Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari wana jukwaa, Mimi ni mjasiriamali na mojawapo ya shughuli ninayofanya ni Graphic designing. Nahitaji mtu anaeprint vitu mbalimbali hususani Mabango, T-shirts/kofia (Kuprint na kudarizi)...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Habarini wapendwa katika Mungu, lengo la kuja kwenye jukwaa hili ni kutaka wazo la biashara la kuongezea katika kibanda changu nilichoanza. Mimi nipo Geita Mjini, mwezi mmoja uliopita nimeanza...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Pamoja na kwamba zao la korosho hutegemewa Sana na Wana kusini, lakini kumekuwa na desturi ya wakulima Kukodisha mikorosho yao kwa mwaka mmoja, miwili hadi mitatu. Binafsi nimechukua shamba la...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wasalamu wana JF... Natumai ni wazima na mnaendelea kuchukua tahadhari juu ya virusi hivi vya corona vinavyoitesa dunia kwa sasa. Je ushawahi kaa ukawaza anguko kubwa la uchumi linalokuja baada...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Wakuu habari zenu Naombeni mnielekeze iliko Shoppers plaza kariakoo /posta...kuna vitu nimeskia vinapatikana pale so nataka nikajumue kidogo Shukrani Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nataka kuanzisha duka la vyombo, nipo DSM, isue naitaji kujua wapi naweza kupata bidhaa hizo na mtaji wa kuanzia unafaa shilingi ngapi?
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Wote kote duniani hivi sasa wanapambana na tatizo la ugonjwa wa Coronavirus. Serikali zote barani Afrika kwa namna mbalimbali zinapambana kuhakikisha maambukizi hayasambai. Tanzania nako hali ni...
1 Reactions
3 Replies
989 Views
Wanajamii nimekuwa na wakati mgumu wa kuamua kufanya biashara gani itakayonifaa nitakapoamua kuacha kuangaika kwenye kazi za watu, Nahisi pesa nilionayo($23,000=milioni 50 hivi za shilingi)...
2 Reactions
217 Replies
24K Views
wakuu kwa hapa Tanzania ni wapiii naweza kupata hizi bidhaa kwa maana jumping castle michezo ya watoto wanaotumia kuruka ruka kipindi cha sikukuu au sherehe mbali mbali.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu amani iwe nanyi. Huyo mdau nlie mtaja hapo juu natumai wengi wenu mnamjua. Ni msaada mkubwa kweli hasa kwa sisi wakununua ama kufanya malipo abroad. Ni mtu mwaminifu kupitiliza na aliye...
9 Reactions
31 Replies
6K Views
Biashara, mahusiano, mipango mingi inafeli sababu watu hawajiandai na changamoto za anachokitafuta ama kukifanya matokeo yake anawaza faida tu, zinapokuja changamoto zake anajikuta anafeli...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
KILIMO BORA CHA UFUTA : Ufuta (sesamum indicum)ni zao linalolimwa kwa wingi katika mikoa ya Lindi, Mtwara, Ruvuma, Pwani, Morogoro, Dodoma, Tanga na ukanda wa chini katika mikoa ya Rukwa na Mbeya...
2 Reactions
4 Replies
6K Views
Hii ni kwa Wakulungwa na wanaharakati na wabishi mliopo Bongo DSM. Naomba kujuzwa hali ya biashara ikoje kwa sasa kwa scales zote yani biashara kubwa na ndogo ndogo za kitaa?
9 Reactions
108 Replies
10K Views
Naomba msaada wa kujulishwa, bei ya kifaa cha umeme "Meter Separation" kwa sasa, na je, kina terms zozote? na kinapatikana TANESCO au maduka ya umeme?
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Habari za Kwako Mwana Jamii Mwenzangu! Natumaini upo poa na unaendelea kujikinga na Corona iliyokuja kwa kasi 2020, Natumaini Mungu atatuvusha! Wakati China wakiwa wamefunga milango yao na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hello Team JF.Naombeni msaada wa kuagiza vitu vya umeme wa nyumbani kutoka China. Kwa bei ya jumla na kuja kuuza hapa .wapi nitapata suppliers, usafirishaji na kodi inakuaje? Bulb ,watts 3 Na...
1 Reactions
5 Replies
5K Views
Wakuu mimi nawaza kuanzisha biashara ya nguo za wanaume pamoja na viatu baada ya hili janga la Corona kuisha sasa naomba kwa wale waliopo dar wanipe connection ni maeneo gani hapo dar naweza pata...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimepata wateja wa Sanitizer "kitakasa mikono" wanaoishi kwenye Apartment zilizokaribu na kijiwe changu, hivyo naulizia wapi naweza pata yenye ujazo wa lita 5 halafu niweke kwenye ujazo wa 500 ml...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakati huu ambao dunia inapitia wakati mgumu kutokana nchi nyingi kukumbwa na janga la ugonjwa wa corona, ambao umeathiri kwa kiasi kikubwa shuguli nyingi za binadamu Kama vile shule na vyuo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Helo wakuu, Mwenye ufahamu na hawa M-PAWA program anipe ushuhuda kidogo nataka niwekee. Nina laki 1 lengo nikope
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Back
Top Bottom