Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wadau naishi Mjini Tanga, nina Mtaji wa Milioni 10, Biashara gani inafaa. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Wakala wa VH.SHAH wauza sukari kwa bei "chee" kanda ya ziwa WAKALA na msambazaji mkubwa wa sukari katika mikoa ya kanda ya ziwa VH. Shah, ameendelea kuuza sukari katika mikoa hiyo kwa bei elekezi...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
A friend of mine aliguswa na makala yangu ya biashara ya nafaka kwa wenye mtaji mdogo. Alipoguswa akaamua kuingia kwa akiba yake ya TZS 10M aliyokuwa nayo benki. Akanunua gunia 300 kwa wastani wa...
12 Reactions
53 Replies
11K Views
Nasikia Azam sasa hivi hali mbaya. Economy ni 20,000 badala ya 25,000. Kuna chombo kinaitwa Zanzibar One hii ni noma inakimbia hatari, one hour Zanzibar to Dar es Salaam halafu chombo kimetulia...
18 Reactions
205 Replies
28K Views
Basi Ndugu zangu naandika hii ili kuwapa umakini Na haya mambo ya Forex mwanzo nilifanya Forex kupitia Templer FX nikapoteza Pesa nyingi Na BoT ilivyoingilia ikabidi niachane nayo, then kwenye...
3 Reactions
118 Replies
13K Views
Kama kichwa kinavyojieleza, nimepata dharura leo nahitaji mkopo wa faster kiasi cha laki nne, ni taasisi ipi wanaweza kutoa mkopo kwa riba nzuri, dhamana ipo kadri ya mahitaji ya taasisi...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Salaam wadau! Naandika kwa kifupi ili nieleweke na nisiwachoshe. Naomba wenye uzoefu na Tabora wanisaidie. Mimi ni mtumishi ambaye nimeamishiwa huu mkoa kutoka Arusha, huko nilikuwa nafanya...
2 Reactions
8 Replies
5K Views
Wasalaam, Nimekutana na matangazo ya ya vifaa vya kujikinga dhidi ya maambukizi ya covid19 nimechoka, Barakoa 1@2000? Sanitaiza 250ml@10,000? Sanitaiza 100ml@5,000? Sisi wenye vipato vidogo...
0 Reactions
0 Replies
633 Views
salaam wana jf. Naomba usaidizi wa hii biashara ya kubeti nataka kuifanya ila cjui pa kuanzia naomba Mwenye kujua anisaidia . Natanguliza shukrani kwa wana jf wote
0 Reactions
32 Replies
24K Views
Habari JF. Kuna watanzania wengi wana pesa za kutosha na hawajui wawekeze wapi, Jibu ni hili Mtaani kuna graduates wengi wasio na mitaji na wana mawazo mazuri ya kibiashara. Fursa ni kwako wewe...
2 Reactions
77 Replies
8K Views
Nauliza hivyo sababu niliona mzee wangu amepoteza pesa nyingi baada ya Bank ya Wakulima kufungwa kisa kufilisika na waliishia kupewa fidia ya million 1.5. Je, nini huwa kinatokea kwa Fixed...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
KWA MJIBU WA CHAT HAPO CHINI JE ALIYE BIDI AKAWINI ATAPATA INTEREST KIASI GANI KWA MWAKA? Financial Markets Treasury Bonds Auction Summary Auction Summary 13.5% 15 Years Treasury Bond Number...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wadau wa JF naombeni ushauri nataka kuanzisha program ya kukopesha ela kwa wajasiriamali tu ili kuinuana kiuchumi. Kama unajua njia sahihi ya kuanzisha hiyo program, hasara na faida zake naomba...
2 Reactions
20 Replies
11K Views
Mwaka 1879 Malkia aliyekuwa anaiongoza Ufaransa Bi Marie Antoniette aliambiwa wananchi wake hawana Mikate akajibu kwa kifaransa “Qu’ils mangent de la brioche” kwa maana ya kiingereza “Let them eat...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Natamani kufanya biashara ya kwenda China na kuleta vifaa vya umeme na kuuza. Naomba ushauri inahitajika mtaji wa kiasi gani kwa kuanzia.
1 Reactions
21 Replies
9K Views
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu Katika siku za karibuni kumekuwa na habari nyingi kuhusu hatua mbalimbali zinazochukuliwa kupambana na kuenea kwa homa ya kirusi cha corona. Wiki hii serikali ya...
0 Reactions
0 Replies
812 Views
Wakuu nipo Dar na kwa kweli nimeshuhudia mengi ambayo kiukweli ni fursa kubwa ya kupata pesa. Kwa mfano nimeshuhudia Dar viazi mviringo vitatu tu tena vya ukubwa wa kawaida kabisa vikiuzwa kwa...
15 Reactions
137 Replies
19K Views
Kuna kitu kinaitwa CPI - Consumer Price Index; kuna udambwi dambwi mwingi sana wa kichumi lkn kwa lugha rahisi maana yake ni -> bidhaa na huduma zinazotumika zaidi kwa mwezi katika kundi fulani la...
9 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari za majukumu wadau. Niwaulize, Ni ipi njia rahisi ya kutuma fedha kutoka South Africa kuja Tanzania? Imenilazimu kuuliza hivi kwa sababu kulingana na shughuli nizifanyazo inanilazimu kupokea...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom