Habari ya wakati huu?
Naomba kwenda kwenye mada moja kwa moja.
Kwanini biashara nyingi za watanzania zinayumba hadi kufa pindi baba au kiongozi wa familia anapofariki?
Mambo ni tofauti kwa...
Naelewa kuna kodi nyingi zinazostahili kulipwa TRA, ila kuna taratibu nyingi pia katika kuzilipa hizi kodi pamoja na kuandaa taarifa nyingi kwa nyakati tofauti katika mwaka.
Naomba kwa wale...
AU report estimates 20 million job loses in Africa due to coronavirus
A recent African Union (AU) study reveals that about 20 million jobs are at risk on the continent as a result of the impact...
i need to be self employed with sufficiency resources that will be flowing to me in abundance and avalanches. Naombeni mwenye kitabu cha Robert "Rich kid smart kid" PDF anisaidie wapendwa wa JMF.
Kwa Hili Janga tulio nalo utakubaliana na mimi kwamba bado food Industries inabakia kuwa Industries muhimu na ya kipekee kabisa na pia inaaminika ndo itakuwa ya mwisho kabla ya Human civilisation...
Habari za leo wakuu,
Naomben mawazo yenu mama yangu amepata mafao ya kustaafu, ameniomba nmshauri afanyaje. Yupo maeneo ya Iringa, nimesema sehemu ili hata unapotoa ushauri uangalie na mazingira...
Wadau naomba kufahamishwa, nina malengo ya kutoka kwenye sole proprietorship na kufungua kampuni, ila nina biashara mbili tofauti na ninataka nizitofautishe majina.
Naona kusajiri kampuni mbili...
Ripoti mpya ya mwaka kuhusu Takwimu na Makadirio ya Biashara iliyotolewa jana Jumatano na Shirika la Biashara Duniani WTO, inasema biashara duniani inakadiriwa kupungua kati ya asilimia 13 hadi...
Habari zenu wana jamvi.
Ninakuja mbele yenu kuomba ufafanuzi kwa wajuzi juu ya namna ya kuanzisha game station.
Je, ninatakiwa niwe na mtaji kiasi gani?
Ni sehemu gani ninaweza pata mashine...
Jaman wana JF nikatika kipambana na maisha yetu haya nataman kuanza biashara yamitumba kutoka Dar kwenda mikoa ya kanda ya ziwa.
Je, Kwa makadrio ya mtaji wa kiasi gani naweza anza nao.?
Je...
Hii ni kutokana na kufungwa vyuo nipo tu hapa Bagamoyo nikisubiria vyuo vifunguliwe ingawaje sina uhakika kama itakuwa mapema.
Nina kama 500,000/= kwa wazoefu wa biashara na wenyeji wa maeneo...
UTAMBULISHO KUHUSU UWEKEZAJI
Uwekezaji ni operesheni ambayo baada ya uchambuzi wa kina inaahidi kulinda mtaji pamoja kuleta marejesho (ya kifedha) kutoka kwenye mtaji huo.
Maneno ya kuzingatia...
Inasemekana hadi sasa sekta ya Utalii ndio imepata pigo kubwa sana kufuatia kuzuka kwa ugonjwa wa Corona.
Wataalamu wanasema nchi zinazotegemea sana utalii katika uchumi wake zitayumba sana hata...
Huko Duniani hata hapa Tz tumekua tukishuhudia mastaa wengi wakiwa na REALITY TV SHOW, mfano mkubwa kwa mbele ni ile show ya kina KIM KADASHIAN na familia yake.
Huku bongo nadhani ile MAISHA PLUS...
Takwimu zinasema watanzania idadi yetu ni milioni 50
Bila shaka serikali inaweza ikasaidia kukazua vyuma kwa kutoa milioni 50
Ambapo hapo sisi kama taifa tuna uhakika wa kila mwananchi...
Habari zenu wadau,naamini wengi wetu tupo poa sana licha ya tishio/janga lilipo mbele yetu. Nina imani kubwa kwamba pamoja na jitihada zetu kujikinga Mwenyezi atatuepusha na hili.
Nisiwachoshe...
Habari wakuu
Yeyote ambae anauza Pikipiki aina ya Boxer au TVS iliyotumika sio zaid ya mwaka mmoja. Engine CC150 itapendeza ikikosekanwa ata cc125.
Isiwe imewahi kufanyiwa matengenezo kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.