Katika kipindi hiki kwa wale walio wekeza kwenye necessity goods au Bidhaaa muhimu basi wanaweza survive kwenye biashara.
Bidhaa na huduma mihimu itabakia kuwa biashara ya mwisho kabisa kabla ya...
Nimeanza rasmi kusoma kwa undani issues za Stock Market (Forex, Commodities, Indices, Future nakadhalika)
Nimepiga hesabu naona nahitaji at least miezi mitatu hadi nianze ku invest serious kwenye...
Wakati dunia nzima iko locked down ikihaha kupambana na Corona virus TRA wao wanahaha kukusanya kodi wavunje rekodi, nimeshuhudia kampuni zikiandikiwa barua kua mwaka 2010, 2014, 2015 zilipeleka...
Kwa maoni yangu ni HAPANA:
Wananchi wengi Tanzania au Africa kwa ujumla wana kipato cha chini ambacho utokana na shughuli za biashara ndogo ndogo hivyo kumzuia kutotoka nje ni sawa na kusababisha...
Habari ndugu zangu, kama bandiko linavyo someka kuwa Bango dogo la biashara isiyozidi 300,000 linalipiwa barabarani?
Kwa mwenye kujua anijuze.
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika hustle za maisha huwa watu tunajaribu Biashara mbalimbali ili kuweza kufanikisha malengo yetu lakini wengi wetu huweka mitaji mikubwa pengine pesa za kukopa na mwisho wa siku changamoto...
1. Jifunze kuweka akiba ya fedha
2. Tafuta mpenzi sahihi na tulia naye
3. Acha kuishi na wazazi au kupanga nyumba na washikaji
4. Achana na starehe zisizo na maana
5. Jali sana afya yako
6. Kuwa...
Habari jukwaani humu ni mara yangu ya kwanza kusafiri kuelekea Mtwara lengo likiwa ni biashara tafadhali.
Naomba msaada wa kupata hoteli nzuri iliyo katikati ya mji kuanzia sh. 30,000 mpaka 40...
Habari za Jumapili waungwana.
Kama kichwa kinavyojieleza, naomba kujuzwa ni mkoa gani mzuri kwa ajili ya ufugaji wa kuku wa mayai.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari wadau,
Mimi nipo Masasi Mjini na kwa muda huu ndo msimu wa choroko umeanza. Jamani, kama kuna mdau yeyote anataka kununua choroko kwa bei poa aje. Choroko zinalipa.
Sent using Jamii...
Natamani nijue aina gani ya blog ambayo ni lazima kujisajili TCRA, najua wajuzi mpo. Nahitaji maelezo machache ndugu zangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nafanya kazi hotelini lakini natamani sana kwa sasa niache hii kazi nikafungue kazi zangu ndogondogo, ahsanteni sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Habari zenu. Wanauchumi na wadau wengine wote humu ndani..
Naleta mada hii kwa misingi ya kutaka kuelewa, kama nchi inaweza Ku print noti mpya. Kwanini inakopa pesa?
Kwanini ina madeni kama...
Katika mifumo yangu ya maisha nilijikuta tu napenda mambo ya wamerekani weusi, nlikuwa napenda uvaaji wao "CASUAL" napenda namna wanavyochukulia maisha poa poa, kiasi kwamba nikajikuta na mm navaa...
Ndugu wafanyabishara na wajasiriamali wenzangu poleni kwa magumu yanayokumba biashara zenu hasa kipindi hiki Cha Corona virus. But on other side nipende kuwapa pongezi wajasiriamali wengine...
Wadau,
Hivi gharama za kuagiza Probox kutoka Japan kuja Tanzania inaweza kugharimu bei gani, transport fee and custom, mpaka gari linakabidhiwa mikononi mwako unatakiwa kuwa na pesa ngapi?
Sent...
Maendeleo ya teknolojia yanatokea kwa kasi kubwa sana.
Lakini kasi hii ya maendeleo na ukuaji wa teknolojia, pamoja na kuwa na manufaa kwa watumiaji wake wa mwisho, yamekuwa na maumivu makubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.