Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Salamu Tukumbuke kunawa mikono kwa maji tiririka na sabuni Moja kwa moja kwenye mada Baada ya kujichanga changa nimefanikiwa kupata ki 1M nataka kuwekeza kwenye nafaka (corona ikipoa) kama mchele...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari, Wanajamvi Ninahitaji kujua kama inawezeka kufungua Acc. ya PayPal kwa Tanzania (Details zote utajaza za Tanzania) na iwe ni kwaajili ya kuhifadhi pesa ila sio ku-withdraw kuja Tz (banned)...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari wanajamvi, Je, kwa hali inayoendelea mnahisi kwa wakulima wa ndani ambao wanalima mazao ya bustani wameathirika au wanaathirika vipi kwa kipindi hiki na je, ikitokea lockdown itaathiri...
1 Reactions
1 Replies
989 Views
Hivi majuzi Kenya walionekana wakisafirisha mbogamboga na matunda kuelekea kwenye masoko ya Ulaya kwa kubadili matumizi ya ndege za aboria kuweza kubeba mizigo kufuatia upungufu wa abiria. Hatua...
1 Reactions
40 Replies
4K Views
Habari ndugu wana JF, Kwa mara kadhaa nimekuwa nikipata hamasa na kutamani kuanzisha profitable YouTube channel, ila imekuwa ikiniwia ngumu kutokana na kutokuwa mtaalamu wa haya mambo. Mwenye...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Habari, Naomba nipewe 1,2,3 kuhusu biashara ya nguo za dukani (kijijini kwetu tunaita special). Nahitaji kuchukulia Dar - Kyela border. Naomba kujua profit, cost, TRA. Binafsi nimekomaa mpaka...
0 Reactions
12 Replies
20K Views
Habari zenu wakuu, mimi ni kijana ambaye kwa sasa nipo Diploma, natarajia nikijiunga na Degree mwaka huu Mungu akijaalia ile pesa ya boom niiwekeze. Nataka nifanye kitu kimoja kama tittle...
10 Reactions
50 Replies
14K Views
Maduka ya wahindi, waha, wakinga, wachagga, waarabu, wapemba etc Kuna paka. Je wanafanya Nini dukani?
5 Reactions
36 Replies
5K Views
Wanajukwaa Poleni na mihangaiko na taharuki inayotukumba kama Taifa. Kuna mijadala mingi na mirefu humu inayohusu namna serikali inavyochukua hatua kukabiliana na ugonjwa wa korona . Wengi...
1 Reactions
1 Replies
842 Views
Habari wana jamii forum ..!! Tagu kuanza kwa janga hili la corona "COVD-19" mambo mengi pia yanaendelea kutokea na kushangaza ulimwengu. Moja ya mambo hayo ni kuendelea kuporomoka kwa bei ya...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Bei ya mafuta ghafi ya petroleum katika soko la dunia yashuka hadi TZS 25,300 (US $11) kwa pipa, ikiwa ni kiwango cha chini zaidi kuwahi kutokea katika kipindi cha miaka 18. Kupungua kwa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Pale teknolojia inapokuja na uvumbuzi mpya, wanasayansi na waendelezaji wa teknolojia mpya huingia kazini wakitafuta namna nzuri ya kuiboresha zaidi, ili kuyafanya maisha ya watu yalete matumaini...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu za Asubuh kumekucha! Asubuh ya Corona...Stay home Stay safe wengi watanenepa kwa utapiamlo[emoji23][emoji23] Bila kupoteza muda ningependa kupata angalau ufafanuzi wa baadhi ya biashara...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
• Mahoteli • Usafiri wa Anga • Kumbi za mikutano • Kumbu za Sherehe • Utalii •Stationary • Shule za Private • Biashara ya Catering • Daladala • Betting, Vibanda umiza • Maduka yaliyo...
9 Reactions
49 Replies
7K Views
Wadau naomba msaada wa template ya receipt au template ya risiti kwa anayeweza kunisaidia. Mungu awabariki, kwa msaada WhatsApp no 0655986834
1 Reactions
5 Replies
737 Views
Habari za Jioni wana JF naomba niweze kupata platform gani Tanzania kwa sasa iko safe and Haraka kwa Kufanya manunuzi kwa Njia ya Mtandao?. Maana nasikia kwa Sasa KIKUU Wanasumbua sana. ASANTE...
0 Reactions
2 Replies
855 Views
Hello kama inavyoeleza hapo juu changamkia fursa hii ya kutoa Mchanganuo wa kukuza na uendeshaji wa biashara ya Gas za majumbani. Hapa tanzania zawadi nono itatolewa kwa mshindi
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Mimi nnapiga mishe ya duka la vitu mahtaji mbalimbali ya nyumban na vinywaji na vinginevyo Nilipanga kutopumzika ili kukuuza mtaji wangu...na biashara ikue zaidi(hapa n kipindi biashara ipo chini...
5 Reactions
28 Replies
4K Views
Habarini, natumai mu wazima, nimekuja kwenu nina jambo langu nahitaji ushirikiano wenu. Kwa kuanza mie ni designer nadili na Mechanical & Electronics. upande wa mechanical nadesign anything...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari Kama MTU yuko kibamba katka eneo la viwanja vilivyopimwa na kampuni inayouza viwanja vilivyoshapimwa na MTU unataka aanze ujenzi Je,ni muda gani na sh ngapi inatumika hadi upate kibali...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Back
Top Bottom