Radio na TV ndogo chogo ambayo baada kununua flat TV niliihifadhi tu,na saa nmepenga kuitumia kwenye Salon.
Naomba mtu mwenye...
Pokeeni salamu zangu ndugu watanzania wenzangu,
Kama nilivyo ainisha hapo juu, nahitaji kufungua biashara ya genge kwa hapa Dar maeneo ya Kimara mwisho.
Nataraji kuanza na mtaji wa 1,000,000 TZS...
Hali inaonesha kwamba, nchi nyingi duniani zimeathirika na homa ya Virusi vya Korona na athari hizi huenda zikabaki katika maisha ya watu kwa muda mrefu.
Mbali na njia mbalimbali za kupambana na...
Habari wakuu,
Hivi hamnaga machine ya kusongea ugali? Maana kwenye wali kuna rice coocker, ugali je?
Kipindi hiki cha karantini ni muhimu tukawa na vifaa muhimu kama hivi.
Shukrani.
Ndg nipo hapa kuomba ufafanuzi juu ya hawa ALIBABA..
1.hasa ni watu gani wanafanya nao biasha(kwa kuzingatia mtaji?)..
2.je kwa namna wanavyouza reja reja bidhaa zao zitanilipa nikichukua...
Wakuu,
Poleni na majukumu ya kila siku.
Katika ulimwengu wa sasa ambapo watu wenye taaluma mbalimbali wamejikuta mitaani bila kuwa na shughuli za kuwaingizia kipato, ningependa kupata maoni yenu...
Habari zenu Wakuu..
Mimi ni kijana ambaye ni muathirika wa likizo isiyojulikana..
Nimefanikiwa kupata laki moja nimeamua nianze kufanya biashara yoyote..
Naombeni Mawazo ya Biashara wakuu...
Mungu awe nanyi wadau wote.
Kwanza naomba kujua kama kununua bidhaa katika mtandao wa Amazon kama ni salama au la. Pili naomba msaada kujua kama kuna makampuni ambayo yanahusika na uuzaji wa gold...
Ukiona kuna muda unapata pesa na kila ukipata unapata mawazo ya kufanya jambo la msingi hata kama ni 1,000 simamia humo
Maana hela huwa haikai na mawazo huwa yanabadilika muda wowote, kuna muda...
Naombeni ushauri wenu,
Mimi mfanyakazi nauza vitambaa, leo nimetia short 12,000 yani sawa na kitambaa meta 1 ila boss kanimaind.
Nifanye nini ili ajirudu niweze kuendelea kama mwanzo?
Wadau, natamani sana kupata maarifa ya biashara ya butcher. Naombeni sana wenye maarifa na ujuzi nayo, kuanzia kwenye upatikanaji wa vibali na maarifa ya biashara kiujumla.
Je, ni mtaji wa kiasi...
Habari za leo wakuu,kwa wenyeji wa biashara ya nguo kutoka katika mabelo naomba maelezo kuhusu faida na hasara zake na wapi yanapatikana mabelo ya nguo nzuri kwa Dodoma na bei zake kwa ujumla...
Biashara zina mbinu nyingi sana za uendeshwaji kila mtu anatumia mbinu yake ili kupata wateja wake ila huwa nawambiaga watu kila siku ktk biashara hamna kitu kirahisi kama kupata mteja/wateja,yani...
Kutokana na kushuka kwa biashara yangu imeniwea ugum hadi katika uendeshaji wake kiasi cha kuanza kukopa huku na kule na kuongeza mzigo lakini jitihada zimegonga mwamba.
Msaada mwenye kujua...
Has anyone tried to use the VISA DEBIT CARD ya CRDB kwa ONLINE PURCHASING ??
Wana advertise kamba tuna weza ku purchase online...lakini nime jaribu kutumia card hii kwenye Websites nyingi...
Moja kwa moja naomba niingie kwenye maada.
Mimi nina kampuni na ina usajili tayari kwa kila hatua zote pamoja TN na lesen kutoka halimashauri.
Kampuni hii inajihusisha na vitu vingi sana in...
Kuna ukweli wowote baada ya kujiunga unapata hela kutoka ouk.money au kuna janja janja na mwisho wa siku unadesishwa?
Kwa maana watoa maelezo wenyewe hata maelezo yao hayajitoshekezi.
Habari za wakati huu waungwana.
Kuna wadau wanajishughulisha na uuzaji wa pikipiki used pale Mbagala Zakhem mkabala na bank ya Amana na wanadai wanatoa documents zote ukinunua pikipiki kwao...
Ndugu zangu, naombeni maelekezo ya siku za minada kwa Dodoma na sehemu inakopatikana hasa Vijijini na jinsi ya kufika ukitokea Sabasaba Stand. Namaanisha Minada ya vitu kama nguo n.k.
Itafaa kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.