Wakuu
Je ili niweze kufungua kijiduka home nahitaji Nini kupata idhini ya TRA au naweza kufungua tu kiduka bila kwenda TRA?
Naomba mnisaidie Kama Kuna utaratibu natakiwa kuufuata
Sent using...
Mbali na kujadili mambo mbalimbali yanayohusiana na corona, nadhani ni wakati muafaka na sisi watumiaji wa mtandao huu wa JamiiForums tukaeleze ni jinsi gani janga hili limetuathiri kiuchumi na...
WEKEZA TZS 40,000 UPATE TSHS 10,000,000 KILA MWEZI.
Ndugu mpendwa,
Naomba kuchukua muda wako wa dakika 5 tu kukushirikisha fursa ya biashara ya kipekee sana itakayokuwezesha kutengeneza shs...
Kwa kuwa vitambulisho vya mjasiriamalia mdogo vilitolewa na Mh.Rais,na sasa vimekwisha muda wake,je tunasubiri tena Mh.Rais atoe vingine?
Mamlaka zinazohusika tunaomba majibu tunasumbuliwa na TRA.
Salaam wakuu,
Tafadhali naomba niulize kama miongoni humu kuna watu waliowahi kutumia huduma ya Haloyako kutoka Halotel.
Huduma hii inahusisha kutunza pesa na kupokea riba kidogo, kutoka...
Unapolenga kupata mafanikio makubwa katika biashara yako unatakiwa uwe na mshauri wako au mtu wa kushauriana naye. mtu mwingine anaweza kuona umuhimu wa kuwa na mshauri na kuwa tumia watu alionao...
Ni juavyo mimi wafanyakazi wa Mashirika Binafsi ya Utalii yameandhirika sana na janga la Corona. Mashirika mengi yameshindwa kulipa mishahara, hivyo mengine yanaishia kulipa sehemu ya mshahara...
Kuna ulazima wa kuwa na leseni ya biashara ili hali una mtaji wa chini ya milioni 4?
Je, naweza kupata line ya uwakala nikiwa na Tin Number, Kitambulisho cha Uraia (Nida), Kitambulisho cha...
Wakuu Habari Zenu,
Naomba kufahamishwa niko nje ya nchi na ninataka kufungua bank account kwenye Benki ya Standard ambapo benki hii iko pia Tanzania.
Ninachotaka kujua, Je kama nikirudi Tanzania...
Kati ya Youtube na Spotify, Apple Music, Deez au Audiomark ni wapi wasanii wanalipwa zaidi?
Mfano Ngoma flani ya Wale ft Dua Lipa,Wizkid huko youtube ina views million 16.
Lakini Kwenye...
Wasalaam.....
Jamani matunda yapo ya aina mbalimbali kutika maeneo tofauti tofauti ndani na nje ya nchi yetu Tanzania.
Matunda kwangu ninaiona kama bidhaa yenye fursa ya kujikwamua kiuchumi kwangu...
WanaJF,
Baada ya kufanikiwa katika maandalizi ya kilimo sasa nimefikia kubuni biashara sambamba na kilimo. Katika harakati za kutafuta biashara ya kufanya nimefikia uamuzi wa kuanzisha biashara...
Hello wakuu,
Nauza simu tecno camon 11 nina shida imetokea naitaji kuisolve ....Niko mto wa mbu,Arusha.
Mawasiliano yangu 0688456911
Sent using Jamii Forums mobile app
Salama wa kuu.
Nina ndoto iliyodumu kwa muda wa miaka 6 sasa. Ndoto yenyewe ni kuanzisha centre ya ufundishaji wa computer short course ya three months na kisha kutoa certificate kwa wahitimu...
Habari, Mimi ni mjasiliamali mdogo wa huduma ya Tigo pesa, sasa nimepata wazo la kuongeza biashara ya kukodisha CD na kuingiza nyimbo sasa nilikuwa na shida ya desktop mpya na bei yake na chimbo...
Habari zenu wakuu, kama title ilivyo hapo juu nimejichanga ili nifungue duka/goli la nguo kariakoo. Mtaji wangu ni 15m (huenda kwa kkoo ni ndogo lakini nimeona niende hukohuko angalau kwa siku...
Kwa hapa kwetu Tanzania hii biashara wengi hawaitilii maanani sana na hata wale wanaoifanya wengi wao wanaifanya kawaida sana.
Ila hii ni biashara ambayo ukiwa serious na ukaamua kuifanya kwa...
Habarini wadau?
Nahitaji kuwa wakala wa kusajili line za TTCL na Zantel je changamoto zake ni zipi?
Ni vitu gani vya kuzingatia?
Scana ya Zantel ambayo nasikia inaingiliana na Voda naipata kwa...
Sasa hivi sio watoto tu wanaolalamika kuwa hakuna ajira bali mpaka wazazi wa watoto hao wanalalamika ajira hakuna jambo ambalo linafanya familia nzima inalaumu tu mwanzo mwisho na hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.