Benki Kuu ya Tanzania tafadhalini ingililieni kati madeni ya watu wanayodaiwa na benki kwa muda hata wa miezi 3 tu.
Kuna mameneja wa baadhi ya bank sio waminifu hawataki kuwasikiliza wateja wao...
Habari wadau wote humu ndani. Naombeni msaada wa kimawazo. Ni mbinu zipi nitumie kufikia malengo ya kufungua biashara yangu mwenyewe (kujiajiri)
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wachache wanalaumu hatua zilizochukuliwa Tanzania kwenye kupambana na Corona, wengine wanafikiri serikali inapaswa kufungia wananchi ndani (lockdown).
Wananchi wanafikiri Uchumi wa Tanzania...
Leo tutaenda kujadili concept moja muhimu sana kuifahamu kama wewe ni mfanyabiashara au mjasiriamali (au unatamani kuwa).
Je, ushawahi kujiuliza bidhaa yako au huduma yako inagusa eneo gani la...
Habarini wana jf, ningependa kutoa ushauri kwa mitandao ya simu waweze kuweka options ya mtu ili aweze kublock namba yake pale anapopata na matatzo hata kama hana line yake hapo alipo hii...
Naweka swala langu hapa nikiamini sijakosea.
Shida yangu kubwa ni namna yakuifanya 2.0Mil ianzishe na kusustain biashara.
Shortly; mimi ni kijana nipo dodoma, nilikua nafanya kazi sehemu flani...
Habari wakuu, Poleni na mapambano dhidi ya Corona, mapambano ya kutafuta riziki na poleni kwa mfungo kwa wale waliofunga.
Kichwa cha uzi kinajieleza, katika kipindi hiki cha mfungo nataka nifanye...
Je kunauwezekano mtu binafsi kufungua kampuni inayofanya kazi Kama za Tbs?, Ili kazi zinazofanywa na Tbs ziweze kufanywa na kampuni binafsi?. Utaratibu ukoje?.Naombeni mnisaidie mi niko huku...
Habari wakuu.
Nimeanzisha biashara ya kuuza sabuni na sukari kwa kusambaza majumbani kwa zaidi ya nusu mwaka.Sasa kwa naona mahitaji yameongezeka mno, hivyo natafuta supplier (Dealer) mwenye...
Biashara Ya forex Trading (Foreign exchange market) inakuja kwa kasi sana nchini kwa sasa Wa Tanzania wengi wamekumbana na changamoto kubwa ya kupata waalimu wenye sifa stahiki kuwafundisha forex...
Toka kuingia kwa virusi vya coronavirus nchini njia mbalimbali zimechukuliwa na zinaendelea kuchukuliwa kuzuia kasi ya maambukizi.Taasisi za elimu zimefungwa, hoteli mbalimbali, mikusanyiko...
Habari wadau, kama nilivyoeleza hapo juu. Biashara nyingi zimekuwa ngumu sana hasa kipindi hiki cha Corona.
Tushauriane jamani biashara gani zitafaa kipindi hiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni ushauri kutoka kwa rafiki yangu.
Hello JamiiForums,
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26. Nimeajiriwa na vilevile nina biashara yangu binafsi, lakini nina ndoto za kurudi shule ambayo...
Habari za jioni.
Naomba kuuliza kama kuna mtu anaejua mtu au mahali wanapofundisha kuhusu mambo ya tender bidding and preparation na gharama zao na contact zao please
Sent using Jamii Forums...
Jana tuliona kwamba mzunguko wa fedha ndio damu ya biashara yako. Kama mzunguko huu usipokuwa vizuri basi biashara yako itadhurika. Na kama mzunguko huu utasimama basi biashara nayo itakufa...
Habari zenu wanazengo, naombeni kupata ufafanuzi kidogo kuhusu iPhone zinazouzwa madukani makumbusho dar...nilikuwa nataka kununua ila nikafanya utafiti kidogo wengi wakaniambia nenda makumbusho...
Habari wadau.
Naomba mtu mwenye ujuzi wa kutengeneza Tambi za Kula (Spageti) bila mashine maana Mwezi Mtukufu unakaribia.
Kuna kipindi niliona pale Buguruni wanatengezeza.
Habari wadau...
Nimekutana na habari ya Nancy Lema wa Mwanza nikaona ku-share nanyi wadau mtoe maoni.. je binti yupo sahihi au wrong?
Kafanya Shahada yake St Marys University of Minnesota na...
Kutokana na Covid19 makampuni mengi yametangazwa bei zake kushuka kwa kasi, hasa nchi zilizoendelea. Kushuka kwa hisa mambo kadhaa kwa wanunuzi wa hisa, lakini pia huashiria kitu kwa kampuni...
Wakuu nilikuwa najaribu kupitia mitandao ya mabenki mbalimbali ya hapa nyumbani kwetu TZ na nimekutana na hii kitu inaitwa HABA na HABA akaunti ya watu wa Exim Bank. Nimeona inaweza kuwa ya msaada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.