Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wadau nahitaji msaada wenu wapi nitapata mifuko ya sandarusi kwa bei ya jumla Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Habari wanajukwaa, Samahani nauliza ni mkoa upi na maeneo yapi naweza kufungua saloon classic ya wanawake? Saloon inayotoa huduma zote kuanzia kusuka kawaida, make up, dread n.k? Natamani/ nina...
2 Reactions
26 Replies
5K Views
Wana bodi habari za muda huu! Nashukuru Mungu nimejichanga na kufanikiwa kupata kafrem ktk eneo la stend kuu. Lengo kuu ni kufungua stationary! Nimekuja kwenu ili mnisaidie kupendekeza jina zuri...
3 Reactions
33 Replies
3K Views
KUTOTOA & KUTODAI RISITI NI KOSA KISHERIA Na Mwl. Sylvester, Je, unajua kutotoa au kutodai risiti ni kosa kisheria? Kutodai risiti au kushindwa kuripoti kuwa umenyimwa risiti, au ankara ya...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu, Wapi naweza kupata (kwenye mtandao) orodha ya aina (categories) za leseni za biashara Tanzania? Ahsante.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari, Swali langu ni uhitaji wa kujua kama unataka kutengeneza online service yako mwenyewe hapa Tanzania kama ya Paypal, je unahitaji kupata leseni ya biashara ya aina gani na gharama zake...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
habari za muda wadau wa jukwaa hili,naomba kufahamishwa benki au taasisi yenye mkopo nafuu kuliko nyingine ili,niweze kwenda kujipatia chochote katika kulisongesha mbele gurudumu la maendeleo ya...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Husika na heading hapo juu, kuna huu utaratibu mpya ukishapata Tax Clearance toka TRA, inatakiwa ufanye application online ili kupata leseni. Je, kuna mtu kafanikiwa katika hili, maana nipo mbali...
2 Reactions
21 Replies
10K Views
Habari za Kwako Mwana Jamii Mwenzangu! Natumaini upo poa na unaendelea kujikinga na Corona iliyokuja kwa kasi 2020, Natumaini Mungu atatuvusha! Wakati China wakiwa wamefunga milango yao na...
2 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari ya leo wana JF, Tukiwa tunaendelea na mapambano dhidi ya korona. Naomba msaada jinsi ya kusajili jina la biashara kwenye online system ya brella, Tatizo, hainipeleki mbele kwenye kujaza...
1 Reactions
2 Replies
3K Views
Ujenzi wa Reli unaendelea kwa kasi nzuri na pia Serikali imenunua ndege kwa ajili ya ATCL bila kuwa na wafanyakazi wengi na wenye kipato. Hii miundombinu haitatumika kwa ufanisi na kiwango chake...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Mimi in mjasiliamali ambaye pia ninatoa huduma miamala ya kifedha kupitia simu yaani M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money na Holapesa. Ninatamani niweke na huduma za bank lakini mtaji wangu ni mdogo...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu sawa na kichwa cha habari hapo juu. Changamoto ni mtaji wa kununua malighafi na kujua wapi naweza pata soko la bidhaa. Naomba ushauri wakuu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
19 Replies
8K Views
Habari wanajamvi, napenda kuuliza utaratibu wa kufuata wakati wa kubadili Jina la Biashara ( Kampuni).
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Nataka kufungua work shop ya carpentry hapa Dar nataka kununua vifaa vidogovidogo used nitakavyoanza navyo najua vipo vingi mtaani kama kuna mtu ana connection tuwasiliane wakuu...
0 Reactions
4 Replies
714 Views
Nikikumbuka hii kauli mwili wangu wote unakufa ganzi kwa dakika Ukiweka Laki Tatu, Baada Ya Week Unaleta Wenzako Wawili Na Wenyewe Wataleta Wawili, Then Baada Ya Mwezi Utaanza Kuingiza Milioni...
14 Reactions
31 Replies
4K Views
Hebu tulione hili wakuu, hawa jamaa kipande cha Mbezi kuanzia TangiBovu hadi Africana. Wanapochoma mahindi huweka pia mashina yake, yaani ni kama wameyang’oa shambani na miti yake. Kisha hufanya...
1 Reactions
23 Replies
4K Views
Habari JF! Nimeanza ku sense kwamba mauzo yanapungua kwenye biashara yangu ya mgahawa nikachukua hatua ya kuongea na mfanyakazi wangu jinsi gani tunaweza kukuza mauzo maana nilitaka kumlaumu kwa...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habarini za jioni waugwana, Ninapenda kutanguliza shukrani zangu kwa yeyote atakaenisaidia. Ndugu zangu nina shida ambayo naamini wataalamu wa biashara wanaweza kunisadia - Katika kipindi hichi...
1 Reactions
115 Replies
18K Views
Salamu wakuu, Muwekezaji au mshirika anahitajika kwenye biashara ya televisheni mtandaoni kwenye jukwaa la YouTube. Kituo kipo tayari chenye watazamaji zaidi ya laki moja na nusu...
0 Reactions
2 Replies
798 Views
Back
Top Bottom